Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kama Hakuna kisima karibu?Hakyanane!Uwe unaniita naenda kukuchotea kiimani.
NB;Kuwa na ndoo mbili-tatu ndani kwa kazi za hapa na pale siyo mbaya.
Hahah mbili tatu sawa japo sijawahi kuwa nazo, nilikuwaga na moja ikapasuka, ngoja nikiziona nitanunua nyingine tu!