Kilimanjaro Hotel Korogwe bei ya vyakula ipo juu sana

Mimi huwa nafanya maandalizi navyosafiri nanunua kilo ya nyama/kitimoto elfu 7000 nakaanga naweka kwenye watpot nakula mpaka nafika nimetosheka balaa

Mambo yakununua kipande kimoja kwa elfu tano nilishayaacha zamani Sana hotel nyingine mbaya zaidi kuna hotel ata chips zilale yeye anaangalia faida
Na vyakula vimeharibika
 
mara nyingi penda kusafiri na chakula yako mfano ukikausha nyama yako asubuhi na mapema(ng'ombe au kuku)alafu kaanga na ndizi weka kwenye hotpot utakula vizuri kabisa though kwa mwanaume ni ngumu kidogo
 
Pale Kilimanjaro nyama zao zinakaaga halafu wanaoleta wote ndani ya mabasi vimeoza mie nakulaga zile biscuti zenye cream katikati na maji hadi nafika je ukiharisha nani atasimama kila mara Kwa ajili Yako.
Epuka chakula Cha Barabara vingine mbwa
 
Zamani tukienda Arusha kifamilia ilikua anakaushwa kuku, na chapati au mikate flani hivi ya ufuta na maji tunabeba. Sasa hivi nikisafiri safari yoyote hua sili njiani,hutokufa ukiacha kula masaa 24.

Njiani vyakula ni expensive na low quality,Bora Nile nikifika. Maji,korosho na energy drink inantosheleza. Nishawahi kununua kahawa ambayo ni maji moto,vijiko vitatu vya instant coffee africafe nikalipa 5000. Kwa mda ule nilihitaji kahawa sikuona tabu kulipa ila it was overpriced sana.
 
Coffee ☕️ muhimu sana hasa kama unaendesha Gari mwenyewe.
 
Hili suala naona mamlaka husika liangalie,juzi nimenunua nyama choma njia ya Dodoma,nyama bei mbaya sana alafu ilikuwa mbichi,hapo nagundua ni mbichi gari imeshachanja mbuga. Hii dhulma inayofanyika mamlaka husika inabidi iingilie kati.
 
It's free business,Mamlaka haiwezi kuingilia wakati inachukua Kodi pia hulazimishwi na una machaguo kibao ungeweza kUfanya. Kubali kulipa au usile au nunua kabla.

Movie theaters wanauza soda na bisi pamoja na vitafunwa vingine bei juu sana na hawaruhusu kuingia navo ila watu tulikua tunaficha na kuingia navo. Jiongeze sio Kila kitu kusubiria serikali.
 
Unatoka kijijini ambako kuku mmoja wa kienyeji ni 10k-15k unaachana na hao unaenda kununua kununua kipaja cha broiler kwa 7000. Kwa kuogopa eti abiria watakushangaa!!.

Unaacha juice uliyoitengeneza mwenyewe nyumbani(iliyoganda vizuri), unasafiri na njiani unanunua soda ya kopo kwa buku jero au buku mbili kabisa.
Kama unafanya hayo si bure, utakua na tatizo kwa kichwa.
 
Hili suala naona mamlaka husika liangalie,juzi nimenunua nyama choma njia ya Dodoma,nyama bei mbaya sana alafu ilikuwa mbichi,hapo nagundua ni mbichi gari imeshachanja mbuga. Hii dhulma inayofanyika mamlaka husika inabidi iingilie kati.
Pole mwenyewe juzi kati nimefika Dodoma usiku pale Chako ni chako nikanunua mbuzi na ndizi za kuchoma wamenifungia gari imeondoka nafika mbele nifungue nile nakuta wamejaza shingo ndogondogo za kuku badala ya mbuzi na ndizi mbichi. Halafu wanauza bei balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuuuka enzi zile...Safari ya Kilometa 1500 , Bi Mkubwa alikuwa anakanda maandazi ya kutosha, pamoja na nyamabza kukaangaa...sehemu chache anatuboost na soda...na ilikuwa ni full Raha safari nzima...
 
It's free business,Mamlaka haiwezi kuingilia wakati inachukua Kodi pia hulazimishwi na una machaguo kibao ungeweza kUfanya. Kubali kulipa au usile au nunua kabla.

Movie theaters wanauza soda na bisi pamoja na vitafunwa vingine bei juu sana na hawaruhusu kuingia navo ila watu tulikua tunaficha na kuingia navo. Jiongeze sio Kila kitu kusubiria serikali.
Wewe unashindwa kuelewa,unasemaje free business wakati gari ndio linaamua likasimame wapi mle chakula? Unapita hapo unauziwa chakula kibichi alafu unaenda kulia kwenye gari ndio unagundua,kurudi tena hiyo njia ni mpaka majaliwa. Malalamiko yako utafikishaje kwa wahusika? Hizo bites na drinks za kwenye theatre unauziwa zina mapungufu?
 
Pole mwenyewe juzi kati nimefika Dodoma usiku pale Chako ni chako nikanunua mbuzi na ndizi za kuchoma wamenifungia gari imeondoka nafika mbele nifungue nile nakuta wamejaza shingo ndogondogo za kuku badala ya mbuzi na ndizi mbichi. Halafu wanauza bei balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣 pole sana aiseee.
 
Back
Top Bottom