Kilichonitokea kituo cha Daraja la Salenda baada ya kushuka kwenye daladala saa nne usiku

Kilichonitokea kituo cha Daraja la Salenda baada ya kushuka kwenye daladala saa nne usiku

Uandishi wa hovyo ambao mtu mzima hapaswi kuandika.

"sikumbuki nini kilitokea ila nilijikuta ile njia ya muhimbili nipo kwenye kituo karibu na chuo sijui ndo mzumbe nasubiri gari ya kutoka kariakoo nirudi masaki"

Kichwa cha Habari:

"kilichonitokea jituo cha daraja la salenda baada ya kushuka kwenye dala dala saa nne usiku"​

Swali:

Ni nini kilikutokea?
Mkuu ni kumwelewa tu hivyo hivyo maana yeye hana taaluma ya uandishi wa habari, kiukweli mimi nimemuelewa yuko vizuri kwa maana ya hata waandishi wanafunzi watajifunza kupitia bandiko kama hizi kwamba hapa palitakiwa pawe hivi yeye mwenyewe mwanafunzi atalirekebisha kwa kusoma.
 
Kipo karibu na shule ya Agakhan Primary na lile kanisa kubwa la kilokole jina nimesahau kidogo.
Ni City Center Upanga la aliyekuwa Mchungaji kiongozi baadaye akateuliwa na hayati Magufuli kuwa Mkurugenzi wa Usalama taifa DG kwa sasa ni Balozi nchini Namibia naye si mwingine bali ni Dk. Modestus Francis Kipilimba.
 
Uandishi wa hovyo ambao mtu mzima hapaswi kuandika.

"sikumbuki nini kilitokea ila nilijikuta ile njia ya muhimbili nipo kwenye kituo karibu na chuo sijui ndo mzumbe nasubiri gari ya kutoka kariakoo nirudi masaki"

Kichwa cha Habari:

"kilichonitokea jituo cha daraja la salenda baada ya kushuka kwenye dala dala saa nne usiku"​

Swali:

Ni nini kilikutokea?

"Kilichonitokea kituo"​

Mkuu ni kumwelewa tu hivyo hivyo maana yeye hana taaluma ya uandishi wa habari, kiukweli mimi nimemuelewa yuko vizuri kwa maana ya hata waandishi wanafunzi watajifunza kupitia bandiko kama hizi kwamba hapa palitakiwa pawe hivi yeye mwenyewe mwanafunzi atalirekebisha kwa kusoma.

Haya ndo mambo ya wa Tanzania haya, kwa kweli swala la nguvu za kiume Tanzania halitaisha
 
Ni City Center Upanga la aliyekuwa Mchungaji kiongozi baadaye akateuliwa na hayati Magufuli kuwa DG kwa sasa ni Balozi nchini Namibia naye si mwingine bali ni Dk. Modestus Francis Kipilimba.
Asante..
 
Mkuu ni kweli ila sasa hivi ulinzi umerudi mkuu,kuna askari wa doria wanaweka kambi mle ndani kwenye mianzi siku moja moja.Hata vibaka wakiiba waga hawakimbiilii mle ndani kwenye vichaka.Nenda pale kinondoni makaburini kwenye kituo cha daladala za mwananyamala,utakutana na vibaka waastaafu watakupa update za hiyo njia ya salender bridge siku hizi ipoje.Ukiona kibaka anaiba hapo ucku bas ujue akimbilii kule kwenye vichaka wanaogopa asikari.
Kwahiyo askari wanalinda vichaka badala ya raia?
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Dar kuna chuo cha Mzumbe?? Mbna sina habari?? Duuuh
Mkuu kipo Camp
Kwahiyo askari wanalinda vichaka badala ya raia?
Wakipora wakikimbilia vichakani wakutane na askari.
 
Long time! Maeneo hapo Shekilango,saa sita usiku,nilavuka barabara ili nipande bus la Mbezi,nina kibegi na kina Ipad,nikaona jamaa wawili nao wakavuka na kunifuata,nikahisi hawa sio watu wema,nikaongeza mwendo,nao wakaongeza,nikatimua mbio wakaunga,jamaa wa daradara wanaona mchezo wakipiga kelele kimbia wewe kimbia,mbele kuna daradara ikaja ikasimama mbele yangu nikajitupa haraka,jamaa alirusha panga likagonga mlango😀😀....nikapona.
 
Huyu jamaa nimeanza story kisha nikastop kuendelea baada ya kusema anaenda feri saa nne usiku.
 
Nakumbuka nikitokea maeneo ya Slipway baada ya boss wangu kunipa laki moja nikatafute samaki,

Nikaenda msasani nikakosa hivo nikaona niende feri, nikapanda gari la kwenda Kariakoo tulipokaribia Salender nikamwomba konda anishushe hapo, konda kwa mshtuko, unasema?
😂😂😂😂Pole
 
Long time! Maeneo hapo Shekilango,saa sita usiku,nilavuka barabara ili nipande bus la Mbezi,nina kibegi na kina Ipad,nikaona jamaa wawili nao wakavuka na kunifuata,nikahisi hawa sio watu wema,nikaongeza mwendo,nao wakaongeza,nikatimua mbio wakaunga,jamaa wa daradara wanaona mchezo wakipiga kelele kimbia wewe kimbia,mbele kuna daradara ikaja ikasimama mbele yangu nikajitupa haraka,jamaa alirusha panga likagonga mlango😀😀....nikapona.
Mkuu shekilango ucku mpaka wale boda boda wa kituo cha mwendokasi ni wakwapuaji hasa wakiona mtu yupo tungi
 
Back
Top Bottom