Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
... sijui umri wake lakini anaweza kuwa alikuwa na miaka 10 kiumri Chief au alikuwa nje ya nchi majukumu mengi au kalazwa hospital kufuatilia shida. A lot of possibilities.
Hilo ndilo alilisahau mleta uziPia tuna-buy time ili kule kijijini mazingira ya nyumba yarekebishwe faster.
Ungemburuta basi barabaraniRoho ikishatoka, nafsi haipo tena. Kwa hiyo sentensi ya kumtesa marehemu haina mantiki hapa. Kisicho hai hakiteswi
Mfunge nyuma ya bodaboda mkuu umvute chiniMtu akifa hajui lolote, kumbukumbu yake hupotea mara!!
Mi nipelekwe niangalie mechi ya simba na utopoloMaandiko gani yanakataza kumzungusha Marehemu? Mimi kama screpa ningependa mnizungushe hata mwezi
Hiyo ni itifaki ndugu hakuna namna ukitaka usitembezwe acha tu kuwa kiongozi wa kitaifa full stop. Jambo la pili kumbuka huyo ni hayati siyo marehemuNi mume mzazi babu kaka shemeji nk huwezi ukawa unazungusha mtu mortuary uewanja mtu akitolewa mortuary anaenda kuzikwa ujinga huo ukomeshwe
Kenyata je?Vipi kuhusu mzee Moi kenya?. Huyo alianikwa siku ngapi?. Halafu hakuwa jenezani
Angezikwa bila kuagwa mngelalamika pia?KILICHOTOKEA KWA MKAPA KISITOKEE KWA KIONGOZI MWINGINE.
Na Bashir Yakub, Wakili.
+255 714 047 241.
Haikuwa sawa kuupeleka mwili wake kila asubuh uwanjani, kuuanika pale masaa 12, na kisha kuurudisha tena kila jion,kwa siku tatu mfululizo.
Mzee Mkapa ni kiongozi wa kitaifa na hivyo ilikuwa lazima aagwe kitaifa na viongozi pamoja na wananchi.
Hata hivyo, maoni yangu ingetengwa tu siku moja ambayo mwili wake ungebebwa siku hiyo hiyo moja na kupelekwa uwanjani kwa ajili ya viongozi na wananchi kuaga, na kisha kwenda kuzikwa kwao moja kwa moja.
Au kama kungekuwa na ulazima wa kumuaga kwa siku tatu mfululizo basi mwili ungebakizwa palepale uwanjan, kuliko kuzunguka nao asubuh na jion barabarani.
Na kama hakukuwa na vifaa vya kuutunza palepale uwanjan, basi ni wakati muafaka sasa wa kuwa na vifaa hivyo "mobile morgue equipments" ili jambo kama hili lisitokee tena kwa kiongozi mwingine.
Sijui, lakini nadhan angekuwa na uwezo wa kuzungumza angesema inatosha.
Sina kumbukumbu nzuri kwa Mwalimu ilikuwaje, ila sidhan kama ilikuwa hivi.
Na hata kama ilikuwa hivi swali kwetu ni je, tunaonaje, jambo hili bado ni zuri kwa viongoz wetu wanaotutangulia??
Ninachojua kumsitiri mfu sio tu kumzika chini ya udongo, bali ni pamoja na kumuepusha na mizunguko ya aina hii.
Nikiuliza hapa nani angependa akifa awe anapelekwa uwanjan asubuh, anakaa huko masaa 12, na kisha jioni anarejeshwa nyumban kwake, kwa siku tatu mfululizo, nadhan hatapatikana.
Hakuna atayekubali kwake au kwa mtu wake.
Haikuwa sawa kuuzungusha barabarani kwa kiwango hicho mwili wa mzee wetu, basi tusifanye hivyo tena.
Huyu Mzee n hatar sana! Ukifika masasi utaz kaeneo na kuchungia mbuzi vile na sio kama eneo ambalo mkuu wa nchi katokeaJamaa kanishangaza kukimbilia kujenga milimani halafu alipozaliwa kapatelekeza....
Hakuna surprise yoyote, wapanga mipango awamu hii ni hopeless
Hebu kumbuka Mkapa alipokuwa madarakani alivyosimamia msiba wa Mwalimu kwa weledi
Hawa wa sasa hivi vitu vidogo vidogo vinawashinda
Samahani ndugu Wakili.KILICHOTOKEA KWA MKAPA KISITOKEE KWA KIONGOZI MWINGINE.
Na Bashir Yakub, Wakili.
+255 714 047 241.
Haikuwa sawa kuupeleka mwili wake kila asubuh uwanjani, kuuanika pale masaa 12, na kisha kuurudisha tena kila jion,kwa siku tatu mfululizo.
Mzee Mkapa ni kiongozi wa kitaifa na hivyo ilikuwa lazima aagwe kitaifa na viongozi pamoja na wananchi.
Hata hivyo, maoni yangu ingetengwa tu siku moja ambayo mwili wake ungebebwa siku hiyo hiyo moja na kupelekwa uwanjani kwa ajili ya viongozi na wananchi kuaga, na kisha kwenda kuzikwa kwao moja kwa moja.
Au kama kungekuwa na ulazima wa kumuaga kwa siku tatu mfululizo basi mwili ungebakizwa palepale uwanjan, kuliko kuzunguka nao asubuh na jion barabarani.
Na kama hakukuwa na vifaa vya kuutunza palepale uwanjan, basi ni wakati muafaka sasa wa kuwa na vifaa hivyo "mobile morgue equipments" ili jambo kama hili lisitokee tena kwa kiongozi mwingine.
Sijui, lakini nadhan angekuwa na uwezo wa kuzungumza angesema inatosha.
Sina kumbukumbu nzuri kwa Mwalimu ilikuwaje, ila sidhan kama ilikuwa hivi.
Na hata kama ilikuwa hivi swali kwetu ni je, tunaonaje, jambo hili bado ni zuri kwa viongoz wetu wanaotutangulia??
Ninachojua kumsitiri mfu sio tu kumzika chini ya udongo, bali ni pamoja na kumuepusha na mizunguko ya aina hii.
Nikiuliza hapa nani angependa akifa awe anapelekwa uwanjan asubuh, anakaa huko masaa 12, na kisha jioni anarejeshwa nyumban kwake, kwa siku tatu mfululizo, nadhan hatapatikana.
Hakuna atayekubali kwake au kwa mtu wake.
Haikuwa sawa kuuzungusha barabarani kwa kiwango hicho mwili wa mzee wetu, basi tusifanye hivyo tena.
Kazi ya Wakili ni kukumbuka jinsi Nyerere alivyozikwa?Yani wakili hakumbuki jinsi Nyerere alivyoagwa? Nawasikitikia wqnaokupa kesi zao. KW vile jina lako lina majibu yote ni hki uko kusema hivyo
Kazinya wakili ni kokosoa mazishi ya wakristo?Kazi ya Wakili ni kukumbuka jinsi Nyerere alivyozikwa?
KILICHOTOKEA KWA MKAPA KISITOKEE KWA KIONGOZI MWINGINE.