ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hukuona viwanda wewe 🤣🤣🤣Aliyepita alisaidiwa na kelele nyingi kila anapoenda anawapiga fix wananchi kwa mbwembwe nyingi wakabaki wanamuomba yeye tu. Si unajua wananchi wanavyopenda kuongopewa mbaya zaidi ukienda na strategy ya kutumbua tena hadharani hivyo wananchi wanapenda ili tu kumkomoa mwingine afanane nao kwa umaskini.
Ila ki ukweli hamna kitu kilichofanyika ukilinganisha na awamu hii.
Bahati nzuri yake alivinyima fursa vyombo vya habari kuandika chochote kama vinavyofanya Sasa hivi ambapo hata matusi vinaandika.
Mbaya zaidi pia mikutano ya siasa akaipiga teke ili tu yeye ndo abaki anaupiga siasa peke yake kwa hiyo wanachi hawakupata kabisa fursa ya madudu yake wakabaki wanasifia tu anayekosoa anapotezwa mazima ikabaki ni wogo nchi nzima mpaka ukiwa kwenye daladala unaonywa na watu usiongelee siasa vinginevyo utapotea. Tukawa tunaogopana sisi kwa sisi.
Shida za Sasa hasa umeme ni matokeo ya yule shujaa wa wajinga Kushindwa kuwekeza kwenye vyanzo vinginevyo Sasa Tanesco ikatoe wapi megawatt xilizopungua?