Kilichotokea usiku huu kimenisikitisha sana, life is not fair

Hahah.. tukupe mji useme akaunti yako ilikuwa na kiasi gani??
 
Kama ulivyomalizia sentensi ya mwisho, huu ni ujinga
Nilifika sehemu kwa ajili ya kujipumzisha na kupata moja moto moja baridi baada ya mizunguko ya siku nzima.

Moja kwa moja nilifika counter nikachukua castle lite baridi, nikalipa elfu mbili tu safi, nikazungusha macho huku na kule nione wapi nitakaa, sehemu ilikuwa imejaa kidogo, ila nikaona nafasi ya kukaa karibu na mrembo fulani hivi, nikaona very good, bia itashuka vizuri hapo.

Kweli bhana nikakaa, opposite na sisi upande wa pili wa meza kuna mrembo mwingine yupo na ka-boy friend kake, nikasema very good, patakuwa na utulivu hapa nilipokaa.

Sasa wakati naendelea kulainisha koo kale kajamaa kenye kademu kake kakaagiza kilevi flani cha gharama sana, hadi moyo ukanilipuka, na nikaona kabisa anafanya vile makusudi kunivuruga kisaikolojia, alilipa kama dollar 300 hivi, just imagine, what the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala!

Jamaa akaenda toilet, kale kademu kake kakagundua nimefadhaika flani hivi, akaweka kile kilevi kwenye glass, akachanganya na barafu kisha akaweka cocacola kidogo, halafu akanipasia, sasa nikajiuliza, niikubali au niikatae, sikutaka kufanya maringo, nikachukua nikaanza kusip, no big deal.

Baada ya dakika kadhaa jamaa akarudi, tukaendelea kupata, baada ya dakika kadhaa yule dada wa pembeni yangu tukaanza mazungumzo, kumbe ni rafiki wa demu wa jamaa, na inaonekana hataki afanye mazoea na mtu, nikaona bullshit, huu udhalilishaji, nikatoa noti ya msimbazi nikamchapa nayo usoni yule dada kama kumtania hivi, hee, jamaa kuona vile akachomoa wallet, akatoa misimbazi kama mitano hivi, na yeye akamtandika nazo usoni yule dada.., what the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala!!

Unyonge nauchukia sana, nikachomoa kama 30 hivi, nikamchapa nazo usoni kale kademu kake, jamaa kama akaparalyse hivi. Jamaa akainuka kama kasusa anaondoka, kumbe bhana kaenda kwenye ATM, baada ya dakika kadhaa karudi na burungutu la noti, nadhani ni milioni ile, akataka anitandike nazo usoni, demu wake akamuwahi akazichukua na kuzikunjia kwapani, what the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala!!!

Akawa hajaridhika, akaenda kwenye gari lake, akarudi na burungutu la noti za dollar mia mia , kama sio milioni 10 zile sijui, akanipiga nazo usoni.., watu wakagombania pale mi nimezubaa tu nazidi kuchanyikiwa na huyu mbwa ni wa wapi? What the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala!!!

Nikamwambia broo, habari zisiwe nyingi, weka salio lako la Simbanking juu ya meza na mimi niweke langu, tumalize mzozo.., nikaweka yangu, haikuwa haba.., na nikasema akiweza kuilipa hii, naondoka naenda kulala, jamaa akaweka salio la dollar accout, mother fucker, its an 8 figure dollar account, life is not fair, nimerudi tu nyumbani kulala, ujinga huu!!
 
Umekuja kunianzishia uzi mkuu?
Me nilidhani yameishia pale!
Ila siku nyingne usione kila unayekutana nae kwenye kiwanja ni kapuku!
Btw weekend tukutane kiwanje gani nikuchape kilaji hadi usahau kwenu!
 
Siku hizi ndio una hadithi hizi?
 
8 figures Kwa makadirio ya kiasi cha chini kabisa, Simbanking ya jamaa inasoma zaidi ya dola milioni 10, zaidi ya bilioni 23 pesa za madafu au sio.
 
Back
Top Bottom