Mkuu ni kumwelewa tu hivyo hivyo maana yeye hana taaluma ya uandishi wa habari, kiukweli mimi nimemuelewa yuko vizuri kwa maana ya hata waandishi wanafunzi watajifunza kupitia bandiko kama hizi kwamba hapa palitakiwa pawe hivi yeye mwenyewe mwanafunzi atalirekebisha kwa kusoma.Uandishi wa hovyo ambao mtu mzima hapaswi kuandika.
"sikumbuki nini kilitokea ila nilijikuta ile njia ya muhimbili nipo kwenye kituo karibu na chuo sijui ndo mzumbe nasubiri gari ya kutoka kariakoo nirudi masaki"
Kichwa cha Habari:
"kilichonitokea jituo cha daraja la salenda baada ya kushuka kwenye dala dala saa nne usiku"
Swali:
Ni nini kilikutokea?