Na vyakula vimeharibikaMimi huwa nafanya maandalizi navyosafiri nanunua kilo ya nyama/kitimoto elfu 7000 nakaanga naweka kwenye watpot nakula mpaka nafika nimetosheka balaa
Mambo yakununua kipande kimoja kwa elfu tano nilishayaacha zamani Sana hotel nyingine mbaya zaidi kuna hotel ata chips zilale yeye anaangalia faida
AiseeMkuu, ungekuja huku Magunga, Boha halijapanda bei kabisa, tungeburudika na kushauriana mambo ya Jf😁
Wanalipwa posho, hoteli inayolipa zaidi ndo inapelekewa wateja.Madereva wanawamwaga hapo then wao wanaenda kula bure chochote wanachotaka..
Coffee ☕️ muhimu sana hasa kama unaendesha Gari mwenyewe.Zamani tukienda Arusha kifamilia ilikua anakaushwa kuku, na chapati au mikate flani hivi ya ufuta na maji tunabeba. Sasa hivi nikisafiri safari yoyote hua sili njiani,hutokufa ukiacha kula masaa 24.
Njiani vyakula ni expensive na low quality,Bora Nile nikifika. Maji,korosho na energy drink inantosheleza. Nishawahi kununua kahawa ambayo ni maji moto,vijiko vitatu vya instant coffee africafe nikalipa 5000. Kwa mda ule nilihitaji kahawa sikuona tabu kulipa ila it was overpriced sana.
It's free business,Mamlaka haiwezi kuingilia wakati inachukua Kodi pia hulazimishwi na una machaguo kibao ungeweza kUfanya. Kubali kulipa au usile au nunua kabla.Hili suala naona mamlaka husika liangalie,juzi nimenunua nyama choma njia ya Dodoma,nyama bei mbaya sana alafu ilikuwa mbichi,hapo nagundua ni mbichi gari imeshachanja mbuga. Hii dhulma inayofanyika mamlaka husika inabidi iingilie kati.
Tubebe lunch box kutoka nyumbani tuwaachie vyakula vyao viwachachie watatia akili. Wanaudhi sanaIla Kilimanjaro wamezidi..
Zile bei zao basi angalau chakula kingekuwa hata kizuri...
Kingine Customer care ni mbovu...
Pole mwenyewe juzi kati nimefika Dodoma usiku pale Chako ni chako nikanunua mbuzi na ndizi za kuchoma wamenifungia gari imeondoka nafika mbele nifungue nile nakuta wamejaza shingo ndogondogo za kuku badala ya mbuzi na ndizi mbichi. Halafu wanauza bei balaa.Hili suala naona mamlaka husika liangalie,juzi nimenunua nyama choma njia ya Dodoma,nyama bei mbaya sana alafu ilikuwa mbichi,hapo nagundua ni mbichi gari imeshachanja mbuga. Hii dhulma inayofanyika mamlaka husika inabidi iingilie kati.
Wewe unashindwa kuelewa,unasemaje free business wakati gari ndio linaamua likasimame wapi mle chakula? Unapita hapo unauziwa chakula kibichi alafu unaenda kulia kwenye gari ndio unagundua,kurudi tena hiyo njia ni mpaka majaliwa. Malalamiko yako utafikishaje kwa wahusika? Hizo bites na drinks za kwenye theatre unauziwa zina mapungufu?It's free business,Mamlaka haiwezi kuingilia wakati inachukua Kodi pia hulazimishwi na una machaguo kibao ungeweza kUfanya. Kubali kulipa au usile au nunua kabla.
Movie theaters wanauza soda na bisi pamoja na vitafunwa vingine bei juu sana na hawaruhusu kuingia navo ila watu tulikua tunaficha na kuingia navo. Jiongeze sio Kila kitu kusubiria serikali.
🤣🤣 pole sana aiseee.Pole mwenyewe juzi kati nimefika Dodoma usiku pale Chako ni chako nikanunua mbuzi na ndizi za kuchoma wamenifungia gari imeondoka nafika mbele nifungue nile nakuta wamejaza shingo ndogondogo za kuku badala ya mbuzi na ndizi mbichi. Halafu wanauza bei balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app