TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wadau!
Jana baada ya kutokea kashikashi ya mfumo wa manunuzi ya Luku, nikawaza sana hawa wahandisi wa umeme waliozingua watakuwa ni product ya chuo gani? Nikajiuliza je walipigwa interview kweli kabla ya kazi au ndio wale waliopata ajira za kamuite? Au ndio huu mfumo wetu wa kuangalia GPA za kukalili?
Kama sio hivyo basi watakuwa wanatumika? Wana kosaje kuwa na backup plan? Kwanini mfumo uzime siku tatu washinde kuurudisha au ndio walienda ku-Google? Kwanini wanashindwa kuanzisha mfumo wa kuhamisha unit kutoka mita moja kwenda mita nyingine? Yaani hawapo creative kabisa.
Mtanisamehe maana niliwaza vitu vya kijinga sana, wakati nipo pale Oilcom Petrol Station ya Kawe binafsi ni mhandisi lakini hawa wahandisi nime wawazia sana nani aliwapa proffessional Certificate pale ERB?
Wakati nipo kwenye mstari niliwaza mengi sana ghafla akaja mzee mmoja wa miaka kama sabini naye akasimama nyuma yangu akaanza kuniongelesha maswali yake yalikuwa kama yangu.