Kilichotokea usiku huu kimenisikitisha sana, life is not fair

Kilichotokea usiku huu kimenisikitisha sana, life is not fair

Formula ya maisha, mtu akija juu wewe nenda chini.! Akijiinua zaidi wewe jishushe zaidi.
Mwisho wa mchezo wewe ndo utaonekana superior.
Hapo alipoagiza kinywaji cha gharama, wewe ulipasika kuagiza maji ya kilimanjaro.!
Formula yangu ya maisha no kujitutumua wala kushindana. Ukinishusha nashuka zaidi . Mwisho wa siku wanaishia kusema nina kiburi na dharau.
 
157611.jpg
Hapo zamani za kale, Ng'wanza kulikuwa na timu ya mpira inaitwa 'BESA NIKUBESE'! 😅
 
naona bill lugano amesahau aina ya ndoto ambazo hua anaota
 
Back
Top Bottom