Kilimanjaro Hotel Korogwe bei ya vyakula ipo juu sana

Kilimanjaro Hotel Korogwe bei ya vyakula ipo juu sana

Hivi Watanzania wa siku hizi mnakosea wapi? Enzi zetu tulibeba mpaka maji ya kunywa kwenye vidumu!
Njaa ilipouma wakatibwa safari, tulikandamiza zetu wali, ndizi na nyama za kukaanga! Halafu safari ikawa ni ya furaha kabisa.

Hebu fanyeni kurudia maisha ya zamani bhana. Gari likisimama kwenye hiyo hotel, fungua ma hot pot yako, kula mpaka ushibe. Na hakuna atakaye kuuliza! Zaidi ya wapuuzi wachache tu kukushangaa.
Nakubali..
 
Umesema vema. Ila wapuuzi washangaaji huwa ni wengi sana. So ungemwambia wapuuzi wengi tu kukushangaa. Nchi hii asilimia 80 ya watu hawana exposure na wanaropoka tu wakiona mtu hafanyi mambo ambayo wao wamekariri. Ukimuuliza mtu why habebi chakula wengi ni kuogopa macho ya watu hao washamba wasiojua. USHAMBA NA CONFIDENCE NI SHIDA SANA🖐😀
 
Wanauza bei ghari harafu nyama haitupwi inauzwa yote hata iliyoharibika pana siku nimepewa nyama choma mbovu naona wapo busy kutoa risiti za efd ila lishe hasa zile za kuchoma wanauza hata zilizoharibika ziliwa za moto kugundua ni ngumu sana...
 
Umesema vema. Ila wapuuzi washangaaji huwa ni wengi sana. So ungemwambia wapuuzi wengi tu kukushangaa. Nchi hii asilimia 80 ya watu hawana exposure na wanaropoka tu wakiona mtu hafanyi mambo ambayo wao wamekariri. Ukimuuliza mtu why habebi chakula wengi ni kuogopa macho ya watu hao washamba wasiojua. USHAMBA NA CONFINDENCE NI SHIDA SANA🖐😀
Pana muda safari unapata ya dharula Mkuu sio safari zote za kujiandaa ukanunue kuku ichomwe usafiri na nusu, nusu utambae nayo pamoja na Chapati...
 
Mimi huwa nafanya maandalizi navyosafiri nanunua kilo ya nyama/kitimoto elfu 7000 nakaanga naweka kwenye watpot nakula mpaka nafika nimetosheka balaa

Mambo yakununua kipande kimoja kwa elfu tano nilishayaacha zamani Sana hotel nyingine mbaya zaidi kuna hotel ata chips zilale yeye anaangalia faida
 
Juzi kati hapo Kilimanjaro bus Korogwe nilinunua anadazi dogo tu kwa elfu moja na kikombe cha maziwa fresh elfu mbili.
Wanajiona bab kubwa utadhani ni ndani ya airport.
Anyway labda wanafidia gharama za kujenga na mishahara ya wale wanaosafisha vyoo ambavyo abiria hujisaidia bure.!!
 
Back
Top Bottom