babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Tulianzia pale mkuu toka baru sana mi nia niwafikishe pale tu american chips tuwachinjilie mbaliMkuu walianzia kukukimbiza pale darajani mpaka kule juu kino shamba(Makaburini)kweli una mapafu ya mbwa🤣🤣🤣🤣🤣Pale miembeni makaburini ndio kijiwe chao,kule juu mitaa ya ilipokuwepo american chips jau🤣🤣🤣🤣🤣
YawezekanaMmmh mbna sasa hakifahamiki hiki chuo? Wanasema ni masters tyuuh.
Mkuu una mapafu ya mbwa🤣🤣🤣🤣Kipande kirefu ujue toka kule chini🤣🤣🤣🤣Tulianzia pale mkuu toka baru sana mi nia niwafikishe pale tu american chips tuwachinjilie mbali
Wakashtuka wakageuza😅😅😅
Binafsi nimependa Uandishi wake!!Uandishi wa hovyo ambao mtu mzima hapaswi kuandika.
"sikumbuki nini kilitokea ila nilijikuta ile njia ya muhimbili nipo kwenye kituo karibu na chuo sijui ndo mzumbe nasubiri gari ya kutoka kariakoo nirudi masaki"
Kichwa cha Habari:
"kilichonitokea jituo cha daraja la salenda baada ya kushuka kwenye dala dala saa nne usiku"
Swali:
Ni nini kilikutokea?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahSiku nakatiza mitaa hiyo toka upanga na stress zangu sa mbili hivi sijui ikawaje .
Lile kundi hawa hapa vibaka.
Tulikimbizana mpk wanarudi tuko miembeni kino makaburini.
Wakarudi maana walijua huku huyu jamaa anatupeleka mitaa yake tukatandikwe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Na kweli wangefika tu American chips siku hiyo cha moto wangekipata
Hata sijabisha mie, nilikua nauliza tyuuh.angalia usije kuwa we ndo mgeni!! Kwa hiyo unataka kubisha hakuna Campus ya Mzumbe pae Upanga?
Hata cjui ziliko, nshapoteza mda.Naomba notes basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu sawa silijui hilo daraja la salender dar nimekuja juzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].But huu uzi wakati unaanza jana ucku nilikua nachati na @ Cocastic na mdau @ George pk nikiwa las vegas casino tunazungumzia matukio ya hapo darajani way back.
Ujanani mkuu nilikua fit sana na kuna kamlima pale karibia miembeni ndo walichemka😅😅😅Mkuu una mapafu ya mbwa🤣🤣🤣🤣Kipande kirefu ujue toka kule chini🤣🤣🤣🤣
Hapo sawaahKaribu na shaban Robert sec school nilisoma hapo
Nilitaka kukuuliza ulipitaje pale kilimani mkuu😂😂🤣🤣Ujanani mkuu nilikua fit sana na kuna kamlima pale karibia miembeni ndo walichemka😅😅😅
hahahahaha, umenikumbusha kuna watu walikuaga wachoyo kushare material O'level & A'level kisa kuhofia kupitwa kwenye pepa. Utoto raha sanaHata cjui ziliko, nshapoteza mda.
Nakumbuka nikitokea maeneo ya Slipway baada ya boss wangu kunipa laki moja nikatafute samaki,
Nikaenda msasani nikakosa hivo nikaona niende feri, nikapanda gari la kwenda Kariakoo tulipokaribia Salender nikamwomba konda anishushe hapo, konda kwa mshtuko, unasema?
Nikamwambia tena nishushe Sarenda muda huo ni saa 4 usiku basi bhana kama unavojua kuna watu hawapendi fuatilia mambo ya watu gari ikasimama nikashuka
Mbele yangu kulikuwa na gari moja ndogo imesimama halafu but I la mbele limenyanyuliwa nahisi ilipata hitilafu, nyuma kulikuwa na trafiki anaelekeza magari ile njia ya kwenda Coco beach, njia ya kutokea Coco nikaona vijana kama sita hivi muda huo wote yaani ni kama dk 10 zimepita toka nishuke ila kila gari ninalolisimamisha la kwenda Posta kutoka Makumbusho hayasimami yaana yanapita na mia
Sasa wale jamaa walikuwa na vifaa vikubwa balaa nikafikiri ni wanamazoezi, nikafikiri kujiunga nao ili nivuke pale darajani
Bado nawaza haijaisha sekunde kumi naona wameanzisha timbwili kwenye gari lile lililokuwa limepaki hapo mbele, kulikuwa na vijana wawili, kama sio waarabu basi ni wahindi, mara jamaa wakafungua milango muda huo hawa jamaa wenye gari wamekimbia mmoja anaelekea kwa askari anayeongoza magari hapo njia ya Coco beach mwingine anakimbia huko upande wa Pili wa barabara
Sikumbuki nini kilitokea ila nilijikuta ile njia ya Muhimbili nipo kwenye kituo karibu na chuo sijui ndo Mzumbe nasubiri gari ya kutoka Kariakoo nirudi Masaki
Njoo mbagala saa Tano ni kama saa Moja na magari yanaongozwa kama kawaidaSaa nne usiku trafiki huyo anaongoza magari ya vibwengo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa material nayo ya kunyimana??hahahahaha, umenikumbusha kuna watu walikuaga wachoyo kushare material O'level & A'level kisa kuhofia kupitwa kwenye pepa. Utoto raha sana
Hapa nawaza ni eneo gani hapo Dar kuna vichaka vya mianzi japo hakuna bahari!.sometimes waga wanajificha kwenye vile vichaka vya mianzi upande ule usio wa baharini
Mzumbe ipo Dar maeneo ya upanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dar kuna chuo cha Mzumbe?? Mbna sina habari?? Duuuh
Kipo upanga mitaa ya ndani ndani.Ukitokea huku kituo cha fire ndio kipo karibu sana