Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

mbegu za hbrid ni km ana nuru eden na huwa inauzwa gali.mf eden kipato chake ni tenga800 kwa eka ambayo n sawa na debe 2400
 
2011 niliona nyanya nyingi ktk vibonde fulani kule Vianzi na Msorwa Mkuranga. Pili kule Ruvu juu wanalima nyanya pia. Sasa sijui
ww uko Mkoa wa Pwani kipande kipi.
As ante malila Mimi Nina shamba kibaha kwa mfipa maji yako ya kutosha mbegu gani inafaa kwa mkoa wa pwani
 
Kuna mbegu inaitwa Eden nimeulizia wanasema pwani haikubali
 
Natafuta mbegu inayostawi maeneo ya pwani kibaha,Eden nimeulizia wanasema ni gharama Sana kuitunza
 
Ni gharama kuitunza kama mwanzoni kabla ya kusia mbegu hukuwa ume-treat kitalu lakini kama ukiwa umekitreat sio gharama sana kwasababu inastahimili magonjwa sana na hata hali ya hewa ikiwa mbaya huwa inasurvive. Nilipanda Eden na Anna katika eneo la ekari moja kweli kipato chake ni kikubwa na ina uzazi mkubwa na ambao ni endelevu kwa muda mrefu sana ukilinganisha na mbegu nyingine.
 
Natafuta mbegu inayostawi maeneo ya pwani kibaha,Eden nimeulizia wanasema ni gharama Sana kuitunza

PAKITI YA IOg n 40alfu kwahuku dar itakuwa chn yahapo napakiti hyo ina miche 2800 hadi 3500.andaa kitalu chako vizuri.mwaga mbegu mbali mbali isibanane iliupate mbegu yenye afya.zingatia dawa mbegu ikishaota nahadi unapeleka shamban kupanda.nb 50g inatosha kupanda eka endapo utaotesha mbegu vizuri
 
Miezi gani mizuri kupanda pwani? Najua mvua maji mengi haifai. Vipi may au june?
 
Niko Arusha nimeenda kwa agent wao eden ziko aina za kupanda masika na kiangazi ila bei juu
 
Ni mbegu gani za vitunguu ni nzuri, zinastahimili magonjwa na bulb zake ni bora
 
Asante kwa taarifa, nimejifunza mengi kwako. Bei juu je faida haitapatikana? Nikiangalia hesabu hapo juu ni kama laki mbili kwa eka moja. Hiyo ya vitunguu nayo iko poa. Barikiwa sana.
Niko Arusha nimeenda kwa agent wao eden ziko aina za kupanda masika na kiangazi ila bei juu
 
Barikiwa sana bwana GEBA2013. Zao la nyanya linakanuni mbili tu, NYANYA ninyanyase & NYANYA ninyanyue!! ikiwa na maana kwamba ukilenga msimu mzuri wa nyanya utanufaika na soko, ila ukifail kutageti soko/msima utanyanyaswa na nyanya mpaka utachukia kilimo hiki.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom