Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,767
- 26,079
Sio sawa kabisa, kuharibu heshima ya mtu napinga kwa nguvu zoteSi ndio Wabongo mnaona fahari kudhalilishana km hivyo.
Sio sawa kabisa, kuharibu heshima ya mtu napinga kwa nguvu zoteSi ndio Wabongo mnaona fahari kudhalilishana km hivyo.
Broo jaba moja ni izo ndoo ngapi😁Mkuu tulia kwanza; hujawahi kukaa eneo lenye shida ya maji wewe!
Jaba tuu anko na ndoo nne zinatosha uskaririSubhanallah!Wewe jamaa wewe!Hilo ndiyo life la uswazi!
Sawa.Imekubalika.Jaba tuu anko na ndoo nne zinatosha uskariri
Vipi,utashiriki tena kuiba kura na kuwa upande wa wanyang'anyi in the name of posho za uchaguzi?Mimi ni mwalimu ila hii kazi, Mali za mwalimu ni ndoo nyumba yenyewe imecuoka ni aibu tu
KWani amekwambia preority yake ni mashuka? Na kwanini awe na mashuka mengi?Duh,hiyo mindoo sasa ilivyo mingi kuliko hata mashuka