Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Ndio maana naipenda jf university collegge hapa unapata elimu bila cheti safi sana mm nipo znz lakini nataka kukimbia huku nihamie dar ili nilime haya matikiti maana huku znz yana soko balaa hasa kwenye mahotel ya kitalii.

Big up kwa hili darasa nimelipenda
 
wapendwa naomba kujua aina gani ya mbegu ni nzuri na pia mnijuze garama ya mbegu, na ni kiasi gani mbegu ya tikiti inahitjika kwa heka mbili. Natanguliza shukrani wakuu!!
 
mbegu nzur ni za hybrid.
1. Pata negra inazaa vizur.
2. Sentinel mbegu ya rang ya pundamilia 2nda lenye umbo la yai
3. Sukari f1nayo nikama s3ntinel
Bei 1.pata negra 1000 seeds sh. 42,000
Sentinel 1000 seeds sh 50,000
Sukari F1 25g -17.000
50g-30.000

100g -55.000
500g- 220.000
 
mkuu nashukuru sana kwa maelezo mazuri, mimi ndio ninataka niingie kwenye hichi kilimo. Nitakushukuru sana ukinidadavulia vizuri gharama zake kwa ujumla ktk hizi heka mbili ili nijipange vzri nisije kuishia njiani!
 
Mkuu unataka kulimia pande za wapi??
 
that great
 
MKURANGA UNATUMIA UTARATIBU GANI KUMWAGILIA? Pia nielekeze mkuranga maeneo gani unakolimia? Tuwasiliane if possible 0712 661366 email jmalove23@gmail.com
 
KAKA UNALIMIA WAPI NIMEHAMASIKA! Tuwasiliane 0712 661366 au jmalove23@gmail.com
 
mtama unatengenezea chibuku tbl wnanunua shayiri,ni jamii ya ngano

mkuu nashukuru sana kwa maelezo mazuri, mimi ndio ninataka niingie kwenye hichi kilimo. Nitakushukuru sana ukinidadavulia vizuri gharama zake kwa ujumla ktk hizi heka mbili ili nijipange vzri nisije kuishia njiani!

napita tu...

asante neema, je umeishawahi kufanya hivi? Edmund anaruka mita 2 kwa kila shimo ila mbegu 2 kwenye shimo moja. Mie nadhani hii inakuwezesha kupita ukipulizia dawa nk. Labda useme mita 1 ila nusu? Tupe uzoefu wako kwenye hili

duka wapo 0712 661366
 
Wadau nina mbolea nzuri hisiyo na kemikali kwa yeyote mkulima anicheck tufanye kazi ni bei nzuri na ni costless kwa matumizi yako inafaa kwa matunda likiwemo tikiti maji,mbogamboga na nafaka na miti mbalimbali.kwa masiliwano 0652198319
 
Uko wapi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…