Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
- Thread starter
- #81
kujitambua na kukomaa kwenye nyumba za bure mbona havifananiWe ni mwalimu?
kujitambua na kukomaa kwenye nyumba za bure mbona havifananiWe ni mwalimu?
Ohh hapo sawa naelewa why unawaelewa sana!Sijawahi kuwa.Ila,nimekuzwa,kuishi na kuzungukwa na walimu.
Labda kwenye kusimamia uchaguzi😁kujitambua na kukomaa kwenye nyumba za bure mbona havifanani
Babeli? Enough is enough!Mmemchoka teacher wetu aisee!Kuna lile wanaita jaba, sijajua kama ni nyumba alipewa ama chumba, kwa chumba na idadi hiyo ya ndoo ukizipanga inakuwa kama mnara wa babeli. Baharia arudishiwe chumba chake aisee, haipendezi hizo ni figusu
kujitambua na kukomaa kwenye nyumba za bure mbona havifananiWe ni mwalimu?
sahiiLabda kwenye kusimamia uchaguzi😁
Tungeelewa kwa undani Kwanza kuanzia mwanzo.Kuna nini kilianza hadi haya tunayoyaona sasa ndiyo tungeweka kwenye mzani.Bila hivyo,ni uonevu tu.kujitambua na kukomaa kwenye nyumba za bure mbona havifanani
sahii
😂😂😂Duh,hiyo mindoo sasa ilivyo mingi kuliko hata mashuka
Bado hakukuwa na sababu za kumfanya awe dhalili,kituko na mfano wa hivyo kwenye macho,akili na fikra za jamii.Hao viongozi wake(kiongozi)hawana vipawa vya ku-deal na watu wa aina hiyo bila negative conclusions!Hawafai kuwa viongozi.
😂😂😂Mwalimu agomea kuhama, ndoo zake zatolewa nje.....
😂😂😂Ndoo za shule ambazo Huwa wanaleta wanafunzi Kila mwaka zimeishia kwa mwalimu Omari, achunguzwe huyu teacher mwenzangu.
Bado kuna mbinu neutral za kuweka mambo sawa na siyo kufurushana kama vimbulu.Mwalimu mgeni labda wa sayansi ahamie wapi sasa mkuu? Kama huyu hatakiwi kuwepo hapo yaani mtu ubembelezwe karibu mwaka mzima hutaki kuhama shule anamaana gani kufanya hivyo?
Wanamuonea sana huyo mwalimu. Wanataka kumtoa kwa nguvu na kumuingiza mwalimu mwingine kana kwamba yeye hana hadhi ya kukaa humo. Inauma sana na haikubaliki hata kidogo.Duhh!!
Si ndio Wabongo mnaona fahari kudhalilishana km hivyo.Sio sawa kumdharirisha namna hiyo
Inasikitisha sana. Na inasemekana mwalimu mkuu anamhamisha kwa nguvu ili kimada wake ndiye akae humo. Haikubaliki hata kidogo. Ndio maana jamaa kagoma kuhama. Kama mbwai iwe mbwai!Bado hakukuwa na sababu za kumfanya awe dhalili,kituko na mfano wa hivyo kwenye macho,akili na fikra za jamii.Hao viongozi wake(kiongozi)hawana vipawa vya ku-deal na watu wa aina hiyo bila negative conclusions!Hawafai kuwa viongozi.
Bado kuna mbinu neutral za kuweka mambo sawa na siyo kufurushana kama vimbulu.
Has that minor issue gone that farther!?Concubine,huh!?Inasikitisha sana. Na inasemekana mwalimu mkuu anamhamisha kwa nguvu ili kimada wake ndiye akae humo. Haikubaliki hata kidogo. Ndio maana jamaa kagoma kuhama. Kama mbwai iwe mbwai!
Huyu amebembelezwa Toka mwaka Jana mwezi wa kumi na moja sasa kama ameshahamishwa anaendelea kung'ang'ania kwanini kukaa kwenye shule ambayo sio yake?
Seen!?Wanamuonea sana huyo mwalimu. Wanataka kumtoa kwa nguvu na kumuingiza mwalimu mwingine kana kwamba yeye hana hadhi ya kukaa humo. Inauma sana na haikubaliki hata kidogo.
Wanamuonea sana huyo mwalimu. Wanataka kumtoa kwa nguvu na kumuingiza mwalimu mwingine kana kwamba yeye hana hadhi ya kukaa humo. Inauma sana na haikubaliki hata kidogo.
Kwa maaelezo aliyatia na ukimsikiliza hapo mkuu wake na mkurugenzi kazi wanayo huyo ni mbishi haswa alafu amejipachika na ulezi wa watoto au wanafunzi wa kiisilamu shuleni..oya hiyo ni jamii ya kina sheik mwaipopo hatari kabisa.kwa uelewa wangu nahisi ana changamoto ya kufikili....majobles wameweza kupanga vyumba wewe na ajira yako unashindwaje😣
View attachment 3674514
Kama walimu wamezidi kwanini wasihame wengine waliozidi badala ya kumchagua yeye ndiye ahame? Huoni kwamba huo ni ubaguzi mkuu? Wakati wanawapokea hao walimu wapya na kupelekea shule kujaa walikuwa wana maana gani? Kwanini hao walimu wazidi ndipo wamhamishe yeye kiuonevu. Hii sio haki hata kidogo mkuu.Mkuu huyu ni mwalimu wa kawaida sasa shule yao imejaa walimu wa history huwezi kuendelea kujaza walimu kwenye shule yake wakati shule nyingine zina uhitaji binafsi sidhani kama ni issue aliambiwa atoe sababu ya kukataa hana sababu sijui lakini huu ni ujinga.