Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Cheo mkuu, askari mdogo kwake ni nyuma tuu,Kwani ukikaa siti nyingne za gari hilo hilo nini kinabadilika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheo mkuu, askari mdogo kwake ni nyuma tuu,Kwani ukikaa siti nyingne za gari hilo hilo nini kinabadilika?
Jamaa wanajifanyaga zero brainPolisi tatizo kila kitu ni kutumia nguvu tu.
Apumzike kwa AmaniLabda ilianza kama matani huwezi jua alafu watu wanaweza uwana hata kisa 100 Tzs suala mazingira yaliyokuja baada ya 100 Tzs.
Ni ushamba tu, ona ameharibu maisha yake sabab ya ulimbukeni.Kiti cha mbele kina nini hasa!??
😄😄😄😄Ndugu Zangu JF Mnapenda Seat Ya Kwanza Ambayo Ndiyo Ya Mbele
Imeua Sasa
Mara nyingi mizaha midogo midogo ndiyo inasababisha vifo.Labda ilianza kama matani huwezi jua alafu watu wanaweza uwana hata kisa 100 Tzs suala mazingira yaliyokuja baada ya 100 Tzs.
Kiti cha pembeni hata uraiani huwaga kinaleta mzozo Mara kwa Mara.Kiti cha mbele kina nini hasa!??
Yap, huu ni utani ulioishia pabaya.. Ila askari akashindwa kujua silaha iko katika hali gani kabla ya kumtishia mwenzake? Inasikitisha na inaogopeshaMara nyingi Police hupenda kutaniana. Mara zote katika operation yoyote kiongozi anajulikana na hukaa mbele. Hakuna kitu kama hicho Cha kugombea siti. Mtaniaji ali- assume kwamba hakuna risasi chemba na pengine vilevile kifunga usalama Kiko mahali pake
Mwanzo walisema alikuwa anafukuza mirungi na pikipiki, wakati anazuia pikipiki yenye mirungi ikaja pikipiki nyingine yenye mirungi ikamgonga akaangukia kwenye kisiki akafa, jambo ambalo lilizua taharuki kidogo kwa sababu ukweli ulikuwa unajulikana,” alidai Mwenyekiti huyo wakati akizungumza na Mwananchi[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Utata umeibuka kuhusu kifo cha askari polisi wa kitengo cha upelelezi Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, aliyetambulika kwa jina moja la Linus aliyefariki usiku wa kuamkia Mei 31, mwaka huu ikidaiwa alipigwa risasi shingoni na askari mwenzake.
Alipotafutwa na gazeti hili kuzungumzia suala hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Amon Kakwale alisema hawezi kulizungumzia kwa sasa kwa kuwa wako kwenye uchunguzi na wakikamilisha atalizungumzia kwa kina.
Akisimulia ilivyokuwa, Mwenyekiti wa kijiji cha Kituri wilayani Mwanga, Thomas Mgala alisema siku hiyo polisi walifika kijijini hapo kuwasaka wauzaji na watumiaji wa dawa za kulevya.
Mgala alisema wakati polisi hao wawili wakiondoka eneo hilo wakiwa na wenzao, kuliibuka mzozo kati yao kuhusu nani anatakiwa kukaa siti ya mbele kwenye gari walilokuwa wakitumia.
“Wakati wanang’ang’ania kukaa siti ya mbele, huyu Linus yeye ndiye alionekana kuwa na cheo kikubwa kuliko mwenzake, kwa hiyo alikuwa na haki ya kukaa mbele, huyu mwenza
“Baada ya hapo Linus alikuwa amesimama pembeni ya gari, huyu askari mwenzake alikwenda kunyanyua kiti akachukua bunduki akarudi akamwelekezea mwenzake shingoni akamfyatulia risasi akaanguka chini...hakupiga kelele wala nini, baadaye akaning’iniza bunduki shingoni akajishika kichwa akisema nimeua,” alidai mwenyekiti huyo.
Mwenyekiti huyo aliendelea kudai kuwa baada ya kitendo hicho, askari wengine waliokuwa kwenye gari hilo walipaza sauti wakisema, “umeua...aisee umeua,” huku dereva akiwalaumu wenzake waliokuwepo maporini waliacha risasi chemba, “amefyatua amemuua Linus.”
“Wakashtuka wakarudi, walipofika eneo la tukio wanampigapiga haamki, wakamchukua wakamuweka kwenye gari wakaondoka naye hadi Kituo cha polisi Kifaru kijiji jirani.” Mwenyekiti huyo alidai kuwa baada ya tukio hilo wananchi hawakutaka ukweli ufichwe na hata walipokwenda polisi waliwaeleza ukweli wa kilichotokea.
“Mwanzo walisema alikuwa anafukuza mirungi na pikipiki, wakati anazuia pikipiki yenye mirungi ikaja pikipiki nyingine yenye mirungi ikamgonga akaangukia kwenye kisiki akafa, jambo ambalo lilizua taharuki kidogo kwa sababu ukweli ulikuwa unajulikana,” alidai Mwenyekiti huyo wakati akizungumza na Mwananchi
Mwananchi