Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Kulana kimasihara kutaongezekaKubwaaaa hiii kwa wazee wa night aafu upande n mtoto mzur pembeni
Hivi niulize. Dar express ana luxury ya Arusha- Dar ' Dar - Arusha? Wale jamaa wako chap sana. Saa 9 tu washapaki Stand ndogo.Kilimanjaro anamjibu kapricon bus Yan anamuweka mtu Kati baada ya kuanza safari ya saa nane mchana yeye Kilimanjaro express Nate kapricon akaanzisha saa 10 jioni Sasa kaamua kuniwekea ya saa 2.
Chombo zetu zile za ukienda umeshika 12k mkononi unataka kwenda Arusha au dar naona zikiondolewa tararibu.
Saibaba, harambee komaeni sie wadau wenu tushazoeana kuvumiliana
Mbeya dar zipo toka kitambo sana mkuu na zipo mpaka keshoHii route hapana watwamwageni kitonga hawa madereva wetu wa mitandaoni
Chuma Anazo sema muonekano wake n ule ule japo Kuna Kama mbili hv ndo nzuri.Hivi niulize. Dar express ana luxury ya Arusha- Dar ' Dar - Arusha? Wale jamaa wako chap sana. Saa 9 tu washapaki Stand ndogo.
Ila gari zake nyingi kwa nje kuonekano haueleweki
Sasa naona Ile mbinu ya kuua safari za train ya Moshi to dar to Moshi imeanza. TRC mpoo? Maza upo? Pole Pole sema neno train yetu itapata wapi wateja wa usiku?
Vema kabisa mkuu. Najua tunapitia msoto mmoja hata kama wengine wanajitoa ufahamu😂😂Ok sawa issue ilikuwa kuona amefanya jambo la kishujaa kurudisha treni ambayo waliiuwa wao wakairudisha ila kwa mengine naona tupo kwenye same truck
Hakuna shida siku hizi..mara moja moja sana wale shusha shusha wanafanya yao,kuna road patrol..lakini wanalenga zaidi malory..hata hivyo siku hizi hatutembei na hela mingi! Labda wachukue simu..japo nazo pia labda akampe mtoto achezee..Kile kipande cha kutoka Mombo mpaka uione Hedaru sijui na nyie mnawaza kama nami nnavyowaza??
Tutasafiri wote mamaSafi sana...
Na ninavyopenda safari za usiku usiku
Ikianza tu nimo.
Hehehe pisi Kali hazisafiri usiku.Tamu sn hizi safari hasa ukapanda na pisi kali kiti kimoja.
Mtoto mzuri?Kubwaaaa hiii kwa wazee wa night aafu upande n mtoto mzur pembeni
Sikuwepo ila nimejiuliza kipindi kile barabara nyingi zikiwa mbovu na vitendo vya uporaji njiani iliwezekana, kwann kwa sasa tushindwe??Tunarudi kwenye utaratibu wa zamani, miaka ya themanini safari zikianza jioni.
Hii ndo inaitwa free market....Abiria ndio ataamua apande treni, basi, bajaji, bodaboda au atembee kwa miguu hadi Arusha.
Acha mlaji/mtumiaji/abiria ndio aamue.