Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Kwanza ujue vyuo vikuu vyote vipo chini ya TCU. Kama lecturers wao hawakidhi viwango, hayo ni makosa ya TCU na sio vyuo husika. Chengine, hao graduates wa UDSM na vyuo vingine wengi tunafanya nao kazi. Wa UDSM wengi wao kazi ni kujigamba tumesomea UDSM, tumesomea UDSM. Hata application letters hawajui kuandika!Dogo UDSM imeingiaje hapo? Kuna vyuo nchi hii havina vigezo vya kutoa bachelor kutokana na lecturers walionao, mtu anafundishwa na undergraduate vyuo vingine vinagawa GPA lakini ukimkuta mtu anafanya kazi Hadi unajiuliza alipataje degree