george pk
Senior Member
- Jun 15, 2020
- 123
- 165
Daaah...Yule mbabe nae baadae alijiua mkuu
Mkuu Kiasili kabisa , binadamu hatujaumbiwa kutoana uhai...na ikitokea ukafanya, itakutesa mno...
Matokeo yake ndo kama hayo , kujiua au kudata...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah...Yule mbabe nae baadae alijiua mkuu
Alimpiga denti wa zanaki akazimia.Basi akajua kaua,akaenda home akajiua.Nadhani ilikua mwaka 1992 au 1993 kama sikosei mkuu.Way back enzi hizo tambaza wapo o level studentsDaaah...
Mkuu Kiasili kabisa , binadamu hatujaumbiwa kutoana uhai...na ikitokea ukafanya, itakutesa mno...
Matokeo yake ndo kama hayo , kujiua au kudata...
"wanaweka kambi mle ndani kwenye mianzi siku moja moja", unaongelea daraja la Salenda la wapi! Hiyo mianzi imetoka wapi? Daraja la Salenda nilijualo lina mikoko tu.Mkuu ni kweli ila sasa hivi ulinzi umerudi mkuu,kuna askari wa doria wanaweka kambi mle ndani kwenye mianzi siku moja moja.
Hata vibaka wakiiba waga hawakimbiilii mle ndani kwenye vichaka. Nenda pale kinondoni makaburini kwenye kituo cha daladala za mwananyamala, utakutana na vibaka waastaafu watakupa update za hiyo njia ya salender bridge siku hizi ipoje.Ukiona kibaka anaiba hapo ucku bas ujue akimbilii kule kwenye vichaka wanaogopa asikari.
Nakumbuka Mkuu, si mpaka waliifunga kwa muda hiyo miaka? ...Alimpiga denti wa zanaki akazimia.Basi akajua kaua,akaenda home akajiua.Nadhani ilikua mwaka 1992 au 1993 kama sikosei mkuu.Way back enzi hizo tambaza wapo o level students
Hiyo tabia ya kupita katikati ya barabara ni mimi mtupu mkuu...Wanasemaga kuna majini lakini nishawahi kupita hapo mara 2 saa 3 na saa nne usiku hakuna maajabu niliyoona.
Siku ya mwisho nilitoka upanga, wakati narudi usafiri ukaharibika kwenye mataa. Nikasubiri kama dk 20 hakuna usafiri, nikaamuua kuunga ila nilikuwa napita katikati ya barabara hadi stanbic pale nikabahatisha bajaji.
Kazoea kuvuta Bangi ya Mvuke wa Nnya kutoka Kwetu Tarime Mkoani Mara ( Musoma ) Tanzania ila kwa alichokiandika ambacho ni Maluweluwe ( Pumba ) tupu atakuwa Kavuta Kitu cha Blantyre cha nchini Malawi kilichochanganywa na Mvuke wa Gongo na Chembe chache cha Kinyesi cha Mnyama a.k.a Mwanadamu.Uandishi wa hovyo ambao mtu mzima hapaswi kuandika.
"sikumbuki nini kilitokea ila nilijikuta ile njia ya muhimbili nipo kwenye kituo karibu na chuo sijui ndo mzumbe nasubiri gari ya kutoka kariakoo nirudi masaki"
Kichwa cha Habari:
"kilichonitokea jituo cha daraja la salenda baada ya kushuka kwenye dala dala saa nne usiku"
Swali:
Ni nini kilikutokea?
Na mabishoo wengi walikua wanatokea pale tambaza na shabani robert miaka hiyo.Watoto wa kishua unawakuta tanganyika international.Nakumbuka Mkuu, si mpaka waliifunga kwa muda hiyo miaka? ...
Na ndo matokeo pia ya kufuta O level...
Kulikuwa na ukorofi mwingi mno pale Tambaza
Ndio hiyo hiyo mikoko mkuu ndani ya ile hifadhi ya maliasili kuna bango lao pale la kukataza watu wasifanye shughuli yoyote mle ndani🤣🤣🤣Sijasoma biology so sijui kutofautisha mimea mkuu."wanaweka kambi mle ndani kwenye mianzi siku moja moja", unaongelea daraja la Salenda la wapi! Hiyo mianzi imetoka wapi? Daraja la Salenda nilijualo lina mikoko tu.
DaaahNa mabishoo wengi walikua wanatokea pale tambaza na shabani robert miaka hiyo.Watoto wa kishua unawakuta tanganyika international.
Tafuta video za diplomatz,uwaone mabishoo woteDaaah
Hata sipajui huko mie.Nishafika mama[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni hapa las vegas casino zamani palikua panaitwa jolly,s club
Oooh hapo sawaahKipo karibu na shule ya Agakhan Primary na lile kanisa kubwa la kilokole jina nimesahau kidogo.
Kheeeh hadi Tegeta tenaa?? Mbna hataree.Tena vipo viwili, Upanga(postgraduate) na Tegeta(undergraduate)
Aaah basi sawaahYes, ni branch. ..
Kipo ndani ndani ya Upanga kama sikosei... I think ni maeneo ya Don Bosco.
PoaaahWana tawi Dar
Mie sikuwa najua, na isitoshe hakifahamiki kwa kuwa ni masters tyuuh.Kipo muda mrefu sana wana toa masters
Muda sana yaan Zaid ya miaka kumi mbona kipo....
Abeeeeeh
Mmmh mbna sasa hakifahamiki hiki chuo? Wanasema ni masters tyuuh.Degree zote
Mbeya najua kipoo, ila Dar ndo nimejua hapa mnavosema kipoo.Main Campus
-Mzumbe Moro
Campus
-Mzumbe Dsm
-Mzumbe Mbeya