Kilichonitokea kituo cha Daraja la Salenda baada ya kushuka kwenye daladala saa nne usiku

Kilichonitokea kituo cha Daraja la Salenda baada ya kushuka kwenye daladala saa nne usiku

Mkuu walianzia kukukimbiza pale darajani mpaka kule juu kino shamba(Makaburini)kweli una mapafu ya mbwa🤣🤣🤣🤣🤣Pale miembeni makaburini ndio kijiwe chao,kule juu mitaa ya ilipokuwepo american chips jau🤣🤣🤣🤣🤣
Tulianzia pale mkuu toka baru sana mi nia niwafikishe pale tu american chips tuwachinjilie mbali
Wakashtuka wakageuza😅😅😅
 
Uandishi wa hovyo ambao mtu mzima hapaswi kuandika.

"sikumbuki nini kilitokea ila nilijikuta ile njia ya muhimbili nipo kwenye kituo karibu na chuo sijui ndo mzumbe nasubiri gari ya kutoka kariakoo nirudi masaki"

Kichwa cha Habari:

"kilichonitokea jituo cha daraja la salenda baada ya kushuka kwenye dala dala saa nne usiku"​


Swali:

Ni nini kilikutokea?
Binafsi nimependa Uandishi wake!!
 
Siku nakatiza mitaa hiyo toka upanga na stress zangu sa mbili hivi sijui ikawaje .
Lile kundi hawa hapa vibaka.
Tulikimbizana mpk wanarudi tuko miembeni kino makaburini.
Wakarudi maana walijua huku huyu jamaa anatupeleka mitaa yake tukatandikwe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Na kweli wangefika tu American chips siku hiyo cha moto wangekipata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Mkuu sawa silijui hilo daraja la salender dar nimekuja juzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].But huu uzi wakati unaanza jana ucku nilikua nachati na @ Cocastic na mdau @ George pk nikiwa las vegas casino tunazungumzia matukio ya hapo darajani way back.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata cjui ziliko, nshapoteza mda.
hahahahaha, umenikumbusha kuna watu walikuaga wachoyo kushare material O'level & A'level kisa kuhofia kupitwa kwenye pepa. Utoto raha sana
 
Hausiboi kapewa tachi
Nakumbuka nikitokea maeneo ya Slipway baada ya boss wangu kunipa laki moja nikatafute samaki,

Nikaenda msasani nikakosa hivo nikaona niende feri, nikapanda gari la kwenda Kariakoo tulipokaribia Salender nikamwomba konda anishushe hapo, konda kwa mshtuko, unasema?

Nikamwambia tena nishushe Sarenda muda huo ni saa 4 usiku basi bhana kama unavojua kuna watu hawapendi fuatilia mambo ya watu gari ikasimama nikashuka

Mbele yangu kulikuwa na gari moja ndogo imesimama halafu but I la mbele limenyanyuliwa nahisi ilipata hitilafu, nyuma kulikuwa na trafiki anaelekeza magari ile njia ya kwenda Coco beach, njia ya kutokea Coco nikaona vijana kama sita hivi muda huo wote yaani ni kama dk 10 zimepita toka nishuke ila kila gari ninalolisimamisha la kwenda Posta kutoka Makumbusho hayasimami yaana yanapita na mia

Sasa wale jamaa walikuwa na vifaa vikubwa balaa nikafikiri ni wanamazoezi, nikafikiri kujiunga nao ili nivuke pale darajani

Bado nawaza haijaisha sekunde kumi naona wameanzisha timbwili kwenye gari lile lililokuwa limepaki hapo mbele, kulikuwa na vijana wawili, kama sio waarabu basi ni wahindi, mara jamaa wakafungua milango muda huo hawa jamaa wenye gari wamekimbia mmoja anaelekea kwa askari anayeongoza magari hapo njia ya Coco beach mwingine anakimbia huko upande wa Pili wa barabara

Sikumbuki nini kilitokea ila nilijikuta ile njia ya Muhimbili nipo kwenye kituo karibu na chuo sijui ndo Mzumbe nasubiri gari ya kutoka Kariakoo nirudi Masaki
 
hahahahaha, umenikumbusha kuna watu walikuaga wachoyo kushare material O'level & A'level kisa kuhofia kupitwa kwenye pepa. Utoto raha sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa material nayo ya kunyimana??
 
Hilo eneo beach boys hawaambiwi kitu nadhani wanakula na wakubwa maana askari wamewashindwa,kuna wengine wapo hapa nyuma ya ikulu,kwenye uwanja wa gymkhana,walinikomba buku ya nauli,nlitembea ya mguu ferry hadi tabt bima
 
Back
Top Bottom