NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Ngoja twiga wa manara aje achangie juu ya kufilisika kwa vunja bei.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roho mbaya na wivu unawasumbua 🤣🤣🤣Sijui wanapata faida ganj kujadili kufilisika mtu
Mkuu mtu yeyote anaweza kufilisika na kurudi kwenye ziro. Tena hizi biashara za kununua na kuuza (trading) ndo dakika sifuri unapotea. Cha muhimu kama kuna sehemu anakosea ashauriwe kwasababu kaajiri watu wengi.Vunja bei hawezi filisika kirahisi, jamaa alisha jiimarisha sana kiuchumi, labda biashara kuyumba tuu ambacho ni kitu cha kawaida
Roby 1 na vunjabei saiz wamegeukia biashara ya uuzaje wa dawa za binadamu kwa jumla ni miongoni mwa biashara zinazolipa sana kwa nchi zinazoendelea kama tanzania mwanzo walikuwa wahindi pekee saiz naona wabongo pa wapo na wanatengeneza faida sanaaHivi roby one fashion bado yupo?
Rob one hapo K.koo nafaham maduka yake ya dawa matatu, hii biashara itakua inalipa.sanar
Roby 1 na vunjabei saiz wamegeukia biashara ya uuzaje wa dawa za binadamu kwa jumla ni miongoni mwa biashara zinazolipa sana kwa nchi zinazoendelea kama tanzania mwanzo walikuwa wahindi pekee saiz naona wabongo pa wapo na wanatengeneza faida sanaa
Jamaa yuko sahihi ,ukiwa huku bongo watu ndo watakuambia habari za machimbo ila uhalisia kule viwanda viko vingi na acess ya kuvifikia ni rahisi piaUmewahi kufuata biashara china au unajiropokea tu?
Mwenzio hauoni ametokomea baada ya kuandika ushuzi kama unaorudia wewe kuandika hapa na akafundishwa ukweli? Umewahi kufika china kufunga mzigo?Jamaa yuko sahihi ,ukiwa huku bongo watu ndo watakuambia habari za machimbo ila uhalisia kule viwanda viko vingi na acess ya kuvifikia ni rahisi pia
Wewe ndo unaonekana hujui kitu
Mpe mfano usimpeleke china mwambie kariakoo alisha wah kufunga mzingo?Mwenzio hauoni ametokomea baada ya kuandika ushuzi kama unaorudia wewe kuandika hapa na akafundishwa ukweli? Umewahi kufika china kufunga mzigo?
Na madon hawajawahi kujitangaza ni ngumu sana kuwajua kama yeye vunja price ilikuwaje akatoa Siri ya kambiMpe mfano usimpeleke china mwambie kariakoo alisha wah kufunga mzingo?
kariakoo kuna machimbo ya vitu bei rahis na ukienda bila connection hutayapata na china ni hivyo hivyo.. ndiyo maana huku jf kuna nyuzi kibao watu wakiomba msaada wa machimbo kiriakoo ya vitu bei rahisi na wachache sana watakao kubali kukuonyesha
Sasa baada ya Fredi kuwamotivate vijana kuwa China pesa ipo matokeo yake vijna wakamskiliza na wakaanza kufanya Research China wakayagundua machimbo ya nguo na viatu vya bei kitonga wakaanza kwenda wenyewe hata wale aliokuwa anawauzia wakawa wanaufuata mzigo wenyewe huko china mwisho wa siku akaengeneza upinzani mkubwa ambao ni chanzo cha kumfikisha hapo alipo.
Wengi wanadhani kuwa ukienda china wewe ni kwenda tu kiwandani kirahisi....hapo kariakoo tu mpaka leo watu hawajui machimbo yalipo sembuse chinaMpe mfano usimpeleke china mwambie kariakoo alisha wah kufunga mzingo?
kariakoo kuna machimbo ya vitu bei rahis na ukienda bila connection hutayapata na china ni hivyo hivyo.. ndiyo maana huku jf kuna nyuzi kibao watu wakiomba msaada wa machimbo kiriakoo ya vitu bei rahisi na wachache sana watakao kubali kukuonyesha
Hapo kwenye uchawi kama kuna ukweli hivi😜Roho mbaya na wivu unawasumbua 🤣🤣🤣
Mwingine alisema wakinga wachawi hawali vyakula vizuri eti wanakula viporo na kushindia maji.!
Umeongea kama tapeli.Unaweza kuwa na mitambo na majigambo ,ila siri yako ibaki kuwa siri huyu ndio kafunguka siri yake watu wakamzima kuna na mademu lazima ila aangalie siri ni siri tu.