Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Kiukweli kilichotekea jana kariakoo msukumo wangu wa uongozi umeongezeka mara dufu nahisi au ndiyo ukweli viongozi wengi wa Afrika wapo kwa ajili ya maisha yao na si Ku dedicated maisha yao kwa walipa kodi just kwa miaka 63 bado nchi kama nchi tunasua sua kwenye uokozi? Wale ni walipa kodi wakubwa lakini viongozi anaendaa pale hamna la maana
Eti tumesitisha uokozi kwa sababu ni usiku aisee ingekuwa mnakusanya kodi mngejali usiku? Kodi mnakusanya halafu mnanunua Ma V8 na matumizi mengine ya anasa nilihisi baada ya Ile ajali ya precision air tumejifunza kumbe wapi? Aisee
Miaka 28 sasa tokea ajali ya MV bukoba itokee bado hatujajifunza Tu hivi nitajie kuna kiongozi wowote yule kwenye nchi hii yupo kwa ajili ya walipa kodi? Wananchi wa Tanzania inaelekea wapo kwa ajili ya viongozi na si viongozi wapo kwa ajili ya WaTanzania
Msukumo wangu na energy yangu ya uongozi umeongezeka mara dufu........