Huu ujinga ndio hautakiwi kabisa katika nchi hii kuna upuuzi mwingi sana.Hii imekaa kimkakati
Kwamba kwenye ualimu Kuna walimu Fulani ni Bora kuliko wengine?
Wanamtupa kule ili wamweke mtu wao
Sehemu anayo kwenda ni porini sana
Kwanini sasa hawataki kumsikiliza badala yake wanataka wanamburuza?Jambo la busara ni kuangalia sababu ya huyu jamaa kugoma sio kuhamishwa maana hizi kujiamulia tu hutaki wakati kuna sehem za kutoa sababu za kutokuhamishwa.
Ina maana Shule imejengwa Porini?Kule ni porini, karibia na msitu wa hifadhi ya mlima Kilimanjaro, Nina wasiwasi hata huduma kama zinapatikana?
Unajua kadhia za uhamisho?
Embu mlipe stahiki zake
Huko mawilayani kuna ukenge mwingi sana mkuu. Mtu usipokuwa imara, wanaweza hata wakakutia vijiti makalioni. Huyu jamaa wanamuonea bure na hawana sababu ya msingi ya kumlazimisha kuhama.Huu ndio uonevu usio na kichwa Wala miguu.
Halafu Cha kushangaza wanamuona tatizo ni yeye
Kuhama sio jinai mkuu. Lakini kwanini wamhamishe kimabavu bila kufuata utaratibu na kwa kumdhalilisha hadharani? Wewe ungehamishwa kinyama hivyo ungefurahi?Unauhakika gani hawajafuata utaratibu? Wilaya nyingi walimu wamekuwa wakihamishwa kuziba mapengo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo vifo vya watumishi wengine, uhaba wa walimu wa kutosha kwenye somo fulani. Kuna kitengo maalum ndani ya Wilaya ambao kazi yao ni kufanya uhamisho wa namna hii.
Kwanini hawataki kumsikiliza? Huoni kwamba wanamtega? Kwenye halmashauri kuna uonevu mwingi sana mkuu.Ina maana Shule imejengwa Porini?
Huo Usalama anaozungumzia kama concern, vipi kuhusu Walimu na Wanafunzi ambao tayari wapo kwenye hiyo Shule? Kwao ni salama lakini kwake siyo salama?
Kuna wapuuzi wengine humu hawajui ugumu wa kuhama ndio maana wanashabikia mwalimu kuhamishwa kimabavu bila kufuata utaratibu.Polee sana mwalimu wasichokijua ni kwamba mwalimu hahami ndani ya halmashauri yake. Ndo maana kuna walimu kama watano wa shule X Uchagani walishahamishwa kitambo ila familia zao bado zinaishi quarters
Hawaelewi mkuu ila ni zaidi ya uonevuKuna wapuuzi wengine humu hawajui ugumu wa kuhama ndio maana wanashabikia mwalimu kuhamishwa kimabavu bila kufuata utaratibu.
Sana. Nyumbu wanapenda kuona watu wakihamishwa kinyama huku wao wakishangilia. Mkuki ni kwa nguruwe.Hawaelewi mkuu ila ni zaidi ya uonevu
Kwani usalama wa familia sio hoja mkuu? Wewe unataka kumpangia sababu? Kwa maana hiyo kumbe inaonekana wewe ni mmojawapo wa watu wanaomnyanyasa huyu mwalimu kwa kumhamisha kinyama bila utu. Mungu anawaona.Aliitwa akaambiwa aseme ni usalama gani hakuweza kujieleza kwa mkurugenzi jamaa akaenda hadi kwa waziri mkuu na mkurugenzi na kitengo Cha uhamisho Wilaya ya Siha kikamuita jamaa hakutoa sababu zenye mashiko sasa unataka hawa viongozi wafanye je mkuu?
Huko anapoenda hamna walimu wengine, unajua anyway ila watu wanatumia fursa za shule zenye watoto wengi kwaajili ya fursa za kibiashara wanazopata na huduma ambazo shule zinatoa kama makazi.
Hapo unaenda nje ya mada mkuu.Hii ndo faida ya kutandika watoto wa watu mijeledi
Kwanini sasa hawataki kumsikiliza badala yake wanataka wanamburuza?
Kwani usalama wa familia sio hoja mkuu? Wewe unataka kumpangia sababu? Kwa maana hiyo kumbe inaonekana wewe ni mmojawapo wa watu wanaomnyanyasa huyu mwalimu kwa kumhamisha kinyama bila utu. Mungu anawaona.
Kuhama sio jinai mkuu. Lakini kwanini wamhamishe kimabavu bila kufuata utaratibu na kwa kumdhalilisha hadharani? Wewe ungehamishwa kinyama hivyo ungefurahi?
Acha tu mkuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimecheka mpaka machozi looh!!