Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Kwanza ujue vyuo vikuu vyote vipo chini ya TCU. Kama lecturers wao hawakidhi viwango, hayo ni makosa ya TCU na sio vyuo husika. Chengine, hao graduates wa UDSM na vyuo vingine wengi tunafanya nao kazi. Wa UDSM wengi wao kazi ni kujigamba tumesomea UDSM, tumesomea UDSM. Hata application letters hawajui kuandika!Dogo UDSM imeingiaje hapo? Kuna vyuo nchi hii havina vigezo vya kutoa bachelor kutokana na lecturers walionao, mtu anafundishwa na undergraduate vyuo vingine vinagawa GPA lakini ukimkuta mtu anafanya kazi Hadi unajiuliza alipataje degree
Ulitaka afisa elimu mkoa atoke wapi???Msonde = Ndalichako na wametoka eneo moja. Kuwaondoa kwenye Elimu ni jambo Muhimu.
Waliwahi kumchukua Headmaster wa shule na kumfanya afisaelimu Mkoa wa Mara.
Eti kipindi jpm mambo mengi ya kijinga ya kufaulisha hovyo yamefanyika!!!Wewe ni mgeni hapa tz , mm najua njia zote zinazo tumika hata wanafunzi wa hizo shule huwa awajui kuwa wametafuniwa mitihani ,
Ndyo Had Headmaster wa shule kuwa Afisa Elimu mkoa wa Mtwara.Msonde = Ndalichako na wametoka eneo moja. Kuwaondoa kwenye Elimu ni jambo Muhimu.
Waliwahi kumchukua Headmaster wa shule na kumfanya afisaelimu Mkoa wa Mara.
Ukweli halisi, haipingwi.Wewe ni mgeni hapa tz , mm najua njia zote zinazo tumika hata wanafunzi wa hizo shule huwa awajui kuwa wametafuniwa mitihani ,
Huu wivu sasa lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza ujue vyuo vikuu vyote vipo chini ya TCU. Kama lecturers wao hawakidhi viwango, hayo ni makosa ya TCU na sio vyuo husika. Chengine, hao graduates wa UDSM na vyuo vingine wengi tunafanya nao kazi. Wa UDSM wengi wao kazi ni kujigamba tumesomea UDSM, tumesomea UDSM. Hata application letters hawajui kuandika!
hiyo ni chuki bila kuwa na uelewa sasa mama ana mwaka mmoja wameshapita wanafunzi wangapi? kuwa na kiasiTuliwaambia kipindi cha jpm huu ujinga wa sant sijui nini kufaulisha wanafunzi wote ulipotea kabisa sasa umerudi tena kipindi cha mama
Hakuna kipindi matokeo yamepandishwa kiholela ili kumfurahisha Mtu mmoja kama kipindi cha Mwendazake.Tuliwaambia kipindi cha jpm huu ujinga wa sant sijui nini kufaulisha wanafunzi wote ulipotea kabisa sasa umerudi tena kipindi cha mama
Kwaiyo wangepa F ndo wangeweza kujiajiri?kwa hiyo kipimo cha elimu bora ni mwanafunzi kupata A? ,mbona wapo mtaani na hawawezi kujiajiri kila siku kuilaumu serikali,
lengo la SSH ni kutengeneza wanafunzi watakaoajirika siku za usoni.
kailetea hasara serikali ya tshs tri 14 mpaka sasa, kwa mantiki hiyo kachangia kwenye deni kubwa la taifa kwa hasara hiyo
"Ni heshima kwa Mungu kumtukana na kumzomea Fisadi kama Lowasa"-Godbless J Lema (mbunge wa Arusha)Kuna shida gani wanafunzi kufaulu na kupata A tatu? Kwani mwanafunzi kufeli ndio kipimo cha nini? Huu ujinga mnautoa wapi?
Alikua anafuata maelekezo ya jiwe ndo maana kanda ile ufaulu ulikuwa juu sanaHABARI,
Kilichomtoa Msonde NECTA ni Kufaulisha sana, bila mpangilio, Rais agusia leo kwa kumwambia kimafumbo kamwacha palepale elimu akahakikishe vijana aliowafaulisha anawajengea uwezo kama sio kuwaajiri kabisa.
Na imeonekana na hasara kwa Serikali kufaulisha kisiasa, tutegemee matokeo ya kuanzia mwaka huu heshima ya div 0ne kurudi.
Sio kama ilivyo leo, ukipata one heshima hakuna tena.
Njoo site nikupe barua zao ujionee.Huu wivu sasa lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa St Francis people ni smart kweli kweli i know some of them and they are really good aisee....Vijiti vya St. Francis vikipungua japo kwa 1% tegemea maafa kwa St. Kayumba huko.
Ndugu acha kukariri, siku hiz wakurugenzi wanateuliwa hata hawajawah Kuwa hta kwenye utumish wa umma, sembuse headmaster Tena unakuta amefanya vizuri kwenye kaz yake... Acha watu wale matunda.Ndyo Had Headmaster wa shule kuwa Afisa Elimu mkoa wa Mtwara.
Habari iwafikie sawa sawia kama ni kweli.Kwa wanafunzi wengi waliosomea UDSM wana ujinga wa kuamini wanafunzi kufali sana ndio elimu bora. Unakuta Professa anajigamba eti katika course yangu wamesap 180 katika ya 194! Ujinga huo huo wa maprofesa wanaubebesha wanafunzi wao kama wewe blogger boy.
Unapata faida gani kama Wazanzibar wamepata nafasi za mwisho?Hapo NECTA hata akiwekwa imamu awe katibu mtendaji kamwe unguja na pemba hawawezi kuacha kutoa shule za mwisho
Shule za St zinafaulusha kwa sasa wanafundisha vizuri na wanajipanga vizuri......
Na ujinga huu unatucost sana Watanzania. Leo hii nenda Marekani. Vyuo vikuu karibu vyote walimu wa Kiswahili wanatoka Kenya. Ukiuliza kwa nini utaambiwa kuwa wanafunzi wa Kenya mara nyingi huwa na ufaulu mzuri sana kwenye shahada zao za kwanza (first class) na wanapoomba nafasi za kwenda kusoma nje kama TAs wa Kiswahili wanapata. Na wanaishia kuunganisha jumla kuwa walimu permanent. Sisi wanafunzi 300 eti wanapata first class wawili [emoji706][emoji706]Kwa wanafunzi wengi waliosomea UDSM wana ujinga wa kuamini wanafunzi kufali sana ndio elimu bora. Unakuta Professa anajigamba eti katika course yangu wamesap 180 katika ya 194! Ujinga huo huo wa maprofesa wanaubebesha wanafunzi wao kama wewe blogger boy.
... waswahili wakibugia kashata na kahawa vibarazani wanajazana upumbavu St. Francis wananunua mitihani! Labda shule nyingine kama kweli huo upuuzi upo ila sio St. Francis. Wale masista walivyo strict na nidhamu na academics wataanzia wapi huo ujinga.Hawa St Francis people ni smart kweli kweli i know some of them and they are really good aisee....