min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Wanaishi nnje na kipato labdaHapo sasa
Wanaishi nnje na kipato labdaHapo sasa
Wanaishi juu ya kipato, au majukumu makubwa kuliko incomeWanaishi nnje na kipato labda
Sio muelewa kivipi mkuu? Kwanini wamhamishe kwa mabavu bila kufuata utaratibu?Sio sawa lakini ajaribu kuwa muelewa kama kweli wanachomshtumu ni cha kweli
Ni kosa kubwa sana na la kisheria kumhamisha mtumishi wa umma kwa mabavu? Kwanini wanagoma kumsikiliza na kuzingatia security concern anayoitoa? Hebu kuwa na ubinadamu walau kidogo mkuu. Je, ingekuwa wewe na familia yako unahamishiwa kwenye eneo lenye changamoto ya kiusalama ungekubali au kwa kuwa mkuki ni kwa nguruwe?Sababu gani za kiusalama mkuu? Huko dahani mbona watu wengine wanaishi vizuri ni sababu zisizo na mashiko hizo. Akiambiwa atoe sababu za kiusalama zinazomkwamisha atasema ni kitu gani?
Yaani mtu anatafuta shortcut kukataa kutii mamlaka kwasababu zake binafsi. Hivi inaingia akili hujawahi kanyaga kwenye kituo ulichohamishiwa hata siku moja na bado unakimbia kusema kuna sababu za kiusalama.
Kuna mtu ameulizwa swali?Huyo unaambiwa ni mbishi anashindana na nammlaka tangu mwaka Jana mwezi wa kumi na moja mkurugenzi wa Wilaya yake alimuamisha jamaa akataa kuhama. Bado hakuchoka waziri akapokea jambo lake mkurugenzi akapewa kibarua ashughulikie suala la huyu mwalimu akaitwa atoe sababu za kukataa uhamisho bado hakueleweka. Aise acha afukuzwe tu maana Hana busara, walimu ni wengi huko mtaani wanafundisha masomo ya historia.
Kule ni porini, karibia na msitu wa hifadhi ya mlima Kilimanjaro, Nina wasiwasi hata huduma kama zinapatikana?Hana sababu yeyote ya kukataa uhamisho maana bado yupo ndani ya Wilaya na analipohamishiwa ni mahali pa kawaida tu kijijini kidogo. Sasa imagine mwaka mzima anakula hela ya watu hataki kuhama anamaana gani?
Huo muda wote mlimlipa stahiki zake?Huyu amebembelezwa Toka mwaka Jana mwezi wa kumi na moja sasa kama ameshahamishwa anaendelea kung'ang'ania kwanini kukaa kwenye shule ambayo sio yake?
Huu ndio uonevu usio na kichwa Wala miguu.Kama walimu wamezidi kwanini wasihame wengine waliozidi badala ya kumchagua yeye ndiye ahame? Huoni kwamba huo ni ubaguzi mkuu? Wakati wanawapokea hao walimu wapya na kupelekea shule kujaa walikuwa wana maana gani? Kwanini hao walimu wazidi ndipo wamhamishe yeye kiuonevu. Hii sio haki hata kidogo mkuu.
Hii imekaa kimkakatiMkuu sio kila shule inapokea walimu na kamati huwa Ina choose walimu random what if walimu wapya ni sayansi utawatoa na kumuacha huyu wa historia abaki?
Let's think critically kulikuwa hamna sababu maalum za kukataa uhamisho, na kila unapofikiria ameonewa fikiria muda aliopewa tangu mwaka Jana atoe sababu za kukataa kuhama na hakuna sababu iliyoonekana.
Kwahiyo mkuu point yako iweke vizuri huwezi toa mwalimu mpya kwasababu hujui amebobea kwenye somo gani na kumuamisha tu.
Hii imekaa kimkakatiMkuu sio kila shule inapokea walimu na kamati huwa Ina choose walimu random what if walimu wapya ni sayansi utawatoa na kumuacha huyu wa historia abaki?
Let's think critically kulikuwa hamna sababu maalum za kukataa uhamisho, na kila unapofikiria ameonewa fikiria muda aliopewa tangu mwaka Jana atoe sababu za kukataa kuhama na hakuna sababu iliyoonekana.
Kwahiyo mkuu point yako iweke vizuri huwezi toa mwalimu mpya kwasababu hujui amebobea kwenye somo gani na kumuamisha tu.
Wanamtupa kule ili wamweke mtu waoNi kosa kubwa sana na la kisheria kumhamisha mtumishi wa umma kwa mabavu? Kwanini wanagoma kumsikiliza na kuzingatia security concern anayoitoa? Hebu kuwa na ubinadamu walau kidogo mkuu. Je, ingekuwa wewe na familia yako unahamishiwa kwenye eneo lenye changamoto ya kiusalama ungekubali au kwa kuwa mkuki ni kwa nguruwe?
Kutakuwa kuna uhaba wa maji maeneo hayo.Hizo ndoo zote za nini ? Anauza gongo au?
Hii imekaa kimkakati
Kwamba kwenye ualimu Kuna walimu Fulani ni Bora kuliko wengine?
Huo muda wote mlimlipa stahiki zake?
Sio muelewa kivipi mkuu? Kwanini wamhamishe kwa mabavu bila kufuata utaratibu?
Kule ni porini, karibia na msitu wa hifadhi ya mlima Kilimanjaro, Nina wasiwasi hata huduma kama zinapatikana?
Unajua kadhia za uhamisho?
Embu mlipe stahiki zake
Ni Kwelimwalimu kama angekuwa amepanga nyumba asingedhalilika hivi......
Ni kosa kubwa sana na la kisheria kumhamisha mtumishi wa umma kwa mabavu? Kwanini wanagoma kumsikiliza na kuzingatia security concern anayoitoa? Hebu kuwa na ubinadamu walau kidogo mkuu. Je, ingekuwa wewe na familia yako unahamishiwa kwenye eneo lenye changamoto ya kiusalama ungekubali au kwa kuwa mkuki ni kwa nguruwe?
Mkuu wewe ama ni mgumu wa kuelewa au unakataa kuelewa kwa makusudi. Nimekuuliza: Wakati walimu wanazidi kwenye hiyo shule mamlaka zilikuwa wapi? Kwani yeye alijipeleka mwenyewe kwenye hiyo shule? Na wakati wanapokea walimu wapya wa HISTORIA na kupelekea walimu wa HISTORIA kuzidi walikuwa na maana gani? Ina maana walikusudia kurundika walimu wa HISTORIA kwenye shule hiyo ili wazidi kisha iwe sababu ya kumhamisha yeye? Huoni kuwa hizo njama ni ovu na hazikubaliki mkuu?
Walimu wapya wa HISTORIA waliozidishwa kwa makusudi walipaswa kupelekwa kwenye shule zenye upungufu, sio wasubiri walimu wazidi ndipo wamhamishe yeye kimizengwe kwenda kwenye shule isiyokuwa na nyumba ya kuishi. This is totally inhumane and unfair mkuu.