Kilimanjaro: Askari amuua mwenzake kwa ugomvi wa kukaa siti ya mbele

Hivi kama tu raia wa kawaida akitaka kumilikishwa silaha ni lazima wamcheki akili zake kama ziko timamu, inakuaje jeshi la polisi watu wanahitimu mafunzo na bila hata kuchukua tahadhari ya akili za baadhi yao kabla ya kuwapa silaha, matukio ya hivi yamekua mengi sana wapo wanaojiua na wapo wanaoua
 
Mara nyingi Police hupenda kutaniana. Mara zote katika operation yoyote kiongozi anajulikana na hukaa mbele. Hakuna kitu kama hicho Cha kugombea siti. Mtaniaji ali- assume kwamba hakuna risasi chemba na pengine vilevile kifunga usalama Kiko mahali pake
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Yap, huu ni utani ulioishia pabaya.. Ila askari akashindwa kujua silaha iko katika hali gani kabla ya kumtishia mwenzake? Inasikitisha na inaogopesha
 
Yaani mambo yakitoto kitoto kabisa, alafu wanaficha ficha mambo ukweli kuusema hawataki kamanda mkoa usiyaonee haya majitu yanayo leta utoto kazini
 
Mwanzo walisema alikuwa anafukuza mirungi na pikipiki, wakati anazuia pikipiki yenye mirungi ikaja pikipiki nyingine yenye mirungi ikamgonga akaangukia kwenye kisiki akafa, jambo ambalo lilizua taharuki kidogo kwa sababu ukweli ulikuwa unajulikana,” alidai Mwenyekiti huyo wakati akizungumza na Mwananchi[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Laana juu ya laana.

Nakumbuka dogo mmoja askari alimuua mpenzi wake kwa bunduki na yeye akajiua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…