Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Kwa kitabu cha ukulima wa matunda Kama matikiti maji, embe, chungwa, Migomba, nanasi, papai na pensheni unaweza kuniPM
 

NASHAURI TU JAMANI,

Badala ya kulima heka tano jaribu kulima heka moja tu ila fanya yafuatayo.

Badala ya kuruka mita mbili otesha mtikiti kila baada ya nusu mita, kwa heka moja utapata mashimo 19,800.
mtikiti ukitoa tunda moja tu ukate kwa mbele ili usiendelee kuzaa.

kwa hiyo tunda moja kwa mche mmoja utanenepa vizuri badala ya kuuza 500= uauza 2,000.

Tufanye ukaua 1,000= utapata 19,800,000 badala ya 2m.
 

Too theoretical
 

asante Neema, je umeishawahi kufanya hivi? Edmund anaruka mita 2 kwa kila shimo ila mbegu 2 kwenye shimo moja. Mie nadhani hii inakuwezesha kupita ukipulizia dawa nk. Labda useme mita 1 ila nusu? Tupe uzoefu wako kwenye hili
 
Wana JF naomba mniambia kilimo cha matikiti maji kwa heka moja unaweza ukavuna kiasi gani? Pia naomba kuuliza heka ya matikiti mauzo yake yanaweza kuwa kiasi gani? Msaada jamani.
 
mkuu ingia sticky ktk jukwaa la ujasiriamali, kuna uzi wenye kila kitu kuhusu matikiti maji!
 
okey kaka ujatuambia lakin gharama nyingine pia kama utojal nina maswali yangu kwako namba yangu ni 0783638841
 
Wana JF naomba mniambia kilimo cha matikiti maji kwa heka moja unaweza ukavuna kiasi gani? Pia naomba kuuliza heka ya matikiti mauzo yake yanaweza kuwa kiasi gani? Msaada jamani.
Mkuu jaribu kuputia walichouliza wenzako na majibu yake. Swali km lako limeulizwa sana na kujibiwa kwahiyo jipe muda wa kusoma kuhusu wengine km unataka elimu
 
Rafiki yangu mmoja kutoka Israeli anasema matikiti haya ya Tz. ni madogo sana.

Ikiwa mtu atazingatia ubora wa kiulimo cha water melon anaweza kuvuna matikiti makubwa mara mbili zaidi ya haya tunayoyaona. Kumbe inabidi yawe yananing'inia. Unaweka viatlu imara na kupauwa kwa miti ambayo itatoa njia ya mmea kutambaa na matunda yatakuwa yananing'inia, Then majani ya mmea yanatoa kivuli kwa matunda. halafu pale kwenye shina unaweka system ya kudondoshea maji kwa awamu.

kwa mfano unaweza kuweka chombo cha maji kinachodondosha matone machache sana pale shinani.. bcoz..matikiti hayahitaji kumwagiliwa maji mengi (yatapasuka) ndio maana hayalimwi wakati wa mvua.

Hata wakati wakumwagiliwa haishauriwi kumwagia majani bali shina tu.. Kuhusu mbolea wanadai Samadi hasa ile ya kinyesi cha kuku ndiyo nzuri.. Binafsi bado najifunza na kutafuta mtaji..........
 


n
Nimekusoma vyema mkuu LEO VII kama vipi ntakucheki Pm .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…