min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Sasa mwalimu ana umaskini gani?Shida ya maji huwa ni kwa masikini tu sio?🤔
Sasa mwalimu ana umaskini gani?Shida ya maji huwa ni kwa masikini tu sio?🤔
Mkuu usiingize suala la udini kwenye ukiukwaji wa haki za mtu. Naye ana haki ya kusikilizwa. Kwanini walijaza walimu kwenye shule hiyo baada ya kuzidi ndipo wanamteua yeye ahame na si mwalimu mwingine? Huo ni uonevu dhahiri.Kwa maaelezo aliyatia na ukimsikiliza hapo mkuu wake na mkurugenzi kazi wanayo huyo ni mbishi haswa alafu amejipachika na ulezi wa watoto au wanafunzi wa kiisilamu shuleni..oya hiyo ni jamii ya kina sheik mwaipopo hatari kabisa.
Kama walimu wamezidi kwanini wasihame wengine waliozidi badala ya kumchagua yeye ndiye ahame? Huoni kwamba huo ni ubaguzi mkuu? Wakati wanawapokea hao walimu wapya na kupelekea shule kujaa walikuwa wana maana gani? Kwanini hao walimu wazidi ndipo wamhamishe yeye kiuonevu. Hii sio haki hata kidogo mkuu.
Mkuu inaonekana walimu wa historia ndio wamezidi humo shuleni. Obviously, walimu wapya waliokuja na kupelekea mrundikano ni wa historia. Je, wakati wanawarundika kwanini hawakukumbuka kuwapeleka kwenye hiyo shule yenye upungufu? Pointi yangu ni hiyo mkuu.Mkuu sio kila shule inapokea walimu na kamati huwa Ina choose walimu random what if walimu wapya ni sayansi utawatoa na kumuacha huyu wa historia abaki?
Let's think critically kulikuwa hamna sababu maalum za kukataa uhamisho, na kila unapofikiria ameonewa fikiria muda aliopewa tangu mwaka Jana atoe sababu za kukataa kuhama na hakuna sababu iliyoonekana.
Kwahiyo mkuu point yako iweke vizuri huwezi toa mwalimu mpya kwasababu hujui amebobea kwenye somo gani na kumuamisha tu.
Familia ya aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Sekondari Karansi, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, imelazimika kulala nje kwa siku sita baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kufungwa na mali zao kutolewa nje, kufuatia uamuzi wa kumtaka mwalimu huyo kuondoka katika nyumba hiyo.
Mwalimu huyo, Omary Salum Ally, alihamishwa kutoka Karansi kwenda Shule ya Sekondari Dahani Novemba 2025, lakini aliendelea kuishi katika nyumba ya shule akidai kuwa ana hofu kuhusu usalama wake katika kituo kipya alichopangiwa.
Omary amesema awali aliomba kuhamishiwa Jiji la Tanga, lakini ombi hilo lilikataliwa na badala yake akapangiwa Dahani.
Amesema katika kipindi hicho alikumbana na mashtaka ya kinidhamu, ikiwemo tuhuma za kutotii mamlaka, lakini amesisitiza kuwa ana hofu kuhusu usalama wake na watoto wake katika kituo alichopangiwa.
Kwa upande wake, Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha, Alfred Myombo, amekiri kuondolewa kwa mwalimu huyo katika nyumba ya Shule ya Sekondari Karansi, akisema hatua hiyo ilichukuliwa kwa kuwa siyo tena mwalimu wa shule hiyo na nyumba ilihitajika kumpisha mwalimu mwingine aliyepangiwa kituo hicho.
Kwanini wamchague yeye ndiye ahame na si walimu wengine? Huoni kuwa huo ni ubaguzi na uonevu usiomithirika?Huyu amebembelezwa Toka mwaka Jana mwezi wa kumi na moja sasa kama ameshahamishwa anaendelea kung'ang'ania kwanini kukaa kwenye shule ambayo sio yake?
Ukiona mtu ana ndoo nyingiDuh,hiyo mindoo sasa ilivyo mingi kuliko hata mashuka
Mkuu inaonekana walimu wa historia ndio wamezidi humo shuleni. Obviously, walimu wapya waliokuja na kupelekea mrundikano ni wa historia. Je, wakati wanawarundika kwanini hawakukumbuka kuwapeleka kwenye hiyo shule yenye upungufu? Pointi yangu ni hiyo mkuu.
Kuna mtu anawatetea wadhalimu eti kwamba mwalimu huyo alihama bila kutoa sababu. Kumbe sababu za msingi anazo halafu hawo wauaji wanataka kumhamishia eneo hatarishi kwa nguvu? Hii haikubaliki duniani wala mbinguni.Familia ya aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Sekondari Karansi, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, imelazimika kulala nje kwa siku sita baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kufungwa na mali zao kutolewa nje, kufuatia uamuzi wa kumtaka mwalimu huyo kuondoka katika nyumba hiyo.
Mwalimu huyo, Omary Salum Ally, alihamishwa kutoka Karansi kwenda Shule ya Sekondari Dahani Novemba 2025, lakini aliendelea kuishi katika nyumba ya shule akidai kuwa ana hofu kuhusu usalama wake katika kituo kipya alichopangiwa.
Omary amesema awali aliomba kuhamishiwa Jiji la Tanga, lakini ombi hilo lilikataliwa na badala yake akapangiwa Dahani.
Amesema katika kipindi hicho alikumbana na mashtaka ya kinidhamu, ikiwemo tuhuma za kutotii mamlaka, lakini amesisitiza kuwa ana hofu kuhusu usalama wake na watoto wake katika kituo alichopangiwa.
Kwa upande wake, Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha, Alfred Myombo, amekiri kuondolewa kwa mwalimu huyo katika nyumba ya Shule ya Sekondari Karansi, akisema hatua hiyo ilichukuliwa kwa kuwa siyo tena mwalimu wa shule hiyo na nyumba ilihitajika kumpisha mwalimu mwingine aliyepangiwa kituo hicho.
Au anauza maji,atakuwa anapata muda wakufundisha kweli huyo mwalimu mkuu?Ukiona mtu ana ndoo nyingi
Jua eneo hilo linashida ya maji
Ova
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimecheka mpaka machozi looh!!Duh,hiyo mindoo sasa ilivyo mingi kuliko hata mashuka
Kuna mtu anawatetea wadhalimu eti kwamba mwalimu huyo alihama bila kutoa sababu. Kumbe sababu za msingi anazo halafu hawo wauaji wanataka kumhamishia eneo hatarishi kwa nguvu? Hii haikubaliki duniani wala mbinguni.

Mbavu zangu mie🤣🤣🤣Mwalimu alikuwa anafuga ndoo naona zimezaliana
Mkuu wewe ama ni mgumu wa kuelewa au unakataa kuelewa kwa makusudi. Nimekuuliza: Wakati walimu wanazidi kwenye hiyo shule mamlaka zilikuwa wapi? Kwani yeye alijipeleka mwenyewe kwenye hiyo shule? Na wakati wanapokea walimu wapya wa HISTORIA na kupelekea walimu wa HISTORIA kuzidi walikuwa na maana gani? Ina maana walikusudia kurundika walimu wa HISTORIA kwenye shule hiyo ili wazidi kisha iwe sababu ya kumhamisha yeye? Huoni kuwa hizo njama ni ovu na hazikubaliki mkuu?Unaweza ukaona ni sawa lakini embu fikiria why not him?
What is so special asitolewe yeye? Je unatakwimu za ugawaji wa walimu kwenye shule za Wilaya husika. Shule nyingi zilikuwa zinapokea walimu wawili au watatu what if? Kati ya hao walimu hamna wa historia kwenye shule aliyohamishiwa huyu mwalimu?
Bado sioni sababu maalum za kujitetea jamaa anatakiwa kutii mamlaka ya mwajiri wake na kutokuwa na utovu wa nidhamu.
Sio sawa lakini ajaribu kuwa muelewa kama kweli wanachomshtumu ni cha kweliWanamuonea sana huyo mwalimu. Wanataka kumtoa kwa nguvu na kumuingiza mwalimu mwingine kana kwamba yeye hana hadhi ya kukaa humo. Inauma sana na haikubaliki hata kidogo.
Hapo sasaSasa mwalimu ana umaskini gani?