Kilimanjaro Hotel Korogwe bei ya vyakula ipo juu sana

Mkuu zingatia Sana kula milo mitatu kwa siku ukiwa mtu wakupuuzia kula kwa maana ya kwamba wewe ukila milo miwili kwa siku unaona ni sawa ni mbaya Sana itapotokea siku katika maisha ya utafutaji au mahusiano ukakumbana na jambo ambalo litakupa stress kwa muda utapata vidonda vya tumbo
 
Hili suala naona mamlaka husika liangalie,juzi nimenunua nyama choma njia ya Dodoma,nyama bei mbaya sana alafu ilikuwa mbichi,hapo nagundua ni mbichi gari imeshachanja mbuga. Hii dhulma inayofanyika mamlaka husika inabidi iingilie kati.
Hizi mamlaka mnazipa kazi nyingi sana ambazo wenyewe mngeweza kuzimaliza. Be Beba msosi wako tu pia ukifunga 12hrs huwezi kufa.
 
Kwa safar ya Dar-Arusha kama utapata breakfast nyumbani kwako sidhani kama ni safari inayohitaji kula njiani. Labda kama sio mzoefu wa safari
 
Acha uroho,wee saa 2 asubuhi unakimbilia Kula?
 

[emoji23][emoji30]
 
Kuna hotel sijui korogwe pale zile chips na nyama zao hazielewek kabisa afu hiyo bei sasa tuna kula tusife tu
 
Miongoni mwa upumbavu ninaouchukia ni kutoa hela nyingi na kupewa chakula kidogo siku nitakojolea chakula cha mtu kwa hasira ntakung'uta kabisa pump isibaki hata na tone la mkojo ndani ntaukamulia wote kwenye sahani
 
Acha uroho,wee saa 2 asubuhi unakimbilia Kula?
Niliondoka Dar saa 11 asubuhi sikuwa nimepata breakfast 🍳.Sidhani kama ipo Hotel kwa muda huo unaweza kupata breakfast.

Ndio maana saa 2 kasoro tayari nilishafika Korogwe na nilikuta magari mengi sana yalishafika,maana yake wengine walianza safari saa 10 au saa 9.Hapakuwa na bus hata moja nadhani mabus ya kwanza yanafika Korogwe kati ya saa 4 asubuhi mengi nilipishana nayo kati ya Same na Mwanga.
 
Yaani Kama unachukua kajipaja wasikukatie kabsa...utanishukuru later
 
Nilidhani ulipewa bill ya Elfu 50 kumbe buku 7 tu,mkuu tafuta pesa
Kama naweza kuendesha gari (Private) na si usafiri (public) unadhani nitakuwa na tatizo kubwa la fedha ?.

Kwa upande wangu hata nikiwa na fedha nyingi kiasi gani, bado siwezi kuchezea kwasababu ninazo.
 
Bei ni kubwa ndio ila mimi niko radhi kulipia sababu ya sifa zifustavyo.

1.Usafi: Pale ni pasafi sana kuliko hotel zingine.

2. Huduma: Unapata huduma ya uhakika, nikilipia bei juu is okay for me.

3.Muda: Mabasi ya Kilimanjaro yanatoa dk 30 kwa abiria kwa ajili ya kula, mabasi mengine wanatoa dk 10 tu halafu watu wanaingia na chakula kwenye basi, hii tabia spendi sana. Gari zima linatoka harufu ya chakula na kutia kinyaa baadhi ya watu wanavyokula chakula
 

Ni kweli Kilimanjaro wanatoa dk 30 na wanalazimisha abiria wote washuke na wanafunga mlango kabisa.

Suala la usafi ni kawaida sana sijaona tofauti ya Kilimanjaro na Rock.

Suala la dakika 30 halina mashiko kwa watu binafsi (private) wanajipangia muda wao kadri watakavyo.

Tatizo ni bei ya vyakula samosa 2,000 haina kiwango cha samosa ya Nazi Hotel ambayo bei yake ni 1,000.Mtori nyama mbili 5,000 ?. Labda hizi ndizi wanaagiza toka Jamaica!.
 
Watu wanasafiri DSM to KGM bila kula chochote,wewe kutoka Dar to Moshi saa 2 asubuhi umekumbilia mtori kwanini usipigwe?
Kama ulishindwa kuvumilia masaa 7 ya kwenda kula huko Moshi usiwapangie bei wenye hotels zao
 
Mkuu Soda Bar inauzwa 1000 ila mtaani 500 why hujawahi lalamika? Sambusa ni 2000 leo nimekula sehemu moja inaitwa Maembe pale Moshi.
Maji madogo 1000 badala ya 500 same to Kilimanjaro.

Wanalipa kodi na risiti unapata uzuri wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…