Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

 
Kuna muda gunia inafika 30000 pia
Kweli kipindi cha mawao mengi bei inashuka sana kwani kila mtu anakua amevuna na mahindi yanakua ni mengi wajanja wanaweka kwenye magala mahindi yao wanasubiria kipindi kama hichi ndio wanauza
 
Kweli kipindi cha mawao mengi bei inashuka sana kwani kila mtu anakua amevuna na mahindi yanakua ni mengi wajanja wanaweka kwenye magala mahindi yao wanasubiria kipindi kama hichi ndio wanauza
Kwa iyo ukivuna mwez wa 3 yakupasa uyaweke ndan kwa mpk mwez wa 10 km huu ili uuze kwa Bei nzuri kdg
 
you are very funny, farming is not as easy as you are writing. stop fooling people, you know nothing about farming.
 
Ni wazo zuri, bei sasa imefikia 120,000/= kwa gunia. Huenda kilimo kikawa na tija sasa
 
Mkuu kilimo cha kusikia usipimeeeee


Gharama za kuvuna umeacha

Gharama za Kupukucha

Gharama za kusafirisha mbegu

Gharama za magunia

Gharama za kusafirisha mazao

Gharama za Dawa ya kuua wadudu

Gharama za kupakia na kushusha mzigo

Gharama za ulinz shambani


Hiki kilimo we acha tu hahahaha
 


Maisha sio rahsi hivi ndugu.
Utawaigiza watu chakike.
 
Angalia usije kupooza upande mmoja baada ya hiyo miezi mitatu. Kilimo ni nyoko sana ukiingia kichwa kichwa na data kama zako.
 
Kasahau na gharama za mbegu mkuu, au atazipata kwa upepo wa kisulisuli
Kila la kher mkuu mm ni mkaz wa maeneo hayo , hesab ziko sawa sema unesahau za usafir maana mashamba si ya ukaribu kiasi cha kuyafikia kiurahis hivyo!!
Karibu kiteto!!
[/QUOTE
 
Hizi sehemu nishapiga kazi sana kwa haraka haraka kilimo huko kinalipaa mashamba yapo mazuri sana pori kwa pori ,mbeli, kijungu,enguseroo na sehemu nyingi sana kama utaitajii msaada zaid ni pm kwa msaada zaid
 
Palizi eka elfu 10? naona ndogo Sana.
Wenyeji naomba majibu ya maswali yafuatayo, 1.Vibarua wapo?
2.ukitokea Dar unapanda magari ya wapi ili ufike Kiteto?
3.Vijijini gani vina ardhi ya kutosha kwa ajili ya kukodi mashamba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…