pale Siha kuna shida ya maji. Nadhani ni kwa ajili ya kutunzia maji ya mvua. Walimu wana kipato kidogo, kinamezwa na marejesho ya mikopo. msimdhihaki. walimu hawa ni watu muhimu wasiothaminiwa. Taifa lisilothamini elimu ni Taifa mfu.Hizo ndoo zote za nini ? Anauza gongo au?
Yani nilivyo sipendi mandoo sina hata moja kwangu😂Labda alikua anauza gongo , nimeshangaa sana😁
Behind all the drama bundle,kuna nini hasa hadi afanyiwe hivyo?kwa uelewa wangu nahisi ana changamoto ya kufikili....majobles wameweza kupanga vyumba wewe na ajira yako unashindwaje😣
View attachment 3674514
Yawezekana ni shida ya majiYani nilivyo sipendi mandoo sina hata moja kwangu😂
Maisha ndugu!Angependa kuwa na friji, sofa set ya Dubai n.k.Sasa,mpunga anaolipwa unakidhi?Ndoo nyingi balaa
Badala yake, unatumia nini?Yani nilivyo sipendi mandoo sina hata moja kwangu😂
Acha uchizi arawa!Dah! Nimecheka sana.Sijawahi kucheka tangu mwaka jana mwezi wa tisa.Labda alikua anauza gongo , nimeshangaa sana😁
NimesikitikaMaisha ndugu!Angependa kuwa na friji, sofa set ya Dubai n.k.Sasa,mpunga anaolipwa unakidhi?
Kuna mwamba kadai shida ya maji , kwa hapo nimuelewa mwalimuAcha uchizi arawa!Dah! Nimecheka sana.Sijawahi kucheka tangu mwaka jana mwezi wa tisa.
Shida ya maji huwa ni kwa masikini tu sio?🤔Yawezekana ni shida ya maji
Tunacheka utadhani ni mambo mema.Hakyanane!Huo ni udhalilishaji.Mwalimu apige moyo ngumi(hivi ngumi si ndiyo konde?)aanze kwa kwenda kupanga tu.No way out!Kuna mwamba kadai shida ya maji , kwa hapo nimuelewa mwalimu
Kwahiyo maisha yakikaza unanishauri nijaze mandoo ndani?Maisha ndugu!Angependa kuwa na friji, sofa set ya Dubai n.k.Sasa,mpunga anaolipwa unakidhi?
Kufanyia nini?Badala yake, unatumia nini?
Hakyanane!Uwe unaniita naenda kukuchotea kiimani.Kwahiyo maisha yakikaza unanishauri nijaze mandoo ndani?
Kutunzia bilinganya na mlenda wa kusaga.Kufanyia nini?
Anahanishwa kikazi au anahamishwa kimizengwe ili hiyo nyumba apewe mwalimu mwingine? Namuunga mkono 💯%. Asihame kamwe!kwa uelewa wangu nahisi ana changamoto ya kufikili....majobles wameweza kupanga vyumba wewe na ajira yako unashindwaje😣
View attachment 3674514