Kilichomponza mhadhiri ‘gaidi’ wa UDOM ni hiki hapa

Wewe umeamua kututukana sisi wanzazibari kwamba zanzibar sio nchi walah omba toba nyie vichogo ni madhurumati sana.. ila safari hii tutawanyoosha..
Zanzibar siyo nchi, mfano mdogo mna wizara za Ulinzi, mambo ya nje, mambo ya ndani? Nyie ni wanachama wa shirika lipi ktk umoja wa mataifa? Ni wanachama wa FIFA? Mna kiti umoja aa kimataifa? Hiyo ni mifani michache tu! Zanzibar siyo nchi km ambavyo Tanganyika siyo nchi ila tu utambulisho wenu umehifadhiwa kwa kuwa ni minority society. Hiyo ya kuwanyoosha labda kwa kuwa Rais ni mzanzibari? Kwamba sahivi mnapendelewa? Ila hiyo haibadilishi ukweli uliopo ila tu ni upuuzi wa kiongozi aliyeko madarakani na kitu pekee anachoweza kusababisha Samia labda kuhatarisha muungano.
 
Wewe kilaza sana kwa nchi ili iwe nchi lazima iwe na kiti huko UN
 
We ni mpumbavu,mbwa takataka kabisa.Maandishi mengi mavi tu . Takataka kabisa wewe .Mwaka jana kulikuwa na uchaguzi ? ,ile haramu ya kuhalalisha dhulma ndio uchaguzi ule we mpumbavu zwazwa ***** wewe ?
 
Mkuu umevuta bange ya wapi?
 
Kwanza la jimbo kuwa na watu chini ya 1000 ni uwongo km kawaida yenu, kingine Zanzibar ktk mambo yake ya ndani ina taratibu zake lazima uziheshimu, msitake kuiendesha kwa matakwa yenu
 
Kwanza la jimbo kuwa na watu chini ya 1000 ni uwongo km kawaida yenu, kingine Zanzibar ktk mambo yake ya ndani ina taratibu zake lazima uziheshimu, msitake kuendesha nchi ya watu kwa matakwa yenu
Nani anaendesha NCHI ya ZANZIBAR kwa matakwa yake mkuu? Wazanzibar walipiga kura kumchagua rais wa nchi yao kihalali. Wewe ulitaka iweje, kwa mfano?
 
Nchi moja
inavunjikaje???

Jibu ilo ?
Maelezo ya Pascal M.
mnatakiwa kuyaelewa kisheria zaidi ipo ivyo
Na kisiasa ndipo kuna
Muungano ✅️
Kisiasa kivipi wakati tunaona watu wakimchagua rais wa nchi yao kiukweli kabisa na kura zinapigwa hadharani?
 
Kwa hiyo kwa nyakati hizi kuita nyeusi ni nyeusi au kuita beleshi ni beleshi na sio likijiko likubwa ni ugaidi,dhambi na uhaini!!???
 

Anabaguliwa Mtanganyika uwongo wa kilokole
Wachungaji ndio wanapika uwongo wa namna iyo👈

Mitaa ya Zanzibar kumejaa machinga kibao kutokea Bara ✍️
 

Hivi umetumia akili kweli au umeandika tu
Kwamba ndani ya JMT kuna federation, aisee...

Tena umeweka na details kabisa kwamba nchi mama ya Tanzania na nchi mtoto ya Zanzibar. Uko serious kabisa?
 
Hakuweka interpretation wala translation bali alicheza kwenye definition ileile iliyomo kwenye vitabu hivyo na kusaidia kuondoa upotoshaji wa muda mrefu. Hebu kwanza pitia definitions hizo hapo juu ujiridhishe mkuu.
Mtu ashazoea kumsikiliza msiga unadhani hapo ataelewa?
 
Kwanza la jimbo kuwa na watu chini ya 1000 ni uwongo km kawaida yenu, kingine Zanzibar ktk mambo yake ya ndani ina taratibu zake lazima uziheshimu, msitake kuiendesha kwa matakwa yenu

Nakuunga mkono mkuu %100 mambo ya tume za Uchaguzi wanazo sababu za kupanga kile wanakipanga popote
ikiwemo ongezeko la majimbo
ya Uchaguzi ✅️
 
Ajaweka it
Kwa hiyo aliweka interpretation zake kwenye vitabu vya watu wasomi wengi

Kwa hiyo aliweka interpretation zake kwenye vitabu vya watu wasomi wengine
Ajaweka interpretation zake alichofanya ni kuelezea uhalisia na jinsi kitabu kilivyoandika na ukifutilia ukweli kitabu cha civics form one hicho na kile cha from two vipo deep sana kuelezea kuhusu serikali sasa mtoto anakuwa confosed anachofundishwa na anayoyaona kwenye jamii yake ni mbingu na aridhi na ndio maana hili somo limefutwa maana walimu mwenye uelewa mpana akipiga hizi mada kwa watoto kisawasawa mtoto lazima aichukie serikali yake kwa sababu mada zinaelezea ukweli na uwazi ambao serikali iliyopo madarakani haifanyi hivyo kwaiyo mtoto akohoji mbona haoni uhalisia wa anachofundishwa na jamii yake mwalimu anamwambia serikali iliyopo imeoza huu ndio ukweli dogo lazima awe mdude nyangali kwa taifa lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…