Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ndiyo hilo... ndugu jamaa na majirani zako wa karibu ushawahi kuwashauri wasi trust watoto wao kuwa karibu na wajomba, baba wadogo?Naona wewe ni insider. Nakushauri unisaidie kumwambia Zari concern yangu mimi kama mzazi. Sisi huku mitaani hatu trust hata baba wadogo na wajomba. Dangers ni nyingi hasa pale mtoto anapojenga mazoea na watu wengi. Na wasanii tunawajua, maadili almost zero.
Mfano mzuri ni Lulu.
Uongo uliopitiliza na wivu Wa kike nimemuona zaidi ya mara nne huyu dada ni mrembo hata bila makeup uo wivu zari ni mzuri sanaaa sio kama mikorogo yenu ile ya kijiko mia wengi hutumia ungesema mfupi ningekuelewa lakini eti uzee acheni unafiki ni wivu unawasumbua anarangi ya mtume imetulia mwili mzima poleni kwa wivu barua lako refu shudu tupu.Shost nilichoka nilivyomuona ndo anaingia clouds! Mwanzo ckujua kama ni yeye, na alivyokuwa anajichetua na hiyo singeli ndo kabisa alizidi kuharibuu...
Mi nakwambia kama kuna kipindi anakilaani ni hizi ishu za arobaini manake kadamnasi ndo wanajionea uhalisia!
Mi mlimani city nilishanga eti...labda mguu lakini kwingine hapana asee!
Zari anapenda sana kuedit ili kuficha mambo, mtu anaedit hadi kikombe cha chai khaaa!!
Sorry Chief umesahau kuwa watanzania tunaongoza kwa unafiki Duniani?Uongo uliopitiliza na wivu Wa kike nimemuona zaidi ya mara nne huyu dada ni mrembo hata bila makeup uo wivu zari ni mzuri sanaaa sio kama mikorogo yenu ile ya kijiko mia wengi hutumia ungesema mfupi ningekuelewa lakini eti uzee acheni unafiki ni wivu unawasumbua anarangi ya mtume imetulia mwili mzima poleni kwa wivu barua lako refu shudu tupu.
Sana tu.Kumbe ndiyo hilo... ndugu jamaa na majirani zako wa karibu ushawahi kuwashauri wasi trust watoto wao kuwa karibu na wajomba, baba wadogo?
Maajabu gani mkuu ebu tutonye na sisiHater wa mwendokasi[emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85]
Ukweli zari kaonekana uhalisia wake! Nadhani hiki kipindi cha ma ishu ya kukutana na kadamnasi huwaga ni kipindi kibaya sana kwake! Visimu mshenzi havina editing vinamtoa kama alivyo...
Tuliomuona Mlimani City tulijionea maajabu!
Hata baba wa mtoto kwa style yako usi mtrust mkuu.Sana tu.
Tuko pamoja mkuu. Inawezekana wewe ni mwanaume, mimi ni mama na na appeal kwa mama mwenzangu. Mpe ujumbe tafadhali.
Ili apate hewaMbona wamemvalisha mtoto oversize,
Wakati Domo unaliona iloKafanana na Ivan
hapo kwenye kutimiza siku 40 leo, hapana huyo mtoto ana zaidi ya,siku 60.....leo wanasherekea tu. btw ujumbe wako nimeusoma
Alipoteza kadi yake ya mwalikoMbona simuoni Kikwete kwenye picha au alikosa mwaliko?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kawaida sio kwa zari tu hata mm nyumbani kwangu kukiwa na sherehe lazima nitembee na funguo au nimpe mtu mmoja ninayemuaminiSafi sana zari abiria chunga mzigo wako
Hii ni kawaida hata huki mtaani kwetu hua tunafanya ivo ikiwa kuna shuhuri yoyote
Anajua kina Esma hawakawii kuiba almasi zake chumbani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kawaida sio kwa zari tu hata mm nyumbani kwangu kukiwa na sherehe lazima nitembee na funguo au nimpe mtu mmoja ninayemuamini
sio kuogopa ndugu tu hata wageni waalikwa maana penye wengi pana mengii...!!!