Kilichojiri Mahakamani Septemba 25, 2026, kesi ya Uhaini Tundu Lissu vs Jamhuri

Lissu ni Shujaa
 
Lissu ni rasilimali ya taifa ingetunzwa, ingetufaa kwa mengi sana
 
Anasimama Katuga anasema objection

Katuga; waheshimiwa majaji Serikali ya jamuhuri ya muungano imetishika ,Hadi sasa bado anaitisha serikali na ndii maana wameogopa hata kukufika mahakamani

Mahakama kicheko 😂😂

Mkuu Manyanza shukrani kwa update , nimejaribu kuandika paragraph mbili tu apo ni kazi kweli kweli.
 
Sijui kama wataweza, watasema nini kwa bosi? Lissu kumbe alikuwa anawasubiri kwenye kumi na nane, na hizi kumi na nane anapiga kila kona, mpaka zuio waliloweka la kutokuja mashahidi wake, imekuwa fursa kwa mshtakiwa.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. The guy is very smart. Lissu alishajua muda tu kwamba wataingia kwenye kumi na nane.
Ila nilichokiona ni kuwa CCM ni wakatili sana sana. Inawezekanaje mtu kupewa kesi ya uongo eti ya uhaini. Yaani Lissu asingekuwa anajua sheria nadhani angekuwa ameshafungwa muda mrefu tu
 
Sijui kama wataweza, watasema nini kwa bosi? Lissu kumbe alikuwa anawasubiri kwenye kumi na nane, na hizi kumi na nane anapiga kila kona, mpaka zuio waliloweka la kutokuja mashahidi wake, imekuwa fursa kwa mshtakiwa.
Jamaa anaijua sheria haswa. Ametufungua mengi sana. Nilikua mwanzo naona mahakama zinazingua lkn nimeelewa vizuri shida ni watawala.

Sio werevu ni wababe
 
Huyo ni kumpa ignore tu wanangu kwann mshindane na zero brain?
 
Katuga hapo alipo anaona maluwe luwe tu, hana anachokijua yule bichwa cabbage, na hao wenzake mawakili uchwara, wote ni makopo kichwani.
Pumbavu zao hao.
michupa tupo kichwani haielewi kazi kuleta mihemuko subiri itakapotoa submission yao utaona uhalo wake
 
Katuga hapo alipo anaona maluwe luwe tu, hana anachokijua yule bichwa cabbage, na hao wenzake mawakili uchwara, wote ni makopo kichwani.
Pumbavu zao hao.
Tafuta hotel nzuri popote ulipo ila iwe Dar es salaam Kinondoni
kisha niPM coca nataka nije nikuliwaze umalize hasira.
 
Jamaa anaijua sheria haswa. Ametufungua mengi sana. Nilikua mwanzo naona mahakama zinazingua lkn nimeelewa vizuri shida ni watawala.

Sio werevu ni wababe
Watawala wana tabia ya kutoa maelekezo kwa mahakama na mahakama nazo zinaufyata. Hata hukumu ya Chadema kuzuiwa kufanya siasa ni wahuni wa utawala walitoa maelekezo. Hizi kesi zote ni za maelekezo na mahakama kwa kuwa wanaogopa inabidi wayapokee hayo maelekezo.
 
Sasa aibu wataona wao lissu ukitoa mguu anaweka mguu yaani jino by jino
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…