Kilichotokea jana kuhusu LUKU ni matokeo ya kuajiri watu kwa kuangalia vyeti pasipo kuangalia uwezo

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wadau!

Jana baada ya kutokea kashikashi ya mfumo wa manunuzi ya Luku, nikawaza sana hawa wahandisi wa umeme waliozingua watakuwa ni product ya chuo gani? Nikajiuliza je walipigwa interview kweli kabla ya kazi au ndio wale waliopata ajira za kamuite? Au ndio huu mfumo wetu wa kuangalia GPA za kukalili?

Kama sio hivyo basi watakuwa wanatumika? Wana kosaje kuwa na backup plan? Kwanini mfumo uzime siku tatu washinde kuurudisha au ndio walienda ku-Google? Kwanini wanashindwa kuanzisha mfumo wa kuhamisha unit kutoka mita moja kwenda mita nyingine? Yaani hawapo creative kabisa.

Mtanisamehe maana niliwaza vitu vya kijinga sana, wakati nipo pale Oilcom Petrol Station ya Kawe binafsi ni mhandisi lakini hawa wahandisi nime wawazia sana nani aliwapa proffessional Certificate pale ERB?

Wakati nipo kwenye mstari niliwaza mengi sana ghafla akaja mzee mmoja wa miaka kama sabini naye akasimama nyuma yangu akaanza kuniongelesha maswali yake yalikuwa kama yangu.
 
Hata America hutokea hitilafu ila ikitokea Tanzania imekuwa shidaaaa

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Amerika kuna Luku wapi ambako ikiharibika watu wanakaa bila umeme siku tatu? Pengine TORNADO ipite na kuangusha nguzo zote za umeme napo in 3 days umeme unarudishwa!!
 
Basi tuajiri Wakenya ili mambo yaeleweke.
Huo mfumo wa LUKU wenyewe utakuwa amebuni mzungu ,lakini sasa kinachoshangaza miaka yote mtu unajiita mhandisi unashindwa hata kujiongeza kufahamu Code za huo mfumo ndio maana kukawa na delay.Isije ikawa mtu alitumiwa ndege aje kurekebisha mfumo😂😂😂
 
Hii ndo wiki ya kwenda kuomba kazi ya IT TANESCO
 
Amerika kuna Luku wapi ambako ikiharibika watu wanakaa bila umeme siku tatu? Pengine TORNADO ipite na kuangusha nguzo zote za umeme napo in 3 days umeme unarudishwa!!
Mfumo wa Blackberry messenger na utaalam wao wote uliwahi kuzima zaidi ya week emails, messages zikawa haziingu kwenye simu.
Sisemi kwamba lililotokea ni kawaida, ila haya mambo hutokea kwenye hii mifumo. Siyo lazima iwe hacked.
 
Habari wadau!

Jana baada ya kutokea kashikashi ya mfumo wa manunuzi ya Luku, nikawaza sana hawa wahandisi wa umeme waliozingua watakuwa ni product ya chuo gani? Nikajiuliza je walipigwa interview kweli kabla ya kazi au ndio wale waliopata ajira za kamuite? Au ndio huu mfumo wetu wa kuangalia GPA za kukalili?

Kama sio hivyo basi watakuwa wanatumika? Wana kosaje kuwa na backup plan? Kwanini mfumo uzime siku tatu washinde kuurudisha au ndio walienda ku-Google? Kwanini wanashindwa kuanzisha mfumo wa kuhamisha unit kutoka mita moja kwenda mita nyingine? Yaani hawapo creative kabisa.

Mtanisamehe maana niliwaza vitu vya kijinga sana, wakati nipo pale Oilcom Petrol Station ya kawe binafsi ni mhandisi lakini hawa wahandisi nime wawazia sana nani aliwapa proffessional Certificate pale ERB?

Wakati nipo kwenye mstari niliwaza mengi sana ghafla akaja mzee mmoja wa miaka kama sabini naye akasimama nyuma yangu akaanza kuniongelesha maswali yake yalikuwa kama yangu.
Bfc website 19, haijakamilika, pia 38 bfc gospel, namba saba translation imekosewa.
Kuna siku facebook waliupdate system zao, ikaleta tatizo hadi ikawa haipatikani kwa dakika kadhaa ikabidi warudishe mfumo wa zamani kwanza.
 
Mleta mada unasemehewa bure, unaanzisha mada kwa masuala usiyojua
tuambie unachokijua ww?hayo ni mambo niliyokuwa nawaza na nimeomba radhi kama nitakuwa niliwawazia vibaya .Je ww unajua nini au ndio unataka kutuambia hawa walitumwa kumkwamisha SASHA aonekani hafai?
 
Mfumo wa Blackberry messenger na utaalam wao wote uliwahi kuzima zaidi ya week emails, messages zikawa haziingu kwenye simu.
Sisemi kwamba lililotokea ni kawaida, ila haya mambo hutokea kwenye hii mifumo. Siyo lazima iwe hacked.
👍
 
Bfc website 19, haijakamilika, pia 38 bfc gospel, namba saba translation imekosewa.
Kuna siku facebook waliupdate system zao, ikaleta tatizo hadi ikawa haipatikani kwa dakika kadhaa ikabidi warudishe mfumo wa zamani kwanza.
ishu sio kwamba mfumo kuzingua ishu ni kwamba mfumo ukizingua ww ume react vipi?Mifumo mingi inazingua lakini kutokana na ufanisi wa wataaramu haichukua hata dakika tatizo linakuwa solved.
 
Back
Top Bottom