Kilichoitokea Dortumund kitatokea Yanga kesho

Ukipania Sana New papuch unaibika
Dkk ya 6 ifanye kama ya kawaida ukishaiona tena
 
Watu wamebet tatizo limeanzia hapo
 
Kwani sasa akishinda kesho ndo kawa bingwa? Si kuna mechi kule nyumbani kwa USG!
 
Waliweka ulinzi dhaifu sana team nzima ikawa na mentality ya kufunga goli la ushindi
Hii sidhani kama itatokea kwa Yanga ulinzi kwanza Kisha shambulia kwa kushtukiza
 
Afu nan ametudanganya kujaza uwanja ndio kuwin game, unawezafungwa popote pale kinachoshinda nimbinu tu zamchezo naubora wakikosi tuliwai kufungwa namazembe hapo taifa huku uwanja ukiwa umefurika
 
Teyar wanalaana ya Mgunda ngoja uone matokeo leo..
 
Siyo Yanga lakini sijaona alipotoa tahadhari zaidi ya kejeli. Huu Usimba na Uyanga wenu unawapunguzia Sana weledi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…