Kilichojiri Mahakamani Septemba 25, 2026, kesi ya Uhaini Tundu Lissu vs Jamhuri

Kilichojiri Mahakamani Septemba 25, 2026, kesi ya Uhaini Tundu Lissu vs Jamhuri

TUNDU LISSU ANAFANYA MAJUMUISHO YA MWISHO MAHAKAMANI

SEHEMU YA 4.

Waheshimiwa Majaji, kama “publish” ni “sharing a writing or printing with a third party”, what about a video clip?

Waheshimiwa Majaji, video, pictures au television images are publication under the Cybercrimes Act.

Kwa bahati mbaya sijashitakiwa under the Cybercrimes Act (Sheria ya Makosa ya Mtandaoni), kwa hiyo “publishing” ya sheria ya makosa ya mtandaoni ibaki hukohuko.

Waheshimiwa Majaji, the term “publication” includes, under the Sheria ya Vyombo vya Habari, publication ina include usambazaji wa video.

Kwa bahati mbaya yao, sijashitakiwa chini ya Sheria ya Habari, kwa hiyo na hiyo “publication” ya Sheria ya Habari ifike hukohuko.

Waheshimiwa Majaji, nimeshitakiwa chini ya Penal Code, ambapo “publication” ni writings or printing.

Na hiyo Penal Code ipo chini ya Katiba, kwenye Ibara ya 13(6)(c), ambapo sisi raia tunalindwa na Katiba kwamba hatuwezi kushtakiwa kwa makosa yasiyokuwepo kwenye sheria.

Kama haikuwa makosa jana, hayawezi kuwa makosa leo.

Waheshimiwa Majaji, kwa heshima kubwa kwa mawakili ambao wamekuwa wakipambana na mimi kwa mwaka mmoja na nusu, kesi yao ilikufa siku ilipowasili — “dead on arrival”.

Kwamba mwaka mmoja na nusu tunajaribu kuthibitisha jambo lililotakiwa kujulikana siku ya kwanza.

Imenipa simanzi kubwa sana kuhusu mfumo wa haki jinai wa nchi yetu.

Mahakama zetu, polisi wetu.

Waheshimiwa Majaji, twende kwenye ushahidi wao sasa.

Swala hili limekuwa mojawapo ya maswala yaliyozua ubishi mkali mahakamani.

Kama nilivyosema, ilikuwa ni swala la kufa au kupona kwa kesi.

Ushahidi ukoje, Waheshimiwa?

Upande wa mashtaka waliita mashahidi wao:

PW1
PW2
PW3
PW16
PW17

Upande wa utetezi, mashahidi wote watano walipinga jambo hili.

Tuanze na ushahidi wao.

One notable thing in particular, with the exception of PW17, testified under oath that it was the accused who published a video on Jambo TV’s YouTube channel.

Ulikuwa ni mkanganyiko mtupu.

Walijichanganya, wakachanganyikiwa.

Tuanze na PW1, George Bagyemu.

Waheshimiwa Majaji, kwenye ukurasa wa 144 wa rekodi, PW1 anazungumzia hiyo video. Baada ya kuangalia vipande vipande vya hiyo video clip, aliamua kuwatafuta Jambo TV.

Maneno yanayofuata: “Who recorded the clip?”

Akiwatafuta Jambo TV walioirekodi hiyo video.

Kwa hayo maneno tu, hiyo video ilichapishwa na Jambo TV.

Ukurasa wa 144.

Na ukurasa wa 145 anasema aliyoambiwa na Jambo TV, kwamba anaijua/anaifahamu clip na kwamba hiyo imerekodiwa na mfanyakazi wake.

Anakubali mara ya pili kwamba aliyerekodi siyo mimi.

Anasema huyo mtu wa Jambo TV aliyerekodi yupo Dodoma.

PW1 alipiga simu kwa Kamishna wa Polisi Ng’anzi Dodoma kumjulisha aliyerekodi na eneo paliporekodiwa.

Kwa hiyo, PW1 chini ya kiapo anasema aliyerekodi siyo mimi.

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
 
25 September 2026
High of Tanzania
Kivukoni Front
Dar es Salaam, Tanzania

Treason case no. 19605 / 2025
Republic versus Tundu Lissu

1790323437309.png

Photo: Tundu Antipas Lissu

EPISODE 95: The treason case facing CHADEMA party Chairman Tundu Lissu has continued today 25 September 2026 which is in the final submission stage for the third consecutive day.

View: https://m.youtube.com/watch?v=jL8xCAZe--I

Tundu Lissu has said "Mere words do not constitute treason" while referring to the case of Khatibu Gandhi alias Hatty McGhee, our legal law History of Treason was taken and enacted directly from English Law when the British were ruling us i.e Tanganyika, Kenya, Uganda and Nyasaland [Malawi] , please follow all that has been reported on the video above

Treason Act 1842 (1842 c 51). The 1842 Act was introduced to address threats against Queen Victoria and the royal family. It made it a criminal offence to ...

In 1930, the British Colonial Office introduced a sweeping legislative overhaul in East Africa, replacing the uncodified English common law and the older Indian Penal Code with standardized Model Penal Codes.

This legal transformation dramatically modernized and unified how treason and allied offences were codified in both the Colony of Kenya and the League of Nations Mandate of Tanganyika

Prior to 1930, British courts in East Africa relied on a patchwork of historical English Treon Acts and regional ordinances. In 1930, the Colonial Office enacted:

The Kenya Penal Code (Ordinance No. 10 of 1930)

The Tanganyika Penal Code (1930)

These codes were closely modeled on the Queensland Criminal Code of 1899, which English jurists preferred for colonial administrative purposes because it translated complex English common law into precise, written provisions.

EPISODE 96: TUNDU LISSU TELLS JUDGES I *** SULUHU HASSAN TO CONFIRM IF SHE WAS INTIMIDATED BUT SHE DID...

View: https://m.youtube.com/watch?v=cGekI6-leHw
https://m.youtube.com/hashtag/mahakamani
EPISODE 96The treason case against the Chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, has been adjourned this afternoon, September 25, 2026, to Monday, September 28, 2026, where it will continue with the hearing of the final submissions from the accused, Hon. Tundu Lissu, Chairman of CHADEMA party

The decision was made by Judge Dunstan Ndunguru who is leading the three-judge panel of the high court of Tanzania that is hearing the case.

Before the judges decided to continue the case on Monday, Tundu Lissu requested a recess as is the case on other days after clocking at exactly One o'clock noon where he had been requesting a recess of one and a half hours, and the judges concur to that decision.

Tundu Lissu is continuing to present his final nine arguments, where by the time the decision was made he had reached the seventh argument which states "if the United Republic was intimidated" with the words that have been used by the accused Tundu Lissu.

Hon. Tundu Lissu has questioned whether the president and other government leaders were intimidated and if they were not intimidated then he is not guilty VERY BRIEF: WHAT LISSU DID IN COURT TODAYTundu Lissu continued with his final arguments in his treason case, focusing on two main arguments:1. Publication argument: He disputed the claim that he was the one who published the video of the CHADEMA meeting on Jambo TV on YouTube .

Tundu Lissu referred to the evidence of prosecution witnesses PW1, PW2, PW3, PW16 and especially PW17, saying that the evidence shows that Jambo TV employees were the ones who recorded and broadcast the video.

Was Government of Samia Suluhu Hsssan intimidated ?
On Whether the Government was intimidated: Tundu Lissu said the prosecution did not present evidence to prove that the Government of the United Republic was intimidated by the words mentioned in the charges.

Tundu Lissu further said that various people he had requested to be called to testify about it did not show up in court.Lissu concluded the argument by saying:“The answer to question seven can only be NEGATIVE — the government was not intimidated.

Tundu Lissu then requested a 1½-hour recess, explaining that he had been up all night preparing for the work and needed to rest his body.The judges decided to adjourn for today until Monday 28 September 2026 at 9:00 am when we Uhuru Media Online will return again to bring you live updates from the High court of Tanzania .
 
Sijui wana maana gani ? Mtiririko wa uzi haupo kama siku zote

celix
Maxence Melo
Boqin
Wand

Mbona leo huu uzi haueleweki ? Post za updates zinaenda wapi ? Mnachosha watu kuunganisha. Msibadilishe utaratibu kama wa siku zote. Mnaboa watu
Zote wanazikusanya wanaziweka kwenye post yako ya kwanza.
Hii ni style ya Waufukweni.
Mods wa JF tuambieni huyu Waufukweni ndiye Melo mwenyewe?
 
Zote wanazikusanya wanaziweka kwenye post yako ya kwanza.
Hii ni style ya Waufukweni.
Mods wa JF tuambieni huyu Waufukweni ndiye Melo mwenyewe?
JamiiForums utaratibu wenu ni mbovu mbovu mbovu tena sana , na mnachosha watu kwanini mnazitoq updates kwenye post na kuziunganisha ? Acheni hizo mambo mnachosha watu bhana mbona mnakuwa kero na vituko ?

Halafu sitaki mnifuate kutoa ufafanuzi PM toeni ufafanuzi hadharani, mnafanya mambo ya hovyo na ya kitoto, watu tunajitolea kuhabarishana na nyinyi mnajiamulia mambo tu.

ACHENI UPDATES KWENYE POST, MSIZITOE NA KUZIUNGANISHA MNAWAPA WATU TABU.
 
Waheshimiwa Majaji, video, pictures au television images are publication under the Cybercrimes Act.

Kwa bahati mbaya sijashitakiwa under the Cybercrimes Act (Sheria ya Makosa ya Mtandaoni), kwa hiyo “publishing” ya sheria ya makosa ya mtandaoni ibaki hukohuko.

Waheshimiwa Majaji, the term “publication” includes, under the Sheria ya Vyombo vya Habari, publication ina include usambazaji wa video.

Kwa bahati mbaya yao, sijashitakiwa chini ya Sheria ya Habari, kwa hiyo na hiyo “publication” ya Sheria ya Habari ifike hukohuko.

Nondo za kusaidia kuifuatilia kesi hii ya uhaini inayomkabili mwenyekiti Tundu Lissu bila emotion, bias au ushabiki

TOKA MAKTABA : NCHI JIRANI

HAKIMU MKAZI ATOA HUKUMU
Hakimu mkazi akichambua mapungufu ya kesi iliyoletwa na upande wa mashtaka ktk charge sheet, na kushindwa kumshawishi (moved) mheshimiwa hakimu mkazi hivyo kumuachi huru mtuhumiwa

20 January 2026
Court To Rule On Whether Nuru Okanga Has A Case To Answer In Cyber Crime Case

View: https://m.youtube.com/watch?v=qHh_3w_c1BU

Nuru Okanga was acquitted of all cybercrime charges by the Milimani Law Courts on January 20, 2026.

Case Details
Court and Magistrate: Milimani Law Courts in Nairobi, presided over by Trial Magistrate Rose Ndombi.

Charges: Three counts of publishing false, defamatory, and threatening information [ aimed to government] under the Computer Misuse and Cybercrimes Act.

Allegations: The prosecution claimed Nuru Okanga circulated an online video targeting President William Ruto.

Ruling Summary
Acquittal: Magistrate Ndombi ruled that the prosecution failed to establish a prima facie case (a case based on first impression/sufficient evidence) under Section 210 of the Criminal Procedure Code.

Lack of Evidence: The court found no digital forensic proof, seized devices, or data logs connecting Okanga to the creation or sharing of the video.

Legal Standard: The magistrate noted that the state's case relied entirely on suspicion rather than verifiable evidence
 
TUNDU LISSU ANAFANYA MAJUMUISHO YA MWISHO MAHAKAMANI

SEHEMU YA 5️⃣

Yote hayo yalijulikana tarehe 06 Aprili 2025. Kwamba nani alichapisha hiyo video tena siku tatu baada ya mkutano kufanyika.

Walijua vizuri nani alirekodi, ila kwa utaratibu wa Polisi wakasema, “Mpe kichwa.”

Waheshimiwa Majaji, tarehe 07 walimpata aliyeirekodi hiyo video.

Wakapata na nakala ya hiyo video yenyewe.

Na tarehe 07 hiyo hiyo wakapata pia maelezo ya aliyeirekodi.

Maelezo ya PW17 yapo Mahakamani kama Kielelezo D16.

Akaeleza kinagaubaga jinsi alivyoagizwa na boss wake, John Marwa.

Vifaa walivyokuwa navyo kama kamera Sony NHR 100.

Walikuwa watano.

Akaeleza walivyorusha moja kwa moja.

Akaeleza walivyopeleka kwenye mitandao ya Jambo TV kama YouTube, Instagram na X.

Akawaambia kwamba hajaziondoa; zipo mitandaoni hata sasa.

Hiyo ni tarehe 07, siku mbili kabla sijakamatwa.

Kwa sababu ya hayo, Mapolisi walikuwa na hamu ya kunikamata siku hiyo hiyo ya tarehe 07.

Walikuwa na ushahidi wa maandishi yake na memory card aliyokabidhi.

Baada ya siku mbili ndiyo wakanikamata kwa kuchapisha kwenye mtandao.

“They are not even ashamed! Shame on you. Shame on you, shame on you.”

Maneno niliyoyasema yapo ukurasa wa 145.

Na katika ukurasa wa 147, “It’s the accused who published with the intention to threaten the Executive.”

Mdomo mmoja, ndimi mbili.

Na katika cross-examination, PW1 alikiri kwamba ilipelekwa mtandaoni na PW17.

Alikiri pia kwamba amesoma maelezo ya shahidi.

Hata hivyo, aliendelea kung’ang’ania kwamba ni mshtakiwa ndiye aliyechapisha kwenye mitandao (ukurasa wa 159).

Waheshimiwa Majaji, PW1 aliendelea kuflip-flop.

Ukurasa wa 160 anasema, “It’s not true a Jambo TV employee recorded a clip.”

Akasema siyo kweli kwamba PW17 aliyechapisha mtandaoni peke yake ni pamoja na Tundu Lissu.

Alipozidi kubanwa, akabadilika tena, ukurasa wa 165 hadi 166.

Akasema PW17 ndiye aliyeniambia yeye kwamba amechapisha.

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
 
JamiiForums utaratibu wenu ni mbovu mbovu mbovu tena sana , na mnachosha watu kwanini mnazitoq updates kwenye post na kuziunganisha ? Acheni hizo mambo mnachosha watu bhana mbona mnakuwa kero na vituko ?

Halafu sitaki mnifuate kutoa ufafanuzi PM toeni ufafanuzi hadharani, mnafanya mambo ya hovyo na ya kitoto, watu tunajitolea kuhabarishana na nyinyi mnajiamulia mambo tu.

ACHENI UPDATES KWENYE POST, MSIZITOE NA KUZIUNGANISHA MNAWAPA WATU TABU.
Kuunganisha nyuzi inaondoa mtiririko mzuri, itamlazimu mtu arudi nyuma kuangalia uzi, wakati siku zote ukiingia unaendelea ulipoishia.
 
Kuunganisha nyuzi inaondoa mtiririko mzuri, itamlazimu mtu arudi nyuma kuangalia uzi, wakati siku zote ukiingia unaendelea ulipoishia.
Yaaani wanaboa ile mbaya
JamiiForums, acheni updates kwenye post msiunganishe, mnachosha watu. Mbona hamuelewi ? Huu utaratibu wenu ni wa hovyo na unakera sana watu na kuwachosha
 
Wanatufanyia utoto sana kwanini haya yanajitokeza kwenye Final submissions tu ?
Mkuu unalalamika sana na siyo poa, kama unavyodai ingekuwa hivyo basi hata hii thread isingekuwepo kabisa. Kingine hata ukiangalia hapo bado mtiririko ni sawa maana Mwendelezo umekuwa Highligted kabisa kuonyesha sehemu ya 1, 2, 3, 4, 5............. ukirudi kusoma unaona ulipoishia. Your views about Mods and the Platform aren't healthy at all.
 
C.C Moderator JF anafanya kazi nzuri mufti kuunganisha vipande vya kesi hii na kuviweka sehemu moja pamoja, hivyo inakuwa na mtiririko mzuri.

Imagine kuwepo comments 300 kurasa 29 kufuatilia na kuviona vipande vinavyopotiswa vya kesi hii kutoka mahakamani vikiwa zimezingirwa na comments kibao za hapa na pale inakuwa ngumu.

Kongole moderator JF kwa kukusanya mwenendo wa kesi siku ya leo 25 September 2026 na kuviweka pamoja, inakuwa kama tunasoma article moja katika magazine (jarida) kwa mtiririko usiokatika katika.

N.B JF MODERATOR

AKIUNGANISHA KIPANDE CHA MWENENDO WA KESI, AFUTE COMMENTS HUSIKA ILIYOPOSTIWA BAADAYE
 
Mkuu unalalamika sana na siyo poa, kama unavyodai ingekuwa hivyo basi hata hii thread isingekuwepo kabisa. Kingine hata ukiangalia hapo bado mtiririko ni sawa maana Mwendelezo umekuwa Highligted kabisa kuonyesha sehemu ya 1, 2, 3, 4, 5............. ukirudi kusoma unaona ulipoishia. Your views about Mods and the Platform aren't healthy at all.
Kwani wakiacha kama mtoa updates anavyotaka au anavyofanya jamii forum au mods wanapata shida gani?
 
C.C Moderator JF anafanya kazi nzuri mufti kuunganisha vipande vya kesi hii na kuviweka sehemu pamoja hivyo inakuwa na mtiririko mzuri.

Imagine kuwepo comments 300 kurasa 29 kufuatilia na kuviona vipande vinavyopotiswa vya kesi hii kutoka mahakamani vikiwa zimezingirwa na comments kibao za hapa na pale inakuwa ngumu.

Kongole moderator JF kwa kukusanya mwenendo wa kesi siku ya leo 25 September 2026 na kuviweka pamoja, inakuwa kama tunasoma article moja katika magazine (jarida) kwa mtiririko usiokatika katika.
Well said Mkuu 👍
 
Mbona tokea mwanzo amekuwa akiweka kwenye kila post bila kuunganisha. Kwanini sasa?
 
Back
Top Bottom