Kilichomtoa Dkt. Msonde NECTA ni Kufaulisha sana bila mpangilio, Rais agusia leo, matokeo ya mwaka huu tutegemee heshima NECTA

Kilichomtoa Dkt. Msonde NECTA ni Kufaulisha sana bila mpangilio, Rais agusia leo, matokeo ya mwaka huu tutegemee heshima NECTA

Rais agusia leo kwa kumwambia kimafumbo kamwacha palepale elimu akahakikishe vijana aliowafaulisha anawajengea uwezo kama sio kuwaajiri kabisa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Duh kwa hyo vijiti vya St Francis girls tutegemee kupungua?

Vip zile shulezake pendwa za TWIBHOKI na GRAINIYAKI yule mama mmilik sijui simu zilikuwa haziish kwa msonde sjui walikuwa marafik?

Uzuri yupo sekta ya elimu tutegemee mabadiriko toka kwake n mtu mwenye maono pia
Usifananishe saint francis na vitu vya ajabu
 
Mkuu, siku hizi humu JF kumejaa wajinga. Alichokiandika mleta mada wala hakina mantiki kabisa. Wala haelewi hata michakato ya mitihani inaendaje mpk matokeo kutolewa.

Na wajinga wenzie wanatoa maoni kama mazuzu. Hata hayajiulizi
Piga kimya tu... Kuna vitu ni deep! Si lazima ujue kila kitu.
 
Waliofanya kazi na Msonde wanaelewa namna uadilifu wake ulivyojitosheleza. Hakika atafika mbali sana.
 
Una uhakika na hili unalosema?
Wewe ni mgeni hapa tz , mm najua njia zote zinazo tumika hata wanafunzi wa hizo shule huwa awajui kuwa wametafuniwa mitihani ,
 
Wacheni wafaulu na wao wakaonje hata hela za serikali kwa boom, maana walamba asali wao hawazitolei jasho
 
Tuliwaambia kipindi cha jpm huu ujinga wa sant sijui nini kufaulisha wanafunzi wote ulipotea kabisa sasa umerudi tena kipindi cha mama
Una akili wewe?? Kipindi cha JPM si ndio hizo shule zilikuwa zinaongoza mwanzo mwisho??
 
Ndiyo maana zamani kupata div one, ilikuwa uhalisia hasa!
Div one, two, na three, their positions refrected the actual IQs they had!! Hata sehemu walizokuwa wanapangiwa accordingly, walizimudu vilivyo!
Sio leo, mbulula tupu!!!
 
Msonde Alipomaliza kidato cha sita alipata point 3?inakuaje anazalisha A Tatu kwa mamia ya wanafunzi?
Msonde yupi? Km humjui mtu kaa kimya, Msonde alipomaliza chuo kikuu UD alibakizwa kufundisha kwa sababu alipata GPA kubwa sana.
 
Kwanza Msonde aliteuliwa 2014 na Kikwete nafasi hiyo, na amekaa baraza la mitihani akiwa msaidizi wa ndalichako kwa kipindi kirefu sana. Afu Msonde ni mfumo
 
Darasa eti linapata division 1 point 7 lote

Hapo lazima kuna shida somewhere
Mlitaka afanyeje kama wamefaulu Kwa akili zao wafutiwe mtihani? Tukubali kuwa Kuna baadhi ya shule zinachukua wanafunzi wazuri na kuwafundisha vema, wanamiundombinu Bora, malezi mazuri, utafananisha na shule ambazo wanataka ada tu bila ya kuangalia aina ya wanafunzi wanaowatahini?
 
Mkuu, siku hizi humu JF kumejaa wajinga. Alichokiandika mleta mada wala hakina mantiki kabisa. Wala haelewi hata michakato ya mitihani inaendaje mpk matokeo kutolewa.

Na wajinga wenzie wanatoa maoni kama mazuzu. Hata hayajiulizi
huyo mleta mada Majungu tu, msonde namjua atz, akikotoka mungu anajua, yupo mbali Sana kwa alikotokea.
 
Kwa wanafunzi wengi waliosomea UDSM wana ujinga wa kuamini wanafunzi kufali sana ndio elimu bora. Unakuta Professa anajigamba eti katika course yangu wamesap 180 katika ya 194! Ujinga huo huo wa maprofesa wanaubebesha wanafunzi wao kama wewe blogger boy.
Dogo UDSM imeingiaje hapo? Kuna vyuo nchi hii havina vigezo vya kutoa bachelor kutokana na lecturers walionao, mtu anafundishwa na undergraduate vyuo vingine vinagawa GPA lakini ukimkuta mtu anafanya kazi Hadi unajiuliza alipataje degree
 
Back
Top Bottom