Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio ungekuwa mpole sasa ha ha hanimesoma vizur imekushinda ww kaa tulia
kabisa mzeee huko kanuni zipo zinaonekana na pesa iko safe sana aiseee ila hawa wanatumia pips badala ya oddsSports betting is far better than forex..
Yaan ww umejibu kwa uelewa mdogo wakat yy kaelezea kwa uelewa mkubwa sana mzee... Natural disaster kiuhalisia zinatokea mara moja tu baada ya muda mrefu sasa ila kwny forex ni kawaida suppose una nyenzo zote kwny kilimo na umefanya kila kitu had ndege za irrigation unazo why ufeli kilimo hapo mkuu ?? Ni tofaut na forex mzee unaweza ukawa na kila kitu kwny forex every thing na bado ukachoma account afu the big point is forex traders wengi faida yao ni kwny mentorship program ila wenyew hawana uwezo wa kumake hzo hela through forex huu ndo ukweli wenyew.Hajui kuna factors ambazo ni nje ya uwezo wa mfanyabiashara. Unaweza kuwa mkulima mkongwe ukalima mpunga heka za kutosha na usivune kama hali ya hewa ikienda opposite.
Linaweza kutokea baa kama ukame, mafuriko, nzige,ndege, ajali, n.k hivi vinaweza kukurudisha zero kabisa. So hakuna biashara ya guarantee ya success 100%. Ni series za ups and downs.
Unaweza kuwa na stock ya mahindi unapeleka nchi jirani..serikali ikapiga marufuku kuuza nje..bei ikaporomoka ukauza kwa hasara.
Unaweza fika sokoni na mzigo ukakuta bei ya kuuza ni ndogo kuliko uliyofungia mzigo.
Agiza mirinda nyeusi ya baridi au pepsi big nakuja kulipia mzeeeYaan ww umejibu kwa uelewa mdogo wakat yy kaelezea kwa uelewa mkubwa sana mzee... Natural disaster kiuhalisia zinatokea mara moja tu baada ya muda mrefu sasa ila kwny forex ni kawaida suppose una nyenzo zote kwny kilimo na umefanya kila kitu had ndege za irrigation unazo why ufeli kilimo hapo mkuu ?? Ni tofaut na forex mzee unaweza ukawa na kila kitu kwny forex every thing na bado ukachoma account afu the big point is forex traders wengi faida yao ni kwny mentorship program ila wenyew hawana uwezo wa kumake hzo hela through forex huu ndo ukweli wenyew.
Mbona hii kila mtu anaposti mkuu. Hebu post hela imetoka kwako imeenda kwa broker. Na imetoka kwa broker ikaja kwako kwa Mana ya kuwa umepiga helaPole sana brooo
Ukishindwa wewe usidhani wanashindwa wote
Mnatafutaga pa kujifariji
Unaweka laki na 80 unakuja kupiga kelele hapa
View attachment 1920271
Kama hujafika huku wewe bado sana boss
inaendelea tuuuMijadala ya kamali ya Forex bado inaendelea Tu?
akikujibu nitagiiiiMbona hii kila mtu anaposti mkuu. Hebu post hela imetoka kwako imeenda kwa broker. Na imetoka kwa broker ikaja kwako kwa Mana ya kuwa umepiga hela
Ww market ilikushinda angalia michingo mingine.....ikiwa na viela mbuzi usiingie FX...Najua wote muwazima
wacha nisonge kwa mada moja kwa moja
nimewahi kuleta maandiko mbali mbali ya forex humu kwa siku za nyuma kipindi nikiwa naifanya nk
kwa mara ya kwanza nimeijua mwaka 2013 japo nilianza rasmi kuisoma na kuifanya mwaka 2015, kwa uhalisia siwezi sema nimewahikuliwa nikijumlisha faida na kutoa hasara.
Kwa haraka haraka nilitumia kama laki na 80 kununua materials kwaajili yakujisomea, lakini pia ilinigarimu tsh laki mbili kuweza kuwapooza baadhi ya waalimu ambao sikuwaweka rasmi kama walimu wangu bali niliwatumia kwa muda tofauti tofauti kujifunza kwa njia ya maswali ili kuongeza udhoefu hivyo niliwapoza kidogo kidogo kama kulipia muda wao wanaojitolea kukaa pamoja namimi.
hadi naingia mwaka 2019 naweza kusema nilikuwa ni miongoni mwa watu wanaoingiza faida fulani inayoonekana na kueleweka
nilizingatia sana kujikita katika kuweza kuielewa forex katika theory na application yake.
Lengo ilikuwa mimi na forex iwe ndio kazi ya maisha yangu wala nisihangaike kufungua madarasa nk, zaidi zaidi tu niwe ni mtu wa kuwekeza katika kuchambua masoko nakutumbua pesa zangu(bata) na kuzidi kuwekeza katika miradi mbalimbali huku nikiwanyanyua ndugu zangu maana kupitia forex nilitaka hadi inapofika 2030 walau ukoo wangu niwe nimeutengenezea hata ma bilionea zaidi ya kumi.
Ila tatizo lilianzia hapa na ndio ambapo niliweza kusanuka mapema nisiendelee kupoteza muda
1.HAIJARISHI UMEISOMA FOREX KWA UNDANI KIASI GANI UMEFUNDISHWA NA WATU WAKUBWA KIASI GANI HAKUNA MPANGO SAHIHI / AU MKAKATI SAHIHI WA FAIDA KATIKA BIASHARA YAKO.
Yaani hapa ndio biashara ilipo lakini pia bado hauwezi kuwa na uhakika wasoko lako sababu lazima tu utaingia chakike vilevile, yaani kwa ufupi naweza sema hivi unaweza chambua soko lako na unafikia hatua ambayo hakuna mapungufu yoyote lakini bado unaweza ukapigwa vilevile na sio hapo tu ukisoma sana forex inakusaidia KUPUNGUZA KIWANGO CHA HASARA NA KUBALANCE MTAJI WAKO ILA SIO UHAKIKA WA KUPATA FAIDA YAKO.
hebu fikiria unafanya biashara lakini hauna hesababu yoyote ya uhakika wakuweza kuingiza faida yako hivi inakuja akilini kweli?
2.HAKUNA WAFANYABIASHARA WAKUBWA WANAOIONA FOREX KAMA BIASHARA YA FAIDA WALA MABENKI HAWAFANYI UTOPOLO HUU.
Kuna mtu aliwahi kusema humu jf kuwa forex ni biashara ambayo mabenki hawataki ujue ila ukweli naweza kusema hapa alituingiza chaka wote tulioamini hii kitu sababu hakuna kitu kama hicho ILA SASA
Forex wanaoweza kupata faida ni wale wanao trade na mitaji mikubwa tena kupitia mzunguko halisi wa pesa sio hizo virtual money sijui uweke kwa broker nk
Ndio maana mtu akisoma forex akielewa vizuri anakimbilia kuwa mwalimu ili awapige wanafunzi na kubalance hasara zake akijitahidi kukuza mtaji ukawa mkubwa anaamua kuwa broker yaani hataki yeye kutrade ila anataka wewe utrade mfano mzuri hapa ndio Sir Jeff aka Ontorio sijui nadhani mnamjua.
Sasa biashara ambayo inakimbiwa na wafanya biashara wakubwa na mtu anakushawishi wewe ndio utrade kwake basi hapo hakuna kitu cha ukweli ni ubadhilifu tuuu.
Sasa mwisho wa siku nikaona FOREX ni ktu kimekuja kutufanya vijana tupoteze muda mwingi kujikita katika virtual money na tuhangaike kupoteza muda katika mambo yasiyo ya msingi,
Unaweza kulamba bingo ila haina tofauti na tatu mzuka kwakweli, zaidi ya yote zile fundamental zote huwezi kuuona mfumo wake kwa uwazi, na zaidi ya hapo hakuna mtu anayejua ile pesa inamilikiwa na nani sababu ni virtual money wala sio real money ndio maana unapitia mabroker ambao hata hawahusiani katiba na uhalisia
fungua real account katika mt4 yako fungua pair sawa na demo account ingia live market kisha jishuhudie mchezo hapo utashangaa sana
Naenda kula na kuoga nitarudi kuendelea kutiririka mambo mengine ya msingi nk
UPDATES
Naendelea tena na uzi.
Kuna jambo moja muhimu sana liko katika msemo unaosema hivi "Always a House win"
Huu msemo hutumika sana katika vitu ambavyo vinafaida kubwa zaidi ya upande mmoja, mfano mzuri nitakaouweka hapa ni yale mambo ya betting.
Jiulize swali hili kwanini sportpesa wao wanamiliki betting ikiwa wanaweza kuwa na watu wazuri wanaojua namna ya kupangilia alama za ushindi(odds) na wakabeti kwa makampuni makubwa mengine wakapata mihela mingi?
sasa ukijiuliza hilo utajua yakuwa huko hakuna uhakika wa ushindi sasa betting zote wanajiweka safe sade wanakaa upande salama wapo winning house huko wanapiga pesa kuliko wewe unayeitamani ile mil 500 ya jackpot.
hebu fikiria mtu anachukua asilimia 99 ya faida halafu ninyi mnabakiwa na asilimia 1 tu.
ndio maana katika forex pia mtu akisoma nakuielewa vyema na anahitaji kutengeneza pesa huwa siku zote anaanza nayeye kukimbilia safe side anajipeleka katika wining house ili awe salama.
Kuna maswali haya hapa nayewa yatakusaidia kujua nini kinaendelea ukiweza kuyajibu kiufasaha
1.Kwanini unauza pips ikiwa wewe ni mtu wa faida?
2.kwanini unafungua darasa kula laki laki za watu ikiwa unamake kuzidi hiyo ada?
3.kwanini unajiweka kuwa broker uanze kula hela za matrder wengine ambapo unaweza kumake pesa ndefu kuzidi hiyo ya ubroker?
4.Yule broker wetu yeye anasimama baina ya trader na nani? huyo aliye juu ya broker ni asasi ipi yenye makao yake wapi inasimamiwa na nani? tunaweza kuingia hata wikpedia tukapata habari zake?
maswali machache sana hayo hilo la mwisho linahitaji majibu yaloshiba
Neno langu sio sheria hii ni kwa mtazamo wangu ukiona inafaida unaweza komaa nayo tu ila kumbuka
"ALWAYS A HOUSE WINI"
tchao.
Updates No 2 Sep 1
NImekuja kuongeza updates nyingine hapa na ni muhimu mno sana,
kuna watu wamenipinga sana lakini ni vile tunatofautiana uelewa tu wa mambo,
mimi nilijua jambo moja hili hapa kwa upande wangu ili niweze kuifanya vyema forex nikuweza kuelewa mfumo mzima ikiwa ni jumla yakujibu maswali yote yasiyokuwa na majibu hii ingenifanya nichezeshe forex kama game tu na ningemake faida kubwa sana.
Hili jambo hapa chini linaweza kukupa mtazamo mpya kabisa katika forex kiasi kwamba ukipata majibu yakukuridhisha basi yawe mwangaza kwako kupata faida ila yasipokupa faida jua hayalingani kabisa.
Fikiria leo USD inathamani ya Tsh.2300/= na wakati huohuo pia Euro Inathamani ya Tsh.2500/= ukiingia katika soko la dunia ama katika mabank yote duniani utakutana na rate ambayo inakwenda sawa kabisa.
Lakini katika forex inakuwa nikwamba thamani ya fedha inaweza panda dakika tano zijazo na dakika 20 zijazo ikashuka na lisaa lijalo mbele ikapanda tena nk japo katika sehemu zile zinazoizungusha hiyo fedha hakuna hata mabadiriko kama hayo.
Sasa jiulize zaidi inakuwaje fedha inayorun katika biashara za ulimwengu ndani ya forex inapata nguvu kuzidi pesa nyingine ila katika uhalisia ukizunguka katika mabank hata ukichungulia soko la dunia haukutani na ushubwada kama huo.
tukutane next episode tena
Na wewe hebu tuone hapo uliposema kuwa uli Withdraw$6350 ,pia iyo akaunti ulivyoanza nayo 2013 hebu tuone hata demo ulivyoanza kwanza ama Kama Kuna real ulifungua ya dola hata 50 hebu tuone Kama utuambiayo ni ukweliakikujibu nitagiiii
2013 niliijua sikuanza kutrade muda huoNa wewe hebu tuone hapo uliposema kuwa uli Withdraw$6350 ,pia iyo akaunti ulivyoanza nayo 2013 hebu tuone hata demo ulivyoanza kwanza ama Kama Kuna real ulifungua ya dola hata 50 hebu tuone Kama utuambiayo ni ukweli
sasa kama niyamatajiri mbona wanaohangaika nayo sio matajiri?Ww market ilikushinda angalia michingo mingine.....ikiwa na viela mbuzi usiingie FX...
lakini pia FX ni kwa matajiri lakini kapuku kama ww utachezea loss za hatari
Okiwa na pesa ya mawazo FX ni ngumu kutoboa sasa hao wengi wanaoshindwa ni makapuku ...sasa kama niyamatajiri mbona wanaohangaika nayo sio matajiri?
Tena uweke $10k na usiiwazie Sana hata ikipotea poa kwako bado your well being will stay the same.Okiwa na pesa ya mawazo FX ni ngumu kutoboa sasa hao wengi wanaoshindwa ni makapuku ...
ww unaweka dola 200 unatred FX huo ni upuuzi
Sio kweli, utajiri/ ukapuku hauna nafasi kwenye winratepia FX ni kwa matajiri lakini kapuku kama ww utachezea loss za hatari
Makapuku si ndio kama huyu mleta mada analia lia...... hajui maana ya consistency hajui risk management..... anyway am busy nasubiri NFP badae saa tisa na nusuSio kweli, utajiri/ ukapuku hauna nafasi kwenye winrate
hilo ndio tatizo la forexTena uweke $10k na usiiwazie Sana hata ikipotea poa kwako bado your well being will stay the same.
Kama Ile hela unayohonga hata usipopewa mbusu haumii. So unakuta unahonga kwa mahesabu makali.
Hii Mara nyingi wapo wanaoweka mtaji wa $100-200k unatredi comfortable na standard lot bila shida. Ikienda against na wewe hata $500-1000 una kata loss bado ukiwa comfortable kabisa na usiumie.
Fear and greed are the most expensive emotions that stop us from making wild money than what you thinking right now.
Thousands of dollars can be made/lost in a matter of blink an eye.