Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Mtui, Mcharo na Mboya walikuwa strong sana.Wachaga wa miaka hii cyo kbs.... golden generation ndo wanaisha hvo Mrema, Mbowee, Ndesamburo, Lema, Mkenda hawakua na haya mambo
Bila kusahau Tesha, Makundi na MteiHata Mtui, Mcharo na Mboya walikuwa strong sana.
usim2kane jamaa,2metofautiana sana ktk mambo ya majanga!!!......wengine hawawezi ata kumwangalia mkewe akisalimiana na mwanamme mwingine kwa kushikana mikono anaweza ata kuzimia,ndo manake wale jamaa wenye siasa kali wake zao wanavaa sox kwenye viganja na kwenye nyayo,na pia mavazi yao wanajifunika mwili mzima na kuacha macho tu kama cobra,yote hiyo ni wivu mazee!! da!!LOFA SANA HUYO
Ametuabisha Sana ameacha mwanamke kuchukuwa KOMBEKijana mmoja Anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 35 aitwae Henry amejinyonga hadi kufa kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Tukio hilo limetokea leo mchana Katika Kijiji cha Narumu huko katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.
Sababu Za kijana huyo kujinyonga hadi kufa ni baada ya mke wake wa ndoa ajulikanae kwa jina la Zuhura Luteri kuondoka na kwenda kujihusisha Kimapenzi Na wanaume wengine na hivyo alifanya kila jitihada za kumrudisha lakini zilishindikana.
Polisi wamefika kuchukua mwili na kuondoka nao Kwa ajili ya Uchunguzi. Kijana huyo alikuwa akiishi na mama yake mzazi na ameacha watoto wawili mwenye umri wa miaka 7 na mwingine ana umri wa miaka 5.
Mwenyekiti wa kijiji hicho Bwana Ismael Urassa amethibitisha kutokea Kwa tukio hilo.
Ni miaka hii mwisho wa dunia umefika 😅😅😅Mnazingua sana Mangi
Sababu Za kijana huyo kujinyonga hadi kufa ni baada ya mke wake wa ndoa ajulikanae kwa jina la Zuhura Luteri JINA TU LINAMTAMBULISHA MWANAMKE NYOOK
Hii ndiyo maana huwa tunashauriwa hiki kipengele cha dini kiangaliwe kwa jicho la kipekee sana kwenye mahusiano yanayotegemewa kuja kuanzisha familia.Hendry alimpenda mkewe bila shaka, inavyoonekana dini ilikuwa kikwazo kwa mkewe, kama aliyempata ni Mwislamu kama yeye.
Maumivu ya mapenzi wewe mwanaume waachie wanawake hayo hatukuumbiwa sisi,mwanaume unatakiwa umthamini mwanamke siyo umpende mthamini kwa yale anakufanyia mpe care nzuri yeye arudishe upendo kwako akiwa haeleweki tupa kule kamata mwengine maisha yaende.Kwa haraka haraka anaweza akaonekana ni mjinga hana akili, lakini maumivu ya mapenzi yanahitaji akili ya ziada kuyahimili. Siwezi kumshangaa kabisa
Nikajua ni ku fall in love kumbe Kuna ku follow in love..okayWachaga mmeanza ku follow in love.
Aisee nmetokea kukupenda naweza kukuoadear,Nimeona na najua kwanini umeniita😂😂.
Mpaka naogopa
Utoto wa Facebook umehamia humuNasubiri Arusha, njombe, iringa au Geita wajibu😁
Kuna mkoa wako umekwazika kuutaja sio?Utoto wa Facebook umehamia humu