Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

Hata baba wa mtoto kwa style yako usi mtrust mkuu.
Mkuu siku hizi hujasikia baba kambaka mwanaye?
Katika hali ya kuonyesha kuwa hana imani na wageni waalikwa walioudhuria party ya mwanae, mjasiriamali zari ameamua kubeba kabisa funguo za nyumba yake mkononi jambo lililozua minongono kwa baadhi ya waalikwa, zari hataki upuuzi kabisa anaogopa kuibiwa dhahabu zake, bora mwaego ufiche kabisa hata ungeweka kwenye pichu kabisa kwanza wabongo washirikinahawachelewi kufanya yao,sema umejitahidi kujikaza naona party walijaa watu wa tandale tu, bibie ukaamua kujikaza kujumuika na
 
Ulivoviandika ata ww ukiamua urudie kuvisoma sizan kama utaelewa maana furu makande
 
Penye wengi kuna mengi dada haujaona video ya sistaduu kakamatwa kaficha nguo kwenye chupi alizoiba dukani?
Na lile vurugu lililokuwepo hakawii kulia baada ya kugundua kuna mambo yameharibika kisa hakufunga nyumba
 
Kapata maelekezo kutoka kwa baba watoto wake "zari unajua mimi.wa mtogole na watu wangu wa myogole nawajua mambo yao "wageni ni ukumbini na msalani tu vyimba vingine vyote lock sawa?"
Nakumbuka siku ya sherehe ya harusi home keshonyake kulikuwa na malalamiko ya vity kuibiwa na mpaka wale wageni kulala waliibiwa!chezea akina mbonde wewe?
 
kumbe mnaijua rangi ya mtume sasa mbna wale wafaransa wAliomchora mtume mlikuw Mnawatukana?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kawaida sio kwa zari tu hata mm nyumbani kwangu kukiwa na sherehe lazima nitembee na funguo au nimpe mtu mmoja ninayemuamini

sio kuogopa ndugu tu hata wageni waalikwa maana penye wengi pana mengii...!!!
Hahahaha Mwl mbona siku ile sikukuona umebeba funguo au uliweka kwenye pochi? hahaha
 
Basi na yeye mkali wa mambo mnayoyawaza,alichungulia mapemaaaaa..(nawaza tu)
 
ana akili sana ameogopa waalikwa wasije itumia fursa ya sherehe kufanya yao
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kawaida sio kwa zari tu hata mm nyumbani kwangu kukiwa na sherehe lazima nitembee na funguo au nimpe mtu mmoja ninayemuamini

sio kuogopa ndugu tu hata wageni waalikwa maana penye wengi pana mengii...!!!
zari kaona bora akae nazo haamini mtu,dah kweli zari kiboko ya chafuu, maana hawachelewi kugeuza guest walale na domo, kawakomesha, na wolper alivyolewa vile mmh angemsaulia domo angejipigia fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…