Kilimanjaro Express Kuanza Safari za Usiku

Sasa naona Ile mbinu ya kuua safari za train ya Moshi to dar to Moshi imeanza. TRC mpoo? Maza upo? Pole Pole sema neno train yetu itapata wapi wateja wa usiku?
Dar watu wengine hata akili hamna, abiria wa usiku Kilimanjaro express hawawezi kuwamaliza, TRC ijipange iweke hata treni mbili basi, Mwendazake amecorupt akili zenu mmekuwa kama poyoyo
 
Dar watu wengine hata akili hamna, abiria wa usiku Kilimanjaro express hawawezi kuwamaliza, TRC ijipange iweke hata treni mbili basi, Mwendazake amecorupt akili zenu mmekuwa kama poyoyo
Mwendazake huyo huyo aliyepush mpaka ikaamzishwa hata hiyo ruti moja ya TRC amecorrupt tena? ?

I am no Pro Mwendazake ila katika habari ya kufufua TRC alifanikiwa. Na pengine kwa sasa hayupo inawezekana TRC ikapiga hatua kurudi nyuma
 
Mwendazake na chama chake ndiyo hao hao walipush mpaka ruti ikafa hapo unasemaje?
 
Mbona hiyo ruti safari za usiku zipo siku nyingi. Wanaita hakuna kulala.
zipo lakini timing yao sio nzuri.

gari inabidi upande saa 6 mchana, then unafika saa 9 usiku,

nafikiri logic ya aliyeuliza ni ile ya kuanza safari kuanzia saa 12 jioni afu ufike saa 2 asubuhi au saa 1 asubuhi
 
Mwendazake na chama chake ndiyo hao hao walipush mpaka ruti ikafa hapo unasemaje?
Sikua na nia ya kuongelea siasa hapa. Nikianza kutoa listi ya ujinga was hilo lichama kwa miaka 60 mpaka sisi wenyewe wananchi tutajiona ni wajinga kuendelea kulisitiri.

Ishu yangu ilikua kwenye maneno kwamba amecorupt mind yake kivipi kuhusiana na reli?
 
Sasa naona Ile mbinu ya kuua safari za train ya Moshi to dar to Moshi imeanza. TRC mpoo? Maza upo? Pole Pole sema neno train yetu itapata wapi wateja wa usiku?
hamna lolote. huu ni upotoshaji. hiyo ruti treni thamani yake ilikuwa miaka ya 80 hadi 90 kipindi barabara ilikuwa mbovu. Tangu lifufuliwe na Magufuli, lina umuhimu siku za mwishoni mwa mwaka tu. Kwahiyo, kwa siku za kawaida treni halina ushindani wowote dhidi ya mabasi. Tuulize wasafiri wa huko tukwambie.
 
Safi sana. ni matumaini yangu kuwa wale vibaka baada ya mto wami wanaoweka magogo wamedhibitiwa vema. maana najua bado wanasumbua gari za mizigo
 
Usijali mkuu nadhani unaona kwenye telecommunication industry, huduma unayotoa ndio inayoakisi ukuaji wako. TTCL vs private sectors
Serikali iifungulie “budget airline” ili apambane na ATCL mwisho wa siku mteja ataamua wapi aende kutokana na quality over price. Nakuhakikishia hata lile gogo la kigoma kama price ingekua affordable kwenye mabasi nadhani now lingekua linapumulia mashine ya 02 (kidding)

Sasa naona Ile mbinu ya kuua safari za train ya Moshi to dar to Moshi imeanza. TRC mpoo? Maza upo? Pole Pole sema neno train yetu itapata wapi wateja wa usiku?
 
Watanzania tupo kama kuku ni wepesi sana kusahau !!! Hatujiulizi kwann zilizuiliwa usiku na kwann zimeanza kuruhusiwa!?? Any way kila LA heri !!! Ila wajihadhari na hawa madereva wa malori hasa fuso waonao sinzia na kuhama njia huku wakiwa wapewasha taa full light !!! Ni zaidi ya hatari
 
Tutakuja kushirikiana na kushautiana hizi safari za uck zifutwe !!! Ninawajua vizuri sana madereva wa malori!!!nafikiri hamuwajui vizuri!!!
 
Ok sawa issue ilikuwa kuona amefanya jambo la kishujaa kurudisha treni ambayo waliiuwa wao wakairudisha ila kwa mengine naona tupo kwenye same truck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…