Hilo liko. Hao tunawachunga kimya kimya, tusije tukagombana ndani.Hata baba wa mtoto kwa style yako usi mtrust mkuu.
Mkuu siku hizi hujasikia baba kambaka mwanaye?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo liko. Hao tunawachunga kimya kimya, tusije tukagombana ndani.Hata baba wa mtoto kwa style yako usi mtrust mkuu.
Mkuu siku hizi hujasikia baba kambaka mwanaye?
Queen Darling hakawii kuiba wig la bei ghali.Bora kabeba funguo zake, uswahilini kuna figisu nyingi
Katika hali ya kuonyesha kuwa hana imani na wageni waalikwa walioudhuria party ya mwanae, mjasiriamali zari ameamua kubeba kabisa funguo za nyumba yake mkononi jambo lililozua minongono kwa baadhi ya waalikwa, zari hataki upuuzi kabisa anaogopa kuibiwa dhahabu zake, bora mwaego ufiche kabisa hata ungeweka kwenye pichu kabisa kwanza wabongo washirikinahawachelewi kufanya yao,sema umejitahidi kujikaza naona party walijaa watu wa tandale tu, bibie ukaamua kujikaza kujumuika naHata baba wa mtoto kwa style yako usi mtrust mkuu.
Mkuu siku hizi hujasikia baba kambaka mwanaye?
Ulivoviandika ata ww ukiamua urudie kuvisoma sizan kama utaelewa maana furu makandeWalishafanya watoto ni vitega uchumi, kwa jinsi hii Zari ataendelea kuzaa mpaka wapige dangote mwenyewe kwa utajiri. Hivyo unafikiri sisi hatuna vitoto vizuri? Tunao, ni kwamba tumeamua kuwa protect. Those money hungry will pay for their actions siku za mbeleni.
Otherwise walipendeza sana na mapambo yalikuwa mazuri, sema shughuli ilikuwa ya kiswahili swahili. Nadhani sponsors waliwabania [HASHTAG]#urbanhunger[/HASHTAG]. Kila mtu kafulia kwa kiwango chake. Oh well!
Hivyo na wao wataitwa central? Na yule meneja anayesemekana ana utajiri kuliko msanii mwenyewe atasalimika? Au ndio [HASHTAG]#noevidence[/HASHTAG]
Penye wengi kuna mengi dada haujaona video ya sistaduu kakamatwa kaficha nguo kwenye chupi alizoiba dukani?Katika hali ya kuonyesha kuwa hana imani na wageni waalikwa walioudhuria party ya mwanae, mjasiriamali zari ameamua kubeba kabisa funguo za nyumba yake mkononi jambo lililozua minongono kwa baadhi ya waalikwa, zari hataki upuuzi kabisa anaogopa kuibiwa dhahabu zake, bora mwaego ufiche kabisa hata ungeweka kwenye pichu kabisa kwanza wabongo washirikinahawachelewi kufanya yao,sema umejitahidi kujikaza naona party walijaa watu wa tandale tu, bibie ukaamua kujikaza kujumuika na![]()
Kumbe Wema jina jingne anaitwa nyumbu???Umepanic wewe kumleta wema sehemu asiyo husiko hamjiamini au nini?
kumbe mnaijua rangi ya mtume sasa mbna wale wafaransa wAliomchora mtume mlikuw Mnawatukana?Uongo uliopitiliza na wivu Wa kike nimemuona zaidi ya mara nne huyu dada ni mrembo hata bila makeup uo wivu zari ni mzuri sanaaa sio kama mikorogo yenu ile ya kijiko mia wengi hutumia ungesema mfupi ningekuelewa lakini eti uzee acheni unafiki ni wivu unawasumbua anarangi ya mtume imetulia mwili mzima poleni kwa wivu barua lako refu shudu tupu.
Hahahaha Mwl mbona siku ile sikukuona umebeba funguo au uliweka kwenye pochi? hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kawaida sio kwa zari tu hata mm nyumbani kwangu kukiwa na sherehe lazima nitembee na funguo au nimpe mtu mmoja ninayemuamini
sio kuogopa ndugu tu hata wageni waalikwa maana penye wengi pana mengii...!!!
aiseee hahahaQueen Darling hakawii kuiba wig la bei ghali.
zari kaona bora akae nazo haamini mtu,dah kweli zari kiboko ya chafuu, maana hawachelewi kugeuza guest walale na domo, kawakomesha, na wolper alivyolewa vile mmh angemsaulia domo angejipigia fasta[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kawaida sio kwa zari tu hata mm nyumbani kwangu kukiwa na sherehe lazima nitembee na funguo au nimpe mtu mmoja ninayemuamini