Kilichomtoa Dkt. Msonde NECTA ni Kufaulisha sana bila mpangilio, Rais agusia leo, matokeo ya mwaka huu tutegemee heshima NECTA

Kilichomtoa Dkt. Msonde NECTA ni Kufaulisha sana bila mpangilio, Rais agusia leo, matokeo ya mwaka huu tutegemee heshima NECTA

Dogo UDSM imeingiaje hapo? Kuna vyuo nchi hii havina vigezo vya kutoa bachelor kutokana na lecturers walionao, mtu anafundishwa na undergraduate vyuo vingine vinagawa GPA lakini ukimkuta mtu anafanya kazi Hadi unajiuliza alipataje degree
Kwanza ujue vyuo vikuu vyote vipo chini ya TCU. Kama lecturers wao hawakidhi viwango, hayo ni makosa ya TCU na sio vyuo husika. Chengine, hao graduates wa UDSM na vyuo vingine wengi tunafanya nao kazi. Wa UDSM wengi wao kazi ni kujigamba tumesomea UDSM, tumesomea UDSM. Hata application letters hawajui kuandika!
 
Wewe ni mgeni hapa tz , mm najua njia zote zinazo tumika hata wanafunzi wa hizo shule huwa awajui kuwa wametafuniwa mitihani ,
Eti kipindi jpm mambo mengi ya kijinga ya kufaulisha hovyo yamefanyika!!!

Kaangalie matokeo ya St. Fransis, Mirian boys and girls, Feza Boys kabla Magufuli hajawa Rais kabla hujaleta uharo wako hapa.
 
Msonde = Ndalichako na wametoka eneo moja. Kuwaondoa kwenye Elimu ni jambo Muhimu.
Waliwahi kumchukua Headmaster wa shule na kumfanya afisaelimu Mkoa wa Mara.
Ndyo Had Headmaster wa shule kuwa Afisa Elimu mkoa wa Mtwara.
 
Kwanza ujue vyuo vikuu vyote vipo chini ya TCU. Kama lecturers wao hawakidhi viwango, hayo ni makosa ya TCU na sio vyuo husika. Chengine, hao graduates wa UDSM na vyuo vingine wengi tunafanya nao kazi. Wa UDSM wengi wao kazi ni kujigamba tumesomea UDSM, tumesomea UDSM. Hata application letters hawajui kuandika!
Huu wivu sasa lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuliwaambia kipindi cha jpm huu ujinga wa sant sijui nini kufaulisha wanafunzi wote ulipotea kabisa sasa umerudi tena kipindi cha mama
hiyo ni chuki bila kuwa na uelewa sasa mama ana mwaka mmoja wameshapita wanafunzi wangapi? kuwa na kiasi
 
Huwa nawaambia elimu ni kwa ajili ya watu wachache. Watu wanakataa
Wanafunzi wakifaulu sana, tume zinaundwa kuchunguza
Wakifeli sana tume pia inaundwa.
kailetea hasara serikali ya tshs tri 14 mpaka sasa, kwa mantiki hiyo kachangia kwenye deni kubwa la taifa kwa hasara hiyo
 
Kuna shida gani wanafunzi kufaulu na kupata A tatu? Kwani mwanafunzi kufeli ndio kipimo cha nini? Huu ujinga mnautoa wapi?
"Ni heshima kwa Mungu kumtukana na kumzomea Fisadi kama Lowasa"-Godbless J Lema (mbunge wa Arusha)
 
HABARI,

Kilichomtoa Msonde NECTA ni Kufaulisha sana, bila mpangilio, Rais agusia leo kwa kumwambia kimafumbo kamwacha palepale elimu akahakikishe vijana aliowafaulisha anawajengea uwezo kama sio kuwaajiri kabisa.

Na imeonekana na hasara kwa Serikali kufaulisha kisiasa, tutegemee matokeo ya kuanzia mwaka huu heshima ya div 0ne kurudi.

Sio kama ilivyo leo, ukipata one heshima hakuna tena.
Alikua anafuata maelekezo ya jiwe ndo maana kanda ile ufaulu ulikuwa juu sana
 
Vijiti vya St. Francis vikipungua japo kwa 1% tegemea maafa kwa St. Kayumba huko.
Hawa St Francis people ni smart kweli kweli i know some of them and they are really good aisee....
 
Ndyo Had Headmaster wa shule kuwa Afisa Elimu mkoa wa Mtwara.
Ndugu acha kukariri, siku hiz wakurugenzi wanateuliwa hata hawajawah Kuwa hta kwenye utumish wa umma, sembuse headmaster Tena unakuta amefanya vizuri kwenye kaz yake... Acha watu wale matunda.
 
Kwa wanafunzi wengi waliosomea UDSM wana ujinga wa kuamini wanafunzi kufali sana ndio elimu bora. Unakuta Professa anajigamba eti katika course yangu wamesap 180 katika ya 194! Ujinga huo huo wa maprofesa wanaubebesha wanafunzi wao kama wewe blogger boy.
Habari iwafikie sawa sawia kama ni kweli.
 
Hapo NECTA hata akiwekwa imamu awe katibu mtendaji kamwe unguja na pemba hawawezi kuacha kutoa shule za mwisho
Shule za St zinafaulusha kwa sasa wanafundisha vizuri na wanajipanga vizuri......
Unapata faida gani kama Wazanzibar wamepata nafasi za mwisho?
 
Kwa wanafunzi wengi waliosomea UDSM wana ujinga wa kuamini wanafunzi kufali sana ndio elimu bora. Unakuta Professa anajigamba eti katika course yangu wamesap 180 katika ya 194! Ujinga huo huo wa maprofesa wanaubebesha wanafunzi wao kama wewe blogger boy.
Na ujinga huu unatucost sana Watanzania. Leo hii nenda Marekani. Vyuo vikuu karibu vyote walimu wa Kiswahili wanatoka Kenya. Ukiuliza kwa nini utaambiwa kuwa wanafunzi wa Kenya mara nyingi huwa na ufaulu mzuri sana kwenye shahada zao za kwanza (first class) na wanapoomba nafasi za kwenda kusoma nje kama TAs wa Kiswahili wanapata. Na wanaishia kuunganisha jumla kuwa walimu permanent. Sisi wanafunzi 300 eti wanapata first class wawili [emoji706][emoji706]
 
Hawa St Francis people ni smart kweli kweli i know some of them and they are really good aisee....
... waswahili wakibugia kashata na kahawa vibarazani wanajazana upumbavu St. Francis wananunua mitihani! Labda shule nyingine kama kweli huo upuuzi upo ila sio St. Francis. Wale masista walivyo strict na nidhamu na academics wataanzia wapi huo ujinga.
 
Back
Top Bottom