Kilichompaisha jamaa ni kelele nyingi na kuminya vyombo vya habari tu la sivyo hamna kitu alichofanya

Hukuona viwanda wewe 🤣🤣🤣

Shida za Sasa hasa umeme ni matokeo ya yule shujaa wa wajinga Kushindwa kuwekeza kwenye vyanzo vinginevyo Sasa Tanesco ikatoe wapi megawatt xilizopungua?
 
Dah...ngosha umechafukwa!🤣
....
 
Wewe nimpumbavu na mjinga ...kwanza lQ yako ni finyi ....sasa wewe ni lini utakuwa raisi ukajenge kwenu?? nchi watu wamo 60M+ ,hatutaki upendeleo...cake ya nchi nayawote ....kenge mpuuzi wewe.
Hilo neno IQ toka ulisikie unalitaja tu?. Mwenye IQ hata ya wastani gani anaweza kujibu kwa kupuyanga kama wewe hivyo?. Umepanick utafikiri nimekuambia nitakubadirisha umama wako uwe wa kiume?
 
Alijua kuwa ni mtupu ndio maana alizuia uhuru wa habari na kuunda timu kubwa ya sifa, ameharibu zaidi kuliko kujenga!
 
Hilo neno IQ toka ulisikie unalitaja tu?. Mwenye IQ hata ya wastani gani anaweza kujibu kwa kupuyanga kama wewe hivyo?. Umepanick utafikiri nimekuambia nitakubadirisha umama wako uwe wa kiume?
Ila wewe ndio umepanick baada kusikia marehemu alikuwa katali pia ali undermine the rule of law.Zero freedom of press ,freedom of expression ,extra judicial killings etc..wewe ndio unataka kubadirisha umma jumla namleta post ili wote tuimbe mapimbio yenu eti jiwe alikuwa mtu mzuri wakati Tz ilikuwa unreported world.Ndio nikasema lQ yako ipo narrow & shallow ...kwakifupi wewe ni imbecile.
 
Simlaumu....

Alipitia njia za KIKOMUNISTI kulirudisha taifa katika mstari wake... wananchi tulitopea katika mazoea MABOVU.....

Ukweli humuacha mtu huru

NEVER GIVE WISDOM TO UNWORTHY AS IT IS UNJUST TO THE KNOWLEDGEABLE [emoji120]
 
Kitendo cha wewe kuendelea kuhangaika na Marehemu inaonesha Marehemu alifanya mengi mazuri kipindi cha uhai wake.
Hata Bokassa, lddi Amini nama dictator wote baado watu wanawataja wakikumbukwa mateso yawo ...Sembusa ka Jiwe
 
Hukuona viwanda wewe 🤣🤣🤣

Shida za Sasa hasa umeme ni matokeo ya yule shujaa wa wajinga Kushindwa kuwekeza kwenye vyanzo vinginevyo Sasa Tanesco ikatoe wapi megawatt xilizopungua?
Kweri kabisa eti shujaa mtu alikuwa ignorant & salvage.
 
Wakuwahishe milembe. Nilijua nabishana na mzima?.
 
Ngoja na huyu Bibie ajivutevute katika kutupa KATIBA MPYA atakuja tena mtu dizaini ile na hii Katiba 77 itampa nguvu tutaanza kulia tena na kusaga meno.

Nadhani Kinana na Nape na wengineo wengi bado wanakumbuka sisi Wapinzani bado hatujasahau.
Wanakumbuka sana lakini sasa wamevimbiwa wamesahau kila kitu, system inawafaidisha sasa lakini hawajui wanapita tuu, haya mambo yanahitaji watu wa kujitolea na vision kubwa ili next generations zije kuishi vizuri na haki, njaa na ujinga vitu vya ovyo sana
 
Magufuli alisema KATIBA MPYA sio kipaumbele chake hawa nao wanasema Wananchi wapewe semina ili wajifunze hii Katiba ya 77 ya mfumo wa Chama kimoja ambayo ilitungwa na CCM.
 
Huyu ndiyo chanzo cha shida zote tunazopitia hivi sasa
 
Sawa alikua na madhaifu yake lakini unakosea kusema hakufanya lolote. Hakuna Rais ambaye hajafanya kitu kama kuna sehemu kulikua na changamoto iseme ili aliyepo nae arekebishe tusonge mbele otherwise hata huyu aliyepo akiondoka utasema hivyohivyo hakufanya kitu.
JamiiForums mobile app
 
Naskia hakukua na migao ya umeme sijui ni kweli
 
Usichokijua ni sawa na usiku wa giza. Akili yako Bado finyu sana. Ile Barbara ya kimara imeanza kujengwa tangu enzi za kikwete jpm kaja kumaliza vivyo hivyo Samia amemaliza miradi yote ya jpm. Jpm amekufa miradi haijafikia hata 30 percent.Au ulitaka Samia aiterekeze aanzishe vya kwake? Hana roho mbaya kama mwendazake ambaye alitelekeza miradi yote ya jk na kuanzisha vyake ilu kupata misifa na kutwa kumtukana jk wakati wakati wa jk hakuna mwalimu Wala daktari hakupa ajira ukimaliza tu subili mwakani unapata ajira tena bila kuomba. Kila kitu jpm ndo alikuja kuharibu ndo akajaza machinga kibao mtaani wasomi. Rais Gani unamaliza five years hujaajiri yeyote wakati kilaa mwaka wanagraduate.
 
Kwani we unaabudu umaskini. Anza kufikiria kuwa tajiri. Umeme siyo kwa ajiri ya maskini mana atashangaa tu bila kuuumia kuzalisha. Bora bei ilivyopanda ili maskini akili imkae sawa.
 

Bora kukaa gizani kuliko kuwindwa kama Digidigi na Wasiojulikana

Nani kama Maharage?
 
samia wenu asiepiga kelele na kaachiwa vyombo vya habari kafanya nini so far?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…