Kilichonitokea kituo cha Daraja la Salenda baada ya kushuka kwenye daladala saa nne usiku

Inaweza kuwa walikuwa hawapo hapo na ikawa bahati yenu... Ile njia zaman ilikuwa ina ulinzi sana sababu njia ya kwenda ikulu, zaman ulikuwa ukionekana hata unaenda xhini ya daraja la sarenda msala sana ila saivi vobaka wanakunya mavi pale darajani yanasombwa na maji ya mto msimbazi yanaenda kuxhanganyika baharini
 
Mkuu ni kweli ila sasa hivi ulinzi umerudi mkuu,kuna askari wa doria wanaweka kambi mle ndani kwenye mianzi siku moja moja.

Hata vibaka wakiiba waga hawakimbiilii mle ndani kwenye vichaka. Nenda pale kinondoni makaburini kwenye kituo cha daladala za mwananyamala, utakutana na vibaka waastaafu watakupa update za hiyo njia ya salender bridge siku hizi ipoje.Ukiona kibaka anaiba hapo ucku bas ujue akimbilii kule kwenye vichaka wanaogopa asikari.
 
Campus ya dar imeanza kabla ya mbeya tena ni opposite na kanisa kama sikosei sijui la kkt sijui nini, ila ndio mzumbe walipaanzisha kama chuo chao cha masters ya kozi zao,
Kumbe wanatoa Masters tyuuh??
 
Mkuu ni kweli ila sasa hivi ulinzi umerudi mkuu,kuna askari wa doria wanaweka kambi mle ndani kwenye mianzi siku moja moja.Hata vibaka wakiiba waga hawakimbiilii mle ndani kwenye vichaka...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yeaah hakuna bachelor's degree pale... Ni degree ya pili tu ndio mana undergraduate wengi hawakijui...
Ndo maana sio maarufu, nilitaka nishangae chuo kitoe Degree mbna hakifahamiki, hapo sasa sawa nshaelewa.
 
Okay napitaga sana hapo makaburini... Zaman wakati bwana mkubwa yupo pale sarenda hata saivi kuna manjagu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…