PeeWee
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,555
- 3,823
So unakubali kuwa wanafanya makusudi tuI think umeona hapo wameacha sehemu ya 4 na 5 jamaa alivoanza kulalamika
So unakubali kuwa wanafanya makusudi tuI think umeona hapo wameacha sehemu ya 4 na 5 jamaa alivoanza kulalamika
Sio kulalamika Mkuu, wanachofanya ni hovyo bhana 😅😅😅 wewe huoni umesoma updates ya 1 na 2 kwenye comments halafu unakuja kuangalia zingine kwenye comments huzioni unakuta zimeunganishwa ?I think umeona hapo wameacha sehemu ya 4 na 5 jamaa alivoanza kulalamika
Tayari wameunganisha, mwenendo wa kesi na kupeleka vipande vya comments za updates za mwenendo wa kesi na kuviweka mwanzo wa mwanzisha uzi.So unakubali kuwa wanafanya makusudi tu
Wee mpuuzi hiyo, tathimini yako peleka Lumumba huko, hizo buku 7 ulizopewa, kawehukwe huko huko na kina Kawaida na Chatanda. Mjinga wewe.Nataka kuleta TAHIMINI ya Kisomi, MaChadema mpo tayari?
Mahangaiko yote ya nini? Waache uzi uende kwa mtiririko, kuunganisha unampa usumbufu mfuatilia. Mfano watu wametoa kometi na wengi, uanze kuhangaika kurudia tena nyuma kisha uendelee kufuatilia maoni ya wengine. Huoni huo ni usumbufu? Waziunge tukimaliza, ili wale waliochelewa waukute uzi mmoja.Tayari wameunganisha, mwenendo wa kesi na kupeleka vipande vya comments za updates za mwenendo wa kesi na kuviweka mwanzo wa mwanzisha uzi.
Hapo tunakuwa hakuna haja ya ku scroll down kutafuta vipande vya mwenendo wa kesi siku ya leo vilivyopostiwa ktk page tofauti tofauti.
Baada ya kusoma uzi uliokuwa up dated [kamili updated on real time] tuna scroll down kuona comments za wasomaji kuhusu mwenendo wa kesi waliousoma mwanzo wa uzi .
Tatizo machadema mnafinywaWee mpuuzi hiyo, tathimini yako peleka Lumumba huko, hizo buku 7 ulizopewa, kawehukwe huko huko na kina Kawaida na Chatanda. Mjinga wewe.
Sielewi kwanini wadau wanalalamikaC.C Moderator JF anafanya kazi nzuri mufti kuunganisha vipande vya kesi hii na kuviweka sehemu moja pamoja, hivyo inakuwa na mtiririko mzuri.
Imagine kuwepo comments 300 kurasa 29 kufuatilia na kuviona vipande vinavyopotiswa vya kesi hii kutoka mahakamani vikiwa zimezingirwa na comments kibao za hapa na pale inakuwa ngumu.
Kongole moderator JF kwa kukusanya mwenendo wa kesi siku ya leo 25 September 2026 na kuviweka pamoja, inakuwa kama tunasoma article moja katika magazine (jarida) kwa mtiririko usiokatika katika.
N.B JF MODERATOR
AKIUNGANISHA KIPANDE CHA MWENENDO WA KESI, AFUTE COMMENTS HUSIKA ILIYOPOSTIWA BAADAYE
Uvccm wote wanafinywa habari huna? Uliza uambiwe.Tatizo machadema mnafinywa
Hawa JamiiForums wiki hii ya final submissions wamekuwa wana utaratibu tofauti na mimi nauona ni wa hovyo kwa sababu unasumbua Members humu, how come unaitoa updates kwenye comment unaipeleka kwenye uzi wa kwanza, kuna wengine wanakuwa hawazioni updates kwa sababu wanakutana na comments za kawaida tu.Sielewi kwanini wadau wanalalamika
tetee vip hukumu ipo pale pale ya kifoTUNDU LISSU ANAFANYA MAJUMUISHO YA MWISHO MAHAKAMANI
SEHEMU YA 7️⃣
PW16 alisema kwa majigambo yafuatayo:
«“I testify it was you who published a video on Jambo TV.”»
«“It was you who transmitted a video on Jambo TV.”»
«“It’s you who circulated a video on Jambo TV channels.”»
«“It’s you who distributed the video on the Jambo TV YouTube platform.”»
Nilipoanza kumshughulikia hayo madai, yali-collapse.
Ukurasa wa 467, akasema:
“Sina uhakika kama wewe ni mfanyakazi wa Jambo TV.”
“Sina uhakika kama una password ya kutumia Jambo TV YouTube Channel.”
Akaendelea kusema:
“Nimesoma maelezo ya PW1 kwamba alikuwa ni mtu aliye-rekodi mkutano, na kwamba PW1 ndiye aliyerusha matangazo.”
Mwanzoni alikuwa anasema, “Ni wewe, ni wewe.”
Lakini kwenye cross-examination, akasema:
“Sina uhakika kama ni wewe.”
Ukurasa wa 467.
PW16 akaendelea kueleza Mahakama, Waheshimiwa Majaji, kwamba hata George Byagemu alisema:
«“That the video was recorded and live-streamed by a Jambo TV employee.”»
Amin Majamba anasema PW17 kwamba walielekezwa na Mkurugenzi wao, John Marwa, na ku-livestream hotuba yako.
Mahali pengine, PW16 alizungumzia kwa kirefu Inspector Andrew Chulu.
Nilipomuuliza kama amesoma maelezo ya Andrew Chulu, akasema:
“Nimesoma maelezo ya PW17 na Andrew Chulu,” katika ukurasa wa 469.
Katika maelezo yake, Askari Polisi Andrew Chulu na mwandishi wa habari wa Jambo TV wanasema ni waandishi wa habari wa Jambo TV ndiyo waliorekodi na kusambaza video katika mitandao ya Jambo TV.
Baadaye akabadilisha maelezo yake katika re-examination, ukurasa wa 466.
Waheshimiwa Majaji, niende kwa shahidi wao PW17.
Huyu ni star witness wa kesi yao.
Yeye ndiye anayeweza kusema ukweli—kama nina hatia au nimewekwa gerezani bure.
Maneno ya PW17, maelezo yake yapo katika ukurasa wa 490.
PW17 anasema yeye na wenzake walitumwa na boss wao kwenda Makao Makuu ya CHADEMA, Mikocheni, kwenda kutangaza mkutano.
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
Liambie hilo lichadema liache kunifuatilia. Nimeweka comment yangu kuwa naweka Tathmini, kipi kimemulisha?Mkuu unaonaje ukawa na special thread ya kuichambua hii kesi ? Na ukatoa tathimini zako bila kuingiliana na huu uzi ?
Nikufuatilie una nini wee mpuuzi? Unataka nikukoboe au? Em kwenda huko, umeitwa wewe hapa? Si uende kwenye nyuzi za machawa wenzio.Liambie hilo lichadema liache kunifuatilia. Nimeweka comment yangu kuwa naweka Tathmini, kipi kimemulisha?
Nini maana ya hukumu???Hata ajitete vip hukumu ya kunyogwa mpaka kufa ipo pale pale,,.
tetee vip hukumu ipo pale pale ya kifo
Ndugu unakosa kabisa busara na hekima. Anzisha uzi wako wa tathmini. Tunakujua wewe ni mtaalamu sana, una akili sana, una fedha sana na unajua yote. Ukianzisha uzi wa tathmini watu watausoma tu. Tunaomba utuache kwenye huu uzi tufuatilie kinachojili mahakamani.Liambie hilo lichadema liache kunifuatilia. Nimeweka comment yangu kuwa naweka Tathmini, kipi kimemulisha?
Hivi kwenye kipengele hichi mawakili wa serikali hawaruhusiwi kuingilia mazungumzo? Maana tangu aanze kugonga nyundo siijaona akatishwe.TUNDU LISSU ANAFANYA MAJUMUISHO YA MWISHO MAHAKAMANI
SEHEMU YA 8️⃣
PW17 akaendelea kusema:
“Tulipofika Makao Makuu ya CHADEMA, we were prepared to cover the meeting and livestreaming.”
“We used the camera to footage to mainstream the meeting.”
📺 Kwa hiyo, walitumia mtandao wao wa Jambo TV kutangaza.
Na jina walilotumia kurusha matangazo lilikuwa Jambo TV.
Kwamba hilo wazo la kutangaza live lilikuwa la kwao, wala siyo la mtu mwingine.
Ukurasa wa 492.
Yote hii ni examination-in-chief ya shahidi wao.
Hapo alikuwa hajahojiwa na mimi hata kidogo.
Amekubali kula kitu. 😄
Waheshimiwa Majaji, katika mashahidi wote 17—mashahidi 12 wa upande wa mashtaka na 5 wa utetezi—huyu alikuwa shahidi mwepesi zaidi.
⚽ Kama ni goli la kujifunga wenyewe, ni kosa la kumleta shahidi PW17.
Tena goli la kisigino! 😂
Kwa jinsi huyu shahidi alivyojifunga, wala hawaku-re-examine.
The case was finito.
😂 MAHAKAMA KICHEKO!
Ushahidi huu unaiambia nini Mahakama?
Katika kesi ya Makonyo John @ Kibuna vs Republic, ushahidi huu, Waheshimiwa Majaji, siyo wa kuaminika.
Hakuna Mahakama inayoitwa Mahakama ya Sheria itakayotumia ushahidi huu.
Totally unreliable and completely not credible.
⚠️ Na hii siyo kesi ya kuku. Ni kesi ya uhaini, inahusu maisha ya watu.
Waheshimiwa Majaji, ushahidi wa utetezi ukoje?
Ushahidi wa utetezi ukinyooka.
Ukurasa wa 592 ni ushahidi wangu. Nilisema everywhere waliorusha matangazo siyo mimi.
Na vilevile upo ukurasa wa 621.
Na ukurasa wa 622.
(Oyaa huyu Lissu sio poa)
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.