Kilimanjaro: Askari amuua mwenzake kwa ugomvi wa kukaa siti ya mbele

Kilimanjaro: Askari amuua mwenzake kwa ugomvi wa kukaa siti ya mbele

Wameshughulikiana kama wanavtotufanyia. Ndio hali halisi
 
Hapo kuna muathirika wa kubabimbikiwa kesi ana furahi akisema
"Aha mudilah mnyaazi Mungu kajibu maombi yangu"
Hii ndio dunia bana.
Karma haimuachi mtu iwe kwa utani au sseriously itakukuta tu.
 
Hao itakuwa walipanga wamuue mwenzaohalafu wafiche ukweli...
 
Back
Top Bottom