Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

Ilikuwa Tanzania au Iran? sherehe ziliko fanyikia?
 
Kumbe ndiyo hilo... ndugu jamaa na majirani zako wa karibu ushawahi kuwashauri wasi trust watoto wao kuwa karibu na wajomba, baba wadogo?
 
Uongo uliopitiliza na wivu Wa kike nimemuona zaidi ya mara nne huyu dada ni mrembo hata bila makeup uo wivu zari ni mzuri sanaaa sio kama mikorogo yenu ile ya kijiko mia wengi hutumia ungesema mfupi ningekuelewa lakini eti uzee acheni unafiki ni wivu unawasumbua anarangi ya mtume imetulia mwili mzima poleni kwa wivu barua lako refu shudu tupu.
 
Sorry Chief umesahau kuwa watanzania tunaongoza kwa unafiki Duniani?
 
Kumbe ndiyo hilo... ndugu jamaa na majirani zako wa karibu ushawahi kuwashauri wasi trust watoto wao kuwa karibu na wajomba, baba wadogo?
Sana tu.

Tuko pamoja mkuu. Inawezekana wewe ni mwanaume, mimi ni mama na na appeal kwa mama mwenzangu. Mpe ujumbe tafadhali.
 
Maajabu gani mkuu ebu tutonye na sisi
 
Sana tu.

Tuko pamoja mkuu. Inawezekana wewe ni mwanaume, mimi ni mama na na appeal kwa mama mwenzangu. Mpe ujumbe tafadhali.
Hata baba wa mtoto kwa style yako usi mtrust mkuu.
Mkuu siku hizi hujasikia baba kambaka mwanaye?
 
Mbona simuoni Kikwete kwenye picha au alikosa mwaliko?
 
Safi sana zari abiria chunga mzigo wako
Hii ni kawaida hata huki mtaani kwetu hua tunafanya ivo ikiwa kuna shuhuri yoyote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kawaida sio kwa zari tu hata mm nyumbani kwangu kukiwa na sherehe lazima nitembee na funguo au nimpe mtu mmoja ninayemuamini

sio kuogopa ndugu tu hata wageni waalikwa maana penye wengi pana mengii...!!!
Anajua kina Esma hawakawii kuiba almasi zake chumbani
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kawaida sio kwa zari tu hata mm nyumbani kwangu kukiwa na sherehe lazima nitembee na funguo au nimpe mtu mmoja ninayemuamini

sio kuogopa ndugu tu hata wageni waalikwa maana penye wengi pana mengii...!!!

Kabisa, hayo mambo mbona ni kawaida kwa wengi wetu
 
Kuna watu wengine huwa wezi balaa.na wala huwafikirii.kwenye shuhuli majumbani ni kawaida kufungia vitu vyako na kukaa na funguo zako.sio Mara mmh mtu kaenda kurekodi kitu na ku post insta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…